Duh barabara nyeupeeeee, kweli kumbukumbu za Oktoba 29 hazijafutika

Wewe uliye ndani na polisi waliozoea kulala nje nani kafeli?
 
Lengo la wahamasishaji ni kwamba serikali iwe busy muda wote na shughuli za uchumi zisifanyike ,ni mbaya sana kiuchumi ,leo ni 77 kwenye maonyesho huwa ni nyomi sasa kama hali ni hii means serikali imepoteza mapato,hii itaendelea hadi lini? Chande alisemaje?
 
Nilifikiri kama wewe. Kuna kundi au taasis zinajitengenezea Mihela au miposho kupitia maandamano..Tuamke mbogo hajawai kosea kwenye fulsa.
 
ROSTAM AZIZI AWEZI KUKUBALI MAMBO YA KATIBA MPYA
 
Sio what if, tarehe nyingine itapangwa na hizi ishu watu wapo research ili kuja na approach ambayo itakuja kuwashangaza watawala na vyombo. Muda ni msema kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…