REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Matsko yakoMaoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Nimekua naishi kwa lishe bora na ni free born man ndiyo maana naweza kujieleza na kukueleza wewe msugunsu na wenzako mkanielewa.Sina udumavu.Mzaramo bhanaa
Binafsi nililiona mapema kwamba hizi issue zitakuwa sumbufu sana kwa serikaliMaoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Hajui kusoma alama za nyakati.Binafsi nililiona mapema kwamba hizi issue zitakuwa sumbufu sana kwa serikali
Thread 'Hili la Oktoba 29 litapita lakini mbegu imepandwa! Atakuwa na uongozi mgumu sana' GE2025 - Hili la Oktoba 29 litapita lakini mbegu imepandwa! Atakuwa na uongozi mgumu sana
Wapi wewe kibaka wa butimbaNimekua naishi kwa lishe bora na ni free born man ndiyo maana naweza kujieleza na kukueleza wewe msugunsu na wenzako mkanielewa.Sina udumavu.
Maisha kupokezana.Na hii ni nchi ya ujamaa.Leo ni zamu ya maaskari kuandamana kwa niaba.Wapi wewe kibaka wa butimba
Naona leo umeumia sana watu kutoandamana maana njia zako za wizi zimefungwa
Leo ndiyo ulitakiwa ukapige pesa sasa, wakati wengine hawapo.Siogopi mkuu ila sasa nkienda kufungua ntamuuzia nani,
Unataka UVCCM wenye sare za polisi wajifunzie shabaha kwenye mwili wa ndugu yetu?Leo ndiyo ulitakiwa ukapige pesa sasa, wakati wengine hawapo.
Hapo ndipo wanapaswa kukaa chini(kama wana akili njema)na kutafakari "what's going on here?"Wapi machawa hata lumumba imefungwa hawajaamka mpaka sasa
Ungekuta hao ndiyo wateja wake leo. Nao wanataka Kampani ya wananchi.😀Unataka UVCCM wenye sare za polisi wajifunzie shabaha kwenye mwili wa ndugu yetu?
Hawana fkira mpya Tena wanawaza kuyalinda madalaka kwa nguvu zote hata kwa damu za watuHapo ndipo wanapaswa kukaa chini(kama wana akili njema)na kutafakari "what's going on here?"
Nafanyaga jumapili, ila leo acha tuache sherehe za sabasaba ziende vizuriLeo ndiyo ulitakiwa ukapige pesa sasa, wakati wengine hawapo.
Kususa hakuna hatari kwa mwanasiasa kama maandamano ya kutoka.KUNA AINA MBILI ZA MAANDAMANO MOJAWAPO NI YAKUSUSA ...AINA HII YA MAANDAMANI NI NGUMU KWA SERIKALI KUZUIA ...NI KAMA MGOMO
Ni kweli. Kama wangekuwa na hizo fikra mpya wangekuwa wameshazifanyia kaziHawana fkira mpya Tena wanawaza kuyalinda madalaka kwa nguvu zote hata kwa damu za watu
Indirect impacts ni nyingi zaidi kwa wanasiasa.Usichukulie poa tu wakati nyoyo za wanasiasa(CCM na vimbwenerehi wao)zinateketa kwa sonona.Kususa hakuna hatari kwa mwanasiasa kama maandamano ya kutoka.
Ndio kinachoenda kutokea,kila public holiday vijana wanaweza kuzitumia kuchangamsha mamlaka na kutia nchi hasara kiuchumi.Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Mwanasiasa akisononeka leo halafu kesho akaendelea na ratiba zake kwake ni salama kuliko akilazimishwa kung'oka leo.Indirect impacts ni nyingi zaidi kwa wanasiasa.Usichukulie poa tu wakati nyoyo za wanasiasa(CCM na vimbwenerehi wao)zinateketa kwa sonona.
Lazima wahofie kwa sababu wanajua dozi ya maandamano ikiongezwa kidogo tu,wamekwisha.Mwanasiasa akisononeka leo halafu kesho akaendelea na ratiba zake kwake ni salama kuliko akilazimishwa kung'oka leo.