Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Kwakifupi hakuna kitakachoongozeka......Binafsi nililiona mapema kwamba hizi issue zitakuwa sumbufu sana kwa serikali
Thread 'Hili la Oktoba 29 litapita lakini mbegu imepandwa! Atakuwa na uongozi mgumu sana' GE2025 - Hili la Oktoba 29 litapita lakini mbegu imepandwa! Atakuwa na uongozi mgumu sana
Na wao wanaogopa askari polisi?Wapi machawa hata lumumba imefungwa hawajaamka mpaka sasa
Hapana.The city isn't blooming yet as the petals haven't unfolded.Jua la ukombozi ndiyo dawa.
Umekaa hapo kwenye kochi la shemeji yako umejifunika huku umeshika simu yako unaandamana kupitia jf kwa wasiwasi mkubwa sana.Oya zile teargas zinawasha na kuumiza kifua sio poa aisee. Bora mvua inyeshe ipunguze makali.
Wazo la watu kutoka ni hatari kuliko wazo la watu kususa kwa mwanasiasa.Lazima wahofie kwa sababu wanajua dozi ya maandamano ikiongezwa kidogo tu,wamekwisha.
Kwamba nchi ulikuwa hai....?? Alisha iua siku mingi mno...Kwa hali ya ukimya Huuu hata kama msipooona muandamanaji ila PLAN ya haya maandamano inefanikiwa 90%
WAtu wote kimyaa
Biashara zimefungwa
Kazi zimesimama
Haya ni zaidi ya maandamano....Samia ana ua Nchi
Na lipo njianiHapana.The city isn't blooming yet as the petals haven't unfolded.Jua la ukombozi ndiyo dawa.
Tutamjua anayekaribia ushindi-jumla kwa hatua.Ascending process!Wazo la watu kutoka ni hatari kuliko wazo la watu kususa kwa mwanasiasa.
Sasa hivi waziri objective yake ya 1 ni siku ipite bila watu kutoka, ikitokea hawajatoka na wakaenda kwenye maonyesho hayo ni mafanikio makubwa mno, ila kuliko watoke, bora wasuse maonyesho yadode.
Hahaha, umeifanya kama match siyo?Tutamjua anayekaribia ushindi-jumla kwa hatua.Ascending process!
Sisi tutandamana 88 leo acha maaskar waandamaneMaisha kupokezana.Na hii ni nchi ya ujamaa.Leo ni zamu ya maaskari kuandamana kwa niaba.
NB:Wakilegea tu na kuachia mwanya,watashangaa dakika mbili waandamanaji halisi wapo barabarani.Jus'a blink of an eye,the magic shall happen!
Mpaka waimbe haleluya!Sisi tutandamana 88 leo acha maaskar waandamane
Kabisa issue ni mijadala tu na kuelewana ila hii utasikia 88 mandamano utasikia kipind cha Afcon mandamano..Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
The streets are empty...Hapana.The city isn't blooming yet as the petals haven't unfolded.Jua la ukombozi ndiyo dawa.
Nyuki wa uchavushaji wanakuja.Tutapata matunda bora.The streets are empty...
Kenge kamwe sii wasikivu,kenge wamejaa kwenye mfumo chama na mfumo chawaMaoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
mapumbavu hayakusikii.Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
sio ccm ni genge la wahuniUshauri wauone watu wa CCM wachukue hatua maana wao ndo wanaogoza serikali.
Yaani hiyo issues ya katiba ingezima hivyo vitisho..Maoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Makubaliano na wewe lakini mbona akina Kabudi na akina DPP ni wa zamani?Kuua debate masekondarini ndio kuliua kabisa uwezo wa wabongo kushindana kwa hoja, kizazi cha viongozi wa sasa kimetokana na kudesa na pia kuua mijadala vyuo vikuu kumechangia pakubwa sana kuwa na viongozi wenye nusu GB ya akili, so kila ntu anaogopa mijadala ya hoja wanategemea bunduki hawajui hata hizo zitazoeleka tu soon!
Aibu sana. Nchi inakuwa paralyzed kwa sababu ya mazafakas wachache ambao wamejiweka madarakani kibabe!Salaam
Hii ishu ya 7/7 tunatoka wote inaweza ikawa serious.Nimeamka asubuhi niende mishe ebwana stand Mombassa nimekaa dk zaid 40 ndo nimepata gari ,watu wachache mno na gari chache mno na biashara zimefungwa.
Vipi huko ulipo hali ikoje?
NCHI IMESIMAMA HII