Makubaliano na wewe lakini mbona akina Kabudi na akina DPP ni wa zamani?
Prof unamuonea tuMkuu hawa chawa si ndio walioua mijadala wakiwa jalalani? Kabudu huyuhuyu aliyemdanganya jiwe ampe Boeing kufuata majitaka madagasca naye unaona kichwa hiki? Ndio anayempotosha mama yao muda wote na ujue haya mambo ya familia ya mama kwenda Urusi ni akili yake ati!
Mungu anapokaa mbali na viongozi huwa cha kwanza huwa wanapata viburi na upofu wa kiroho. Na ndio mwanzo wa anguko lao au la dola husika. Wakati utaongea na damu ya mwanadamu huwa haiendi bure. Soma biblia wakuuMaoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe
Prof unamuonea tu
HahahaHawa ni outliers tu, majority ya viongozi wa sasa ni age ya kina rizwani, sasa kama huyu hata debate alifanya? Gentleman degree yake kapata kwa kudesa, na colleagues wake karibu wote tu, lazima wajue maisha ni mitulinga tu mkuu
Mikono kama ya mafweleNimeshafika Magogonibona SIWAONI
View attachment 3624088
Mgomo pia uamsha maandamano ya kutoka barabarani...maana watu wanataka kuendelea na kutafuta maisha ...migomo ya mara kwa mara uleta nguvu ya maandamano...Kususa hakuna hatari kwa mwanasiasa kama maandamano ya kutoka.
Changamoto ni kwamba, as long as kiu ya kutoka ipo ila ni woga au ulinzi ndo unazuia, kadri maandamano yanapoitishwa halafu hawatoki kisha yanaitishwa tena, kuna siku watatoka na itakuwa mbaya, inakuwa kama mjumuiko wa zoote ambazo zilifeli.
Kiu ya maandamano ndo inapaswa kufutika. Sio woga wa kutoka.
Nyumbu wenyewe na akili zao ndogo wakifika mtoni wanasita weee ila kuna saa wote wanaruka ndani mpaka mamba inabidi asubiri wapungue pungue kwanza ndo akamate wa kwake.
Una point mkuuMgomo pia uamsha maandamano ya kutoka barabarani...maana watu wanataka kuendelea na kutafuta maisha ...migomo ya mara kwa mara uleta nguvu ya maandamano...
Huko 77 vp watu wameendaLengo la wahamasishaji ni kwamba serikali iwe busy muda wote na shughuli za uchumi zisifanyike ,ni mbaya sana kiuchumi ,leo ni 77 kwenye maonyesho huwa ni nyomi sasa kama hali ni hii means serikali imepoteza mapato,hii itaendelea hadi lini? Chande alisemaje?
Long tyme kweli haujaenda ,ni kweli 77 vitu bei kubwa sana na siku hizi hauruhusiwi kuingia hata na maji yaani imegeuka sehemu ya kuwakaua watu ,wanyama kuangalia ilikuwa bure kwasasa ni elfu 3.Huko 77 vp watu wameenda
Duh 77 nna miaka 15 na sijakanyaga
Sababu kuu vumbi na tbl walipotoa ile offer yao ya ukinunua bia 1 unapewa offer 1 ilipotea nkaachana napo
Kingine bei za vitu huko zamani ilikuwa rahisi miaka ya nyuma mtu akienda 77 akirudi anarudi na mazagazaga vifaa vya kutosha,nasikia sahv bei juu kuliko hata huku mtaani/mjini
Ova
Najiuliza pia sipati majibuMaoni yangu ni kuwa kama nchi tumefeli sana kwa kujaa kwenye mfumo wa watu wa mtandaoni.Tukiendelea kureact hivi kila mara bila kuwa na njia mbadala nje ya vyombo vya dola tutaua uchumi.Nawaza what if wakapanga tarehe nyingine na nyingine na nyingine? Tutaishi kwa mikwala mikwala hadi lini? Hivi kwani kama issue ni katiba Mpya ingefanyika kama ilivyokuwa wakati wa JK wa kuanzisha majukwaa ya mijadala si tungekuwa tumetibu.Je tutaeendelea kusambaza polisi na wanajeshi hadi lini? Tujisahihishe