Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…


 

In TZ, once the President turns away a protesting person without even trying to listen to him/her, it’s over. The protesting person’s situation will just get worse after that!
 
Rais anaongea then mtu anamkatisha na watu wanaona jibu alilopewa huyo mama hakustahili..wtf..sukumer gang tulieni.


Umeshawahi kubanwa na haja kubwa bara barani Mara paaap ukaona choo?! Kama bado tema mate chini,ndio sawa na huyo mama alivyomuona mh Raisi
 
Wapiga kura hao mkuu lazima kubalance mambo nao hufanya makosa ili mkosane. HIYO KURA IMEPOTEA HIYO
Wapiga kura? Labda ungesema waandamanaji. Hivi Magu alipigiwa kura zile na zile za serikali za mitaa? Acha kura ipotee kama huwa zinapotokea.
 


Wanawake siku zote ni watu wa Jazba, nimegundua Mama samia ni mtu wa Jazba zaidi waenga walisema tabia haina dawa

Wasaidizi wake wamekua ni msaada mkubwa sana kwa Wananchi mfano Kassim Majaliwa , ukimuona shida ngumu na za kudhulumiwa zinaisha kama Maghufuli

Nadhani ndio maana JPM alitaka mh Majaliwa ndio aje kua Raisi
 
Kafanya sahihi na hiyo ndiyo good governance, delegation of power, division of labour, organization structure na specialization. Atawajibu wangapi?

Ule ulikuwa ni upumbavu wa Mwendazake tu na kutaka masifa matatizo ya wananchi hayatatuliwi namna ile. Hata akina Nabii Musa walioishi miaka 4,000 kabla ya Kristu walishauriwa wasitatue matatizo kwa namna ile.

Soma Kutoka 18: 19-22
Musa. Alipokuwa kiongozi wa Israeli, ghafla alikuwa mtu mwenye shughuli nyingi. Watu wa Mungu walihesabiwa mamilioni na maisha ya Musa yalikuwa magumu kwani alihukumu na kuwahudumia watu tangu asubuhi hadi usiku.

Kuangalia yote haya, mkwewe wa Musa Jethro aliingilia kati na kumuonya Musa kwamba atajifunga mwenyewe ikiwa haitafanya mabadiliko.

"Wewe ni mchungaji, Musa, na unahitaji kujifunga na Mungu. Wape wengine kazi za ugomvi na ushauri nasaha. Kisha uwe peke yako na Mungu, utafute uwepo wake, pata akili yake, na upokee neno lake. Hii inapaswa kuwa kipaumbele”
 
Sasa kama hawasaidiwi waende kwa nani. Acheni kupwekesha jukumu la Rais.

Ukisema hawezi kusimamia mambo utapungukiwa na nini?
Juzi tu katuambia watumishi wa umma tusipeleke malalamiko kwa Rais kama tume ya maadili ya utumishi wa umma ilishatoa maamuzi kuhusu kesi zetu. Ila katiba inatuambia tuna haki ya kukata rufaa kwa Rais kama tunahisi haki haikutendek. Leo tena yanajirudia kwa wananchiwa kawaida.
Mama hataki kusikia shida za waliomchagua. Yupo sahihi kabisa kwamba hatakiwi kuwa jalala la kila shida, ila anatakiwa ku strengthen istitutions zake zote kabla hajakataa kusililiza shida za wapiga kura. Atuletee katiba mpya, then yeye akae pembeni aache katiba ichukue mkondo wake. Kwa sasa hawezi kuepuka shida zetu sababu katiba inampa mamlaka makubwa ya kuwa msemaji wa mwisho kuhusu maslahi yetu.
 
Na viongozi wa mikoa na wilaya walishapigwa mkwara mtu akionekano na bango kiongozi atawajibishwa. Kwahiyo kama hukusikilizwa shida zoko mkoani/ wilayani, na ukabeba bango lako hapo, utawajibiswa na uongozi wa chini kabla Rais hajaliona hilo bango. Kiongozi hataki lawama. Ndio maana huyo mama kaamua kujitokeza kwa speech ya mkuu, na majibu ya mkuu umeyaona. SIjui aende wapi kwa sasa kupata haki yake?
 
Sasa kama hawasaidiwi waende kwa nani. Acheni kupwekesha jukumu la Rais.

Ukisema hawezi kusimamia mambo utapungukiwa na nini?
Majukumu ya rais sio hayo yakuokoteza shida za wananchi mmoja mmoja.ndo maana nchi ina vyombo na wizara mbali mbali.kama mtu anashida na haitatuliwi ngazi ya chini xiko taratibu zakupeleka malalamiko yake ngazi ya juu.acheni kujitoa ufahamu kwa mambo madogo kama hayo kisa kuna limbukeni mmoja alikua anasikiliza matatizo ya watu kienyeji bila kuhimarisha taasisi zakutatua kero za wananchi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nilisikilza hiyo statement ya bahati mbaya sana, nikajiuliza maswali mengi. Naunga mkono hoja kuwa mama aandikiwe speech, akifika pale azisome bila kuongeza mawazo yake binafsi kama hayo ya bahati mbaya na mipasho mingine. Anatu let down wanawake.
Ukianza na ile speech ya urefu wa kamba, SPIKA KUJIUZULU, na hii bahati mbaya serikali haitoi hukumu BALI NI MAHAKAMA, swali ni kuwa hawa viongozi wanaelewa kweli umuhimu wa hii mihimili? Unawawezaje kujadili statement ya leo ya bahati mbaya bila kuhusisha na kinachoendelea mahakamni (mtuhuru in engish) kwa kesi ya ufisadi?
 
Samia ni katili mno,as if she's not a woman
 
Yule bwana aliyeasisi mambo haya alikuwa anawatumia "wanyonge" kupata kiki
 
Nina uhakika wasaidizi wake watamfikishia habari
 
that's right

na hicho ndicho Samia anakiamini kwa dhati kutoka moyoni, she wishes kwamba serikali ingeweza kutoa hukumu za kesi.

Umegusia suala la Samia ku dissapoint wanawake, lakini si yeye tu, hata JPM nae alififisha mahakama. Marais wetu hawaamini mahakama. Ukipata muda nenda youtube tafuta clip ya Harmonize aliposimama nje ya airport DSM akieleza kwa saa nzima jinsi kesi yake na Diamond ilivyoamuliwa na Rais!

Eti watu wana namba za simu za marais mifukoni wakigombana wanawapigia simu marais waamue, mambo ya mikataba, mambo ya kibiasharana, ya kisheria, na marais na wanatoa maagizo kwa mawaziri!
 
Hekima nayo mtu hupewa kutoka kwa Mungu.Hakuwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…