SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,676
Unaongea nini mkuu? Are You a thinker? Kwani hata wakitokea 100 kuna tatizo gani? Kwani alipokubali kuapa hakujua Scope ya majukumu yake kuwa Ni very broaden?Rais anaendelea Na hotuba kumwambia wape hao makaratasi yako utasaidiwa!
Think this way, what if ana sikiliza and then wakatokea wengine 10 atamaliza speech?
Kwani mtangulizi wake naye ilimchukua Mwaka mzima kusikiliza kero?Hakuna sinema hapo....kila mtu akitaka kulalamika kwa Rais itamchukua mwaka mzima kusikiliza!!...
Hivi kumbe kwako Raisi Ni kama mungu wa hapa Tanzania na si Mtumishi wa Watu?Uko sahihi Mkuu, huyo siyo Rais tena, bali, mjumbe serikali ya mtaa. Na nchii hii wenye shida wengi!
Kuna vyombo husika, Sio kila jambo ni Raisi....Alietangalia alifanya kwa maana yake.Kwani mtangulizi wake naye ilimchukua Mwaka mzima kusikiliza kero?
Wewe Ni Mkristo wa Makanisa ya Kuchonga? Kwa hiyo, Miujiza aliyoitenda Yesu haina chochote kwako cha kujifunza? Kama Yesu Kwa mfano alifanya muujiza wa kuponya wewe huelewi nini unapaswa kufanya kwa Nafasi yako? Wewe huwezi kuelewa unapaswa kuponya Kimwili, kisaikolojia na Kiakili na Kwa kesi kama ya mama kumsikiliza? Ukristo usiojua kufanya tafakari ni genge la kukusanya Sadaka tu.Yesu alikua rais wa nchi gani?.Acha kutoa mifano ambayo haina uhalisia.Usifananishe miujiza na utendaji au uwajibikaji wetu sisi binadamu kwenye serikali tulizoziweka wenyewe.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ana wasaidizi wake. Kuona Raisi anafanya kazi za Katibu Kata ni udhaifu mkubwa.Hivi kumbe kwako Raisi Ni kama mungu wa hapa Tanzania na si Mtumishi wa Watu?
Hivyo vingalikuwepo huyo Mama asingalienda kwa Raisi. Na zaidi, suala sio vyombo kuwapo bali ufanisi wake.Kuna vyombo husika, Sio kila jambo ni Raisi....Alietangalia alifanya kwa maana yake.
Kwahiyo akae kutatua migogoro ya familia halafu hao wa chini yake wakacheze karata!!!!!!!!!!!!Hivyo vingalikuwepo huyo Mama asingalienda kwa Raisi. Na zaidi, suala sio vyombo kuwapo bali ufanisi wake.
Kwa hiyo, Yesu aliyekubali Kuwasaidia watu katika Harusi kwa kuwapa Vinywaji ni mdogo kuliko Raisi wako?Ana wasaidizi wake. Kuona Raisi anafanya kazi za Katibu Kata ni udhaifu mkubwa.
Umejiuliza ni kwanini rais aseme mahakama zitende HAKI!? Na kwanini rais amalizie kwa kusema, "Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu." Hayo maneno yanapingana na mawazo yako hapa, hata rais anaona kabisa kwamba huku chini hawatendi hakiUle ujinga wa maigizo hatutaki,safi Sana Rais..
Haiwezekani kila mwenye tatizo amtafute Rais.
Kwani wewe ndio msaidizi uliyekabidhiwa hiyo kesi ya mama mpaka useme ni tatizo Dogo? Wewe na Raisi mumejuaje ni tatizo dogo linalohitaji wasaidizi tu?Kwahiyo akae kutatua migogoro ya familia halafu hao wa chini yake wakacheze karata!!!!!!!!!!!!
Kama umenisoma vizuri utakuwa umenielewa. Nchi zote duniani mwananchi usikilizwa. Na ikishindikana unaruhusiwa kumuona mtu wa juu au chombo maalum kinachosikiliza wananchi wenye malalamiko. Kwa Tanzania hatuna huo mfumo. Rais Ana madaraka yote.Mfumo Rais kutatua migogoro ya ardhi vijijini, mirathi na migogoro ya ndoa kwa mtu mmoja moja haufai, hakuna nchi moja iliyoendelea kwa aina ya mfumo huo. Pia ni kuchezea kodi za wananchi ikiwa mkuu wa wilaya au mkoa anatoa vibali vya watu kwenda kuonana na Rais ili kutatuliwa shida zao badala ya wao ma DC, RC na mawaziri kuzimaliza.
Hapa unachosema wenyeviti wa vijiji/mitaa na wakuu wa wilaya wako kama mapambo tu.
Nimekwambia Rais hawezi kushughulikiwa individual problems,sio majukumu ya Rais,ndio maana kawatolea wito wahusika.Umejiuliza ni kwanini rais aseme mahakama zitende HAKI!? Na kwanini rais amalizie kwa kusema, "Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu." Hayo maneno yanapingana na mawazo yako hapa, hata rais anaona kabisa kwamba huku chini hawatendi haki
ukiona ivyo kuna tatizo kwa watendaji wake wa chiniUle ujinga wa maigizo hatutaki,safi Sana Rais..
Haiwezekani kila mwenye tatizo amtafute Rais.
Inahitaji akili ndogo mtu kujua hilo......Kwani wewe ndio msaidizi uliyekabidhiwa hiyo kesi ya mama mpaka useme ni tatizo Dogo? Wewe na Raisi mumejuaje ni tatizo dogo linalohitaji wasaidizi tu?
Yesu alikuwa kiroho, Raisi hayuko kujenga imani za dini, Yuko ki Nchi na hana kundi moja tu la watu. Raisi sio mhubiri wa ki Imani.Kwa hiyo, Yesu aliyekubali Kuwasaidia watu katika Harusi kwa kuwapa Vinywaji ni mdogo kuliko Raisi wako?
Vyombo vipo, kuna matatizo kwenye hivyo vyombo na Raisi anajua, Na yule mama amesaidiwa palepale japo Raisi hakutaka amsaidie kiSifa!!Hivyo vingalikuwepo huyo Mama asingalienda kwa Raisi. Na zaidi, suala sio vyombo kuwapo bali ufanisi wake.