Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

Rais anaendelea Na hotuba kumwambia wape hao makaratasi yako utasaidiwa!

Think this way, what if ana sikiliza and then wakatokea wengine 10 atamaliza speech?
Unaongea nini mkuu? Are You a thinker? Kwani hata wakitokea 100 kuna tatizo gani? Kwani alipokubali kuapa hakujua Scope ya majukumu yake kuwa Ni very broaden?
 
Ujue facilities za ikulu kwa ngozi ngumu zinapumbaza sana . Then 2025 aende kumpigia taarabu huyo alofukuzwa kama mbwa ? Lugha alotumia si yankistaarabu kwa Moirai kuwa wake.
 
Yesu alikua rais wa nchi gani?.Acha kutoa mifano ambayo haina uhalisia.Usifananishe miujiza na utendaji au uwajibikaji wetu sisi binadamu kwenye serikali tulizoziweka wenyewe.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wewe Ni Mkristo wa Makanisa ya Kuchonga? Kwa hiyo, Miujiza aliyoitenda Yesu haina chochote kwako cha kujifunza? Kama Yesu Kwa mfano alifanya muujiza wa kuponya wewe huelewi nini unapaswa kufanya kwa Nafasi yako? Wewe huwezi kuelewa unapaswa kuponya Kimwili, kisaikolojia na Kiakili na Kwa kesi kama ya mama kumsikiliza? Ukristo usiojua kufanya tafakari ni genge la kukusanya Sadaka tu.
 
Ule ujinga wa maigizo hatutaki,safi Sana Rais..

Haiwezekani kila mwenye tatizo amtafute Rais.
Umejiuliza ni kwanini rais aseme mahakama zitende HAKI!? Na kwanini rais amalizie kwa kusema, "Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu." Hayo maneno yanapingana na mawazo yako hapa, hata rais anaona kabisa kwamba huku chini hawatendi haki
 
Mfumo Rais kutatua migogoro ya ardhi vijijini, mirathi na migogoro ya ndoa kwa mtu mmoja moja haufai, hakuna nchi moja iliyoendelea kwa aina ya mfumo huo. Pia ni kuchezea kodi za wananchi ikiwa mkuu wa wilaya au mkoa anatoa vibali vya watu kwenda kuonana na Rais ili kutatuliwa shida zao badala ya wao ma DC, RC na mawaziri kuzimaliza.

Hapa unachosema wenyeviti wa vijiji/mitaa na wakuu wa wilaya wako kama mapambo tu.
Kama umenisoma vizuri utakuwa umenielewa. Nchi zote duniani mwananchi usikilizwa. Na ikishindikana unaruhusiwa kumuona mtu wa juu au chombo maalum kinachosikiliza wananchi wenye malalamiko. Kwa Tanzania hatuna huo mfumo. Rais Ana madaraka yote.

Nilishawahi kuandika humu ndani, mfano. Kuna bibi haki ya mtoto wake alicheleweshwa kwa miaka 20 toka mwanae afariki kwa ajali. Yule bibi aliishi mikoani. Alikuwa bibi maskini na aliachiwa familia ya mtoto wake. Bibi alifuatilia haki ya mwanae kwa miaka hiyo bila mafanikio.
Huko wizarani alizungushwa. Alifikisha malalamiko kwa mkuu wa mkoa.
Mkuu huyo alijitahidi kushughulika lkn kwa kuwa yeye awezi mwamuru katibu mkuu wa wizara, mambo bado yalikuwa ni magumu. Katibu wa Wizara alikuwa anakubali atafatilia lakini mama hapati haki yake.



Mpaka hapo Rais alipotembelea mkoa ule, huyu mama alipewa nafasi ya kuonana na rais aeleze tatizo lake. Rais alitoa maagizo, na haki ya huyu mama ikashughulikiwa baada ya mika 20 kupita. Si yeye tu wapo wengi. Hao maDC na ma Rc unaosema kwa muundo wa mfumo wa serikali yetu kuna sehemu wanakwama hawawezi kumaliza kila kitu.
 
Umejiuliza ni kwanini rais aseme mahakama zitende HAKI!? Na kwanini rais amalizie kwa kusema, "Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu." Hayo maneno yanapingana na mawazo yako hapa, hata rais anaona kabisa kwamba huku chini hawatendi haki
Nimekwambia Rais hawezi kushughulikiwa individual problems,sio majukumu ya Rais,ndio maana kawatolea wito wahusika.
 
Kwa hiyo, Yesu aliyekubali Kuwasaidia watu katika Harusi kwa kuwapa Vinywaji ni mdogo kuliko Raisi wako?
Yesu alikuwa kiroho, Raisi hayuko kujenga imani za dini, Yuko ki Nchi na hana kundi moja tu la watu. Raisi sio mhubiri wa ki Imani.
 
Hivyo vingalikuwepo huyo Mama asingalienda kwa Raisi. Na zaidi, suala sio vyombo kuwapo bali ufanisi wake.
Vyombo vipo, kuna matatizo kwenye hivyo vyombo na Raisi anajua, Na yule mama amesaidiwa palepale japo Raisi hakutaka amsaidie kiSifa!!
 
Back
Top Bottom