Katiba mpya ndio jawabu la kudumu, sio kutembeza kichapo.Kilochobaki sasa ivi ni kutembeza kichapo, maana hawa watumishi wa umma kuna time wanakera haswa mpaka unaona uyo mama kafika hatua iyo ujue kashakutana na zarau za aina zote, sasa ivi wanakauli zao wanasema mliyekua mnamtegemea hayupo!!!! Raisi angeweza kusikiliza akatatua changamoto ya uyo mama na akaendelea na hotuba
Hata Marekani kuna masikini hadi ombaomba ila bado wanatoa misaada afrika.huwezi sikiliza mtu mmoja mmoja watu wanashida karibu nchi nzima. kila mtu na shida yake nenda ukakae mama mimi sio mama wa michongo kama baba wa michongo..ovaa!
Pepo mchafu akutoke.Kwa jibu hilo alilopewa huyo mlalamikaji asitarajie chochote cha maana hapo.. Haki yake ndo ishapotea hivyo
Hawezi kuingilia mambo ya kisheria.....sio magumu.Hawezi kuamua mambo magumu.
Aongee kiupole ili iweje? Mama hataki upuuzi hata kidogo.Angeweza kuongea kiupole kidogo kuliko alivyofanya…
Ndiyo tatizo la kukipa chama kimoja GUARANTEE ya kutawala milele.Haki haipatikani mahakamani wala Kanisani
Sijui tunaenda wapi?
Hakukuhitajika jaziba, ilikuwa ni kumueleza, kuwa "sawa mama nitakusikiliza ngoja nimalize hili. Wasadizi wangu nikumbushe jambo hili". Kama yule mama angeng'ang'ania basi ange kuwa amekosea zaidi. Lakini kwa hulka wala hakuonyesha kuwa ni mkorofi wa hivyo.
Mitego mingine aikwepe !
Haya mnyonge nenda kakae na mavi yako nyumbaniHalujifanya aliwapenda kwa dhati mkuu, roho yako mbaya ukiona mnyonge anaumia ndio furaha yako nikuambie tu kama haitajirudia kwako basi uzao wako utaonja shubiri ya unyonge siku moja
Mtafute umuulize yeye!
==========
Mama mmoja amesikika akimuomba Msheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassani kuwa anaomba atendewe haki, mama huyo amerudia mara 3 kusema anaomba atendewe haki, Lakini Rais Samia alimjibu kuwa hawa hapa wapo umeshatuandikia litanifikia nenda kakae. Rais Samia Aliendelea kusema kuwa ona yanajitokeza hata hapa. Hivyo kusisitiza mahakama zitende haki kwa kuangalia utu wa mtu.
Je! Unajuaje kama Huyu Mama ameisha waendea hao wote hajapewa msaada, Ndio Maana kaamua kujiripua kwa Mama yenu? Mama yenu anaroho mbaya ana msaada kwa Watanganyika,ila kwa Mafisadi tu.Wale wasaidizi wake ndio wapo karibu zaidi hivyo ni rahisi kupitia nyaraka na kuona tatizo liko wapi na hapo ndipo atamkabidhi kwa waziri kama kupitia kwa waziri ndio ufumbuzi wa tatizo lake,sasa shida hiko wapi? Kwanini mnalazimisha afanye kama Magufuli? mbona yeye hakumuiga Kikwete bali aliamua kushughulika kivyake!
kuna namna kila mtu anahitaji kupendwa na mtu kwa wanasiasa ni hivyo zaidi wao wanahitaji kupendwa na watu si Samia wala Magufuli mwanasiasa bora ni yule anayependwa na watu na kama Magufuli alifanikisha hilo au alikuwa analipambania hilo Basi ni Mwanasiasa Bora sana....... hii "mama anaupiga mwingi...." na kujenga madarasa kwa pesa za msaada wa covid zote ni jitihada za kutaka kupendwa na watuMaigizo yote haya yaliletwa na Magufuli kwa kutaka cheap popularity na kujifanya eti anapenda Saana wanyonge.
Upumbavu mtupu
Hapo umemaliza kila kitu👍.....kazi iendelee 💪🇹🇿👍Ule ujinga wa maigizo hatutaki,safi Sana Rais..
Haiwezekani kila mwenye tatizo amtafute Rais.
kwako nidhamu ni nini labda!? bila kufanya alichofanya lini Raisi angemwambia hilo alilolitaka litamfikiaKajibiwa vizuri Sana, hana nidhamu Huyo
Kuna watu watabisha.Naunga mkono.
Magufuli asingegombea urais 2015 leo angekuwa bado anaishi.
Katiba mpya ndio jawabu la kudumu, sio kutembeza kichapo.
kwako nidhamu ni nini labda!? bila kufanya alichofanya lini Raisi angemwambia hilo alilolitaka litamfikia