Duh! Rais Samia amkataa mama mnyonge aliyetaka kumlilia kama Magufuli. Nenda kakae…

Angeweza kuongea kiupole kidogo kuliko alivyofanya…
Wewe hujui kitu chochote alichokuwa akikifanya jpm kwa sasa ni lazima kifutike haraka sana?

Hata wateulevwa jpm waliobaki wa sasa ni wachache sana wote lazima waonfoke.

Pia wote walotolewa madarakani na jpm iwe kwa wizi au niji lazima warudishe.

Sasa kwa hili lililotokea angemsikiliza ingeonekana anafata ya jpm.

Hapo kiustaarabu, alitakiwa amute mtu ( wasaidizi wake) amwambie msikilie huyo mama.
 
Kuna watu humu jukwaani yabidi tuwafanyie mpango waolewe na hiki KIITWACHO sukuma gang maana kila mtoa ushauri asiokubaliana nao wanambatiza sukuma gang. Wamekuwa kama makahaba.
Hili neno la sukuma gang ni icon term ya kumchafua Magufuli liloanzishwa na mafisadi, wala rushwa, vyeti feki, wadhulumaji, wakwepa kodi, wahujumu uchumi, magaidi, wavivu
 
Utendaji huo wa aina ya Kikwete ulipelekea mpaka kinvs Mnyika wakamwita ni rais dhaifu
 
Nyie wanyonge hamuelewi hata hizo pesa za kujenga hayo madarasa haijapewa Tz tu,hata Rwanda pia nayo imepewa na ikajenga madarasa 22,000.

Kumbe wanyonge Kama kawaida yenu mlidhani Ni pesa zimekopwa ili awaonyeshe anawapenda 😄😄😄😄😄😄
 
Ukitaka ujue roho mbaya ya mwanamke awe na; 1. Pesa/ Mali
2. Wadhifa/Cheo
 
Staged events za kishamba sana.
 
Magufuli huyu mbona wanakagera walimlilia kuhusu tetemeko majibu yake yalikua.

Mriponichagua nirisema nitareta tetemeko?

Mto ngono nyie, katerero nyie, ukimwi nyie , tetemeko nyie.

Na wewe mkuu wa wiraya nikuereze ukwerii hakuna chakura cha serikali , serikari haina shamba .

Tetemeko limeiumiza serikari na wananchi hivyo kira mmoja katika upande wake abebe msaraba wake.

Mwafwaa.
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa jamaa ni wajinga sana! Rais analipwa na kulishwa na kodi za watanzania! Sasa yupo hapo kwa ajili ya tumbo lake au watanzania! Rais akikosea lazima asemwe yeye ni nani?
hebu sema wapi alipokosea!?
 
Anataka mahakama itende haki wakati yeye hatendei wananchi haki kwa kuhamasisha ufisadi!🐒🐒🐒
View attachment 2105423

Anasema watu wale kwa urefu wa kamba…wanyonge kero zao hawatatuliwi wanakimbilia juu anawarudisha kwa mafisi…

Halafu watu humu wana praise na kuworship eti alichofanya ni sahihi kweli mnyime binadamu pesa na elimu utamtawala milele…
 
"Kwa bahati mbaya sana serikali haiwezi kutoa haki bila kupitia mahakama"

Nani anamwandikia hotuba huyu Mama ? She needs help! She is a lightweight.

Mfumo wa mihimili ya nchi inayosigana ni bahati mbaya sana!

Samia amchukue Januari akamsaidie kuandika hotuba, kule Nishati hapawezi.
 
Hii sio awamu ya ujinga, Sasa Samia angeendesha kesi ampe huyo bwege ushindi? Taratibu zinafuatwa, sukuma gang bado mna wenge
 
Mama yupo sahihi, huyo mlalamikaji afuate taratibu za upatikanaji wa haki, naomba turejee kwa yule mama aliyetoa shutuma nzito sana mbele ya Mh.Magufuli, lakini baadaye ilikuja kubainika kuwa malalamiko hayakuwa na ukweli wowote

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…