Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

Kama unampenda Sana magufuli nenda ukazikwe naye! Khaaa hamjui kusoma alama za nyakati ? "Mene mene tekel na peresi" magufuli was evil alikuwa na roho ya ushetani. I hated mwendazake [emoji817] alikuwa ni shetani yule.

Sawa Malaika
 
Ngoja naye aondoke madarakani ndiyo tutaona naye madudu mengi chini ya hawa chama langu CCM hamna kitu,,,
Swept away CCM
 
Mtu yoyote anayemuona JPM alikua mpiga Dili na hakuwasaidia waTanzania, huyo mtu ni mnufaika wa ufisadi, jambazi, mjanja mjanja na yamkini ni kichaa wa akili
 
Hawa Raia Mwema waliwahi kusema Sabaya ana utajiri wa kutupwa. Hivi ni tuhuma gani ya Raia Mwema imewahi kufuatiliwa na kufanikiwa?
Na katika hili mimi nawaambia subutuuu!
Aliyeondoka ni JPM tu. CCM bado ipo, mfumo uliokuwepo, bado upo!
 
EPA na ESKROW zimefanywa nini? Wajinga ndio wanadanganywa. Raia Mwema wanavuta mpunga na kuandika habari hizi. Wajinga na walalahoi ndio wanaaminishwa.
 
Mama Rais afuatilie na ile miti iliyokatwa Selous pesa ilipelekwa wapi? madudu ni mengi muda ni mchache.
Miti magu alikata jmn muwe serious had miti mnauliziaaa ama kweli magu aliwakera wengi

Ila all in all aliwakera Zaid Wana mitandao Ila Rai wa simu kitochi uwambii kitu juu ya magufuli
 
Ila Mwendazake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ntu flani ya dili sana
 
Wewe ni mpumbavu. Nenda pale Wizara ya Fedha uone hadi leo kuna watu wanalipwa fidia kwa makosa aliyofanya na serikali yake kupora vitu vya watu. Sio kwamba kila kitu Nyerere alikuwa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…