Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

Duka la "Plea Bargain" lafungwa, Waliochukuliwa fedha zao waitwa kuhojiwa, uchunguzi waanza

Hivi magufuli kama asingekufa na akaendelea na madudu yake haya,halafu akaja kustaafu kama marais wengine,hizi tuhuma zingekuja ibuliwa?na kama zingeibuliwa muhusika angejisikiaje?
Sheria Mbovu Zinalinda Hawa Watu
 
Tunaihitaji maisha ya Sasa yawe Bora hizi story za kukimbilia simulizi tumechoka waliopo madarakani tuone basi hayo mazuri wayafanye huu ukata kwa wananchi mtaani upungue bei za Michele, unga, na mafuta
 
Tunaihitaji maisha ya Sasa yawe Bora hizi story za kukimbilia simulizi tumechoka waliopo madarakani tuone basi hayo mazuri wayafanye huu ukata kwa wananchi mtaani upungue bei za Michele, unga, na mafuta
 
pesa zirudi hatutaki MIJAMBAZI ILIYOJIVISHA KOFIA LA UZALENDO FEKI
 
Hii iende mbali zaidi ya plea bargaina, wapo waliolazimishwa na baadhi ya wakuu wa mikoa (Haswa Dar.) kutoa mali zao na fedsha zao kiubabe bila hata ya kufikishwa mahakamani. Kuna watu waliwekwa rumande kibabe tu, wakitoa pesa anaachiwa bila kupitia hiyo plea bargain, hawa ndio wengi zaidi.

Makonda ana mengi ya kujibu.
 
Hakuna watu wapuuzi kama watanganyika,nyie enzi za Kikwete mlikuwa mnapiga kelele kuwa nchi imevamiwa na mafisadi, mpaka Wapinzani wakafanya maandamano, mpaka Bunge likataka kulipuka Lissu na Zitto wakitoa tuuma za wizi wa IPTL na akina AgeCCo na Richmond,tume kibao ziliundwa watu wakawajibika,hata enzi za Kikwete kuna watu walisamehewa, lakini kwa shariti la kurudisha ela walizozichukua, mpaka Kikwete akaitwa mwizi na dhaifu.Alivyo ingia Magufuli kawashulikia wale waliokuwa wanatumiwa kwa kuwakamata,leo hii eti Magufuli anaonekana mbaya kisa alishughulikia waliokuwa wakipigiwa kelele kuwa wameshindikana,kweli nchi kupata maendeleo ya kweli lazima kizazi hiki cha wanafiki kitoweke,kije kizazi kingine.
NONSENSE...

Kwanini asiwepeleke mahakamani?!

Huo wizi walikuwa wanaenda na vifaru kwenye taasisi za serikali?!

Mbona hatujasikia kama aliwahi kumshughulikia Mwanasiasa yeyote au Kizito yeyote kutoka serikalini waliokuwa wana-facilitate huo wizi?!
 
Walioiba Wakati wa Magufuli mwambie Samia hawakamate kama Magufuli alivyokamata wezi wakati wa Kikwete,acheni propaganda wakina Lissu na Silaa na Myika Zitto co,ndio waliotuamanisha wizi ktk Serikali ya Kikwete tena kwa nyaraka na ushaidi, nyinyi naona mnaongea bumba akuna ushaidi wa kuonyesha wizi wa Magufuli labda chuki ndizo zinazowaongoza.
Nitajie ONLY ONE high profile politician and ONLY ONE high profile government official ambae Magu alimkamata!!

Wizi wa mabilioni hauwezi kufanyika bila kuhusika kwa watu wa aina hiyo... WATAJE!!

Au tuache ufisadi ambao ulifanywa awamu za watangulzi wake, na tuje huu hapa:-



Hapo anakiri hadharani mkataba wa ovyo wa zaidi ya Sh 1 TRILLION ambao waliingia Wizara ya Mambo ya Ndani, huku signatory akiwa Thobias Andengenye wakati akiwa Kamishna wa Zimamoto!

Aidha, anazungumzia zaid yai Sh 1.5M waliyokuwa wanalipwa akina Andengenye kwa siku kama sitting allowance....

Aliwafanya nini hao waliofanya ufisadi wakati wa utawala wake?!

Anyway, kama kawaida, akaja na drama za kuwafuta kazi lakini miezi 6 baadae, ITV wanatujuza:-
Pili, Mhe. Rais Magufuli amemteua Bw.Thobias Andengenye (aliyewahi kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma. Bw.Andengenye anachukua nafasi ya Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga ambaye amestaafu.
 
Hii iende mbali zaidi ya plea bargaina, wapo waliolazimishwa na baadhi ya wakuu wa mikoa (Haswa Dar.) kutoa mali zao na fedsha zao kiubabe bila hata ya kufikishwa mahakamani. Kuna watu waliwekwa rumande kibabe tu, wakitoa pesa anaachiwa bila kupitia hiyo plea bargain, hawa ndio wengi zaidi.

Makonda ana mengi ya kujibu.
Ila mwanzo uliiimba hapa kazi tu..
Ccm ni janga
 
Dar slum tulikua tunakaa kwenye foleni masaa,
Ile jam ilikua inakula mda wetu wote,
Sasa hivi hatuoni na tumesahau kabisa...

Mwendazake alikua shujaa wa Africa.
Natamani angeendelea kuwepo akwapue zaidi afanye maendeleo.

Haya yaliyopo saiz ni vituko.
Tuendelee kutoa tozo kwa moyo mmoja.
Hivi ni kwamba mnaamua kudanganya watu au HAMJUI ukweli wa mnachoongea?!

Barabara za Dar es salaam Magufuli amefanya kazi kama Msimamizi tu lakini mradi na pesa vyote alivikuta!!

Tukiacha BRT ambayo kila mwenye akili timamu anafahamu kwamba JPM aliukuta huo mradi, lakini ujenzi wa barabara zingine na masoko vyote vipo chini ya mpango wa Dar es salaam Metropolitan Development Project, na Magufuli kaingia madarakani wakati mradi umeshasainiwa, na funding imeshakuwa approved!

Walio-finance mradi wanasema:-

Maelezo marefu, je mradi uliidhinishwa lini?!

DMDP.png

So, unless angekuwa extraordinary idiot lakini hapo hata kama Hasheem Rungwe angeshinda urais, bado angejenga tu hizo barabara kwa sababu fund ilishakuwa approved!!

Na World Bank hawakuona taabu kugharamia hii Metropolitan Dev Project kwa sababu ndiyo waligharamia BRT.
 
Back
Top Bottom