Dunia iingilie kati, wameua tena Kamanda wa Hezbollah Lebanon

Intelijensia iloshindwa kugundua kama kuna watu zaidi ya 1000 wanakuja kuuliwa si bora ivunjwe

Maana siku watakuja kushangaa PM hawamuoni kumbe kaishafika ghaza anakula makonzi
Mimi kwa akili zangu hizi nahisi labda walikua na hizo taarifa lakini wakapuuzia au waliruhusu hilo litokee ili wafanye wanayofanya sasa.

Zaidi wanajua wao wenyewe.
 
Wao wanaua mtu mmoja Hizbullah wenzao wanakunja kambi nzima

Halaf idadi wanawaachieni wenyewe mkitoa msitoe shauri zenu
Kambi nzima wameua wapi?! 😂😂😂😂

Yani Hezbollah waue kambi nzima IDF watulie tu, mpaka sasa zaidi ya Hezbollah 150 wametangulizwa mbele za haki.
 
Niliwambia israeli ndani miezi mitatu hiii kuanzia januari 2024 hamasi itakuwa imefutwa na hizibora itakuwa imefutwa Hawa jamaa vita tangu adamu na eva wanapigana vita wanauzoefu sana ujuzi wamao na Mungu wanae
 
Mimi kwa akili zangu hizi nahisi labda walikua na hizo taarifa lakini wakapuuzia au waliruhusu hilo litokee ili wafanye wanayofanya sasa.

Zaidi wanajua wao wenyewe.
Sidhanii kama israhell kama walikua wanatafuta sababu

Israhell chini ya mama ake uk na ant yake us akiamua kufanya anafanya tuuu
 
Kambi nzima wameua wapi?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yani Hezbollah waue kambi nzima IDF watulie tu, mpaka sasa zaidi ya Hezbollah 150 wametangulizwa mbele za haki.
Over-rated israhell unadhani ina maajabu gani

Sio kama wanapenda yanayofanywa na Hizbullah ila wanaona watapoteza
 
Niliwambia israeli ndani miezi mitatu hiii kuanzia januari 2024 hamasi itakuwa imefutwa na hizibora itakuwa imefutwa Hawa jamaa vita tangu adamu na eva wanapigana vita wanauzoefu sana ujuzi wamao na Mungu wanae
Muoneni huyu
 
Walipewa ardhi kubwa na nani israhell anatakiwa aondoke kwenye ardhi ya watu aache ujinga ujinga
Ardhi ya watu ni ipi? Kwani Palestine ilishawahi kuwepo mbona hata Quran hakuna sehemu imelitaja taifa la wapalestina ila Israel imetajwa kwenye Quran sasa sijui huwa ni ardhi ipi ya wapalestina huwa mnadai labda Gaza ndio saizi yao
 
Over-rated israhell unadhani ina maajabu gani

Sio kama wanapenda yanayofanywa na Hizbullah ila wanaona watapoteza
Humu mlituambia Israel inawaogopa Hezbollah kama ukoma Leo Hezbollah wanatandikwa kila uchwao na viongozi wao wa ngazi za juu wauawa lakini hatuoni jibu LA maana zaidi ya kurusha vijiroketi na kuharibu majengo😂😂😂.
 
Kama wangekua wanaweza kulinda raia wake wangeenda kuwaokoa kwanza magaidi wao waliotekwa
Mbona wapo hapo Gaza wanaendelea kuigeuza Gaza kuwa majivu na kuteka maeneo ya Hamas na kuuawa viongozi Hamas phase 3 ndio tutawaokoa mateka tunajua wapo nje ya Gaza
 
Hii ya raia kama "kinga", imewakaa sana akilini mwenu, huwajui vizuri idf wala lengo lao kwa wapalestina, ila mmekariri tu kinga kinga!
Sasa kama Hamas wanaenda kuichokoza Israel wenyewe mfano October 7 halafu wanajificha hospitalini,shuleni,misikitini na sokoni na kwenye nyumba za raia Israel inakuja kulipa kisasi na kuua wapalestina wengi kama kuku halafu mnasema hii jihadi sasa jihadi gani mnashindwa kuwatetea waislamu wenzenu kuuawa
 
Hapo hakuna anaeweza zuia hiyo vita, wataendelea mpaka mwisho wa Dunia na Israel hawezi shindwa hata siku moja
 
Kwa hiyo jamaa muda huu kaishakabidhiwa 72?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…