Dunia ijiandae kushuhudia kile kitakachompata Israel -Tehran

Iran imetangaza kupitia stesheni ya chaneli 3 iliyopo mjini Tehran ya kuwa masaa machache yajayo ulimwengu ujiandae kushuhudia jambo kubwa la kihistoria.
Iran ina nini cha kuitisha Israel? Iran hii ambayo ipo uchi kwa Israel wairan wanauwawa na israel ka mbwa? Hakuna nchi hapo ME inayoweza kuisumbua Israel kamwe hakuna. Walishajaribu kujikusanya mataifa 6 na walikung'utwa mpaka raisi wa egypt akafa kwa kihoro.
Israel ina best ever intel in the world ambayo hakuna nchi inayo!
Israel ina watu wenye miakili ambazo kamwe waajemi hawana na hawajawahi kuwa nazo na hawatakuja kuwa nazo.
Anyway muiran huyo hapo akijianda kuimaliza Israel🤣😆🤣😆
 
Kweli naona wairan wakijiandaa kurusha nyuklia israel
 
🤣🤣🤣🙌
 
Russia wameshaonesha kila dalili ya kumsupport Iran na amepeleka silaha Tehran, Russia akipigana popote basi China anamsupport
Hakuna mchina mjinga wa kwenda kumsupport Russia. China iko busy kwenye biashara na upigaji mwingine wa rasimali lakini sio vita zisizowahusu.
Russia mara nyingi huunganisha harakati zake za kivita na Iran na Korea kaskazini.
 
Namuona kamanda Alwaz Webabu kapiga msamba wa Van Dame
 
We faza hivi tiktok unatumia jina gani ahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…