The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Huyo Alwaz kabadilisha jina la ID yake ndo WebabuDah! Umenikumbusha Alwaz! Alikuja moto kweli kipindi kile HAMAS wameshambulia Israel na kuchukua. mateka. Sasa hivi kaamua kujikalia kimya na kujikita kwenye kilimo chake cha matikiti!
Kumbeeeee!!!Huyo Alwaz kabadilisha jina la ID take ndo Webabu
Ok! Hataki tena unasaba na Ayatollah! Ahahahahaha!!!Yupo sana kabadili Id sasa hv ana jiita Webabu 🤣🤣
Kwani nini maana ya WW?Middle haiwezi kusababisha ww3
Middle ni kama Afrika tuu
kwani ni jambo jipya, mbona russia ina msupoort iran since waaaaay back?Russia wameshaonesha kila dalili ya kumsupport Iran na amepeleka silaha Tehran, Russia akipigana popote basi China anamsupport
Wamarekani naona hawana say kuhusu israel,yaani kinachoendelea ni kama kumkataza mtoto asifanye kitu bila action yoyoteinaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL,
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki,
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari,
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL .
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
Mchina huyu?!!! Hakuna loloteRussia wameshaonesha kila dalili ya kumsupport Iran na amepeleka silaha Tehran, Russia akipigana popote basi China anamsupport
Watu washajianda muda mrefu na mbinu zote zimejulikana. Atakalishwa na kuaibishwa Sana safari hii. Yeye Angepiga kimyakimya
attack ya october 7,ilimkumba mtanzania mwezetu ambaye ni mateka kati ya wale 1,220 sijui serikali yetu ina hii taarifa na kuifanyia kaziDah! Umenikumbusha Alwaz! Alikuja moto kweli kipindi kile HAMAS wameshambulia Israel na kuchukua. mateka. Sasa hivi kaamua kujikalia kimya na kujikita kwenye kilimo chake cha matikiti!
"Our response will be decisive and unforgettable”-IranMkwara mbuzi wa vijukuu vya allah huo.
Israel kinachompa jeuri ni USA na ulaya. Otherwise wangetoshana nguvu.Iran kusema itaishinda Israel kivita ni ndoto, siyo jambo rahisi.
Uwezekano wa kushindwa ni mkubwa, Ingawa lolote kinaweza kutokea.
Tuweke akiba ya maneno.
Hii inaitwa mikwala...Iran na maayatollah maneno mengi ya kutishia lakini vitendo waoga
Ila Iran wasije kuanza kulia na kusaga meno huku wakiomba msaada wa nchi za kiIslamu za OIC na umoja wa mataifa UN baada ya kujitutumua kwa kujidai kurusha kikombora Israel
Ukiarifiwa alafu ukapigwa inakuwa aibu kwa naniWatu washajianda muda mrefu na mbinu zote zimejulikana. Atakalishwa na kuaibishwa Sana safari hii. Yeye Angepiga kimyakimya
Unajichanganya sana, mara Iran maneno mengi ya kutishia mara wasije kuomba msaada baada ya kujitutumua.Iran na maayatollah maneno mengi ya kutishia lakini vitendo waoga
Ila Iran wasije kuanza kulia na kusaga meno huku wakiomba msaada wa nchi za kiIslamu za OIC na umoja wa mataifa UN baada ya kujitutumua kwa kujidai kurusha kikombora Israel
Not this time Selikavu!Watarusha makombora kama kawaida yatunguliwe na Iron Dome waseme kisasi kimeisha
Kwa kitendo walichokifanya Israel, ni wazi kabisa kuna watu wanapenda kupigana.Hakuna kitu kama WW3. Sio kwa dunia hii ya saivi. Binadamu wa saivi wanapenda kula bata sio kupigana. Ndio maana hata vita za siku hizi wanatuma drone sio wanajeshi
Hivi Iran walishafanikiwa kuwa na silaha za nyuklia?inaelezwa kuwa iran IMESEMA Itatoa kipigo kizito Kwa Israel na safari hii huenda ikatimia siraha zake za maangamizi za NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL,
Hali ya hatari imetanda Huko Israel huku wananchi wakikimbizana na kujificha kwenye maandaki,
Waziri mkuu wa Israel benjamin netanyahu ametangaza Hali ya hatari,
Tayari hofu imetanda Huko Israel
Iran wamepanga kutumia mabomu ya NYUKLIA KUISHAMBULIA ISRAEL .
Marekani wanasema kama iranw itapiga NYUKLIA basi huenda vita vya tatu vitatokea.
Iran imetangaza kuanza kufanya mashambulizi ndani ya masaa YAJAYO.
Kwani nini maana ya WW?