Under USA patent, zote ni mali za USA......Naomba Kuuliza China Wana Produce Vitu Vingi Je Inaweza Kuwa Na Thamani Kuliko Dollar
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Under USA patent, zote ni mali za USA......Naomba Kuuliza China Wana Produce Vitu Vingi Je Inaweza Kuwa Na Thamani Kuliko Dollar
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Brain washedSi kweli, thamani ya pesa inatokana na what you produce to the world. Kila kitu kinapatikana USA, kila nchi inahitaji kitu from USA, fedha yao itaabudiwa tu!
Kwa Nini Wao Wanaweza Kufanya Hivyo Na Sisi Hatuwezi?No
Huu mchezo wa kuchapa pesa ndio mchezo wao.
Marekani inaweza kuchapa pesa na kuzitia kwenye mfuko kisha kuja direct Tanzania kununua dhahabu , rubi n.k
Ila wewe huwezi kuchapa pesa zako za Kitanzania na kuzibeba kama zilivyo kwenda kununua kitu US.
[emoji28][emoji28][emoji28] A to Z ArushaKwani zile neti tulizopewa bure huku mtaan kwa niaba ya usaid zilitengenezwa wap
Utakuwa nyumbani au milembe hospital😂😂😂‼️⁉️Comedian ukraine anawanyoosha poleni ndo Vita yenyewe
unahis wamenunua mara ngap ? je tungekuwa na boeng ngap ?huyu hajui, unazichapa nyingi kununua rubby tanzania halafu Tz inazirudisha kwako kukunu Boeing! does it make sense kweli?
umewai kumjibu chiefsandali usitoe weak reasoning to that level! f that is the case, then tanzania tutanunua Boeing kama IST toka marekani, maana tutakuwa na madola kibao ya madini yetu!
Kaka hii dunia mwenye nguvu ni yule anayeweza change narration. Anayeweza sema hiki ni cheupe ingawa ni cheusi, na wote tukakubali kuwa ni cheupe. Watu kama hawa hata ukiwa na bonge la dhahabu mkononi, wakisema ulichoshika ni blood diamond, thamani yake inashuka hadi sifuri. Wanaweza set bei ya unachouza, na wao wakiwa wanunuzi wakuu.Marekani iliipiga changa ya macho dunia kwa muda mrefu. Ikalazimisha dola iwe ndio pesa rasmi katika biashara za kimataifa na uchumi wa dunia. Wanachofanya ni kuchapisha noti tu za dola na kuipa thamani kwa kauli tu.
Dunia nayo ikawa imejikuta inakubaliana na changa hilo la macho. Lakini Urusi imeiamsha dunia na marekani imepaniki. Urusi imesema kila nchi inaweza kutumia pesa yake ya ndani kwenye miamala ya kimataifa.
Uamuzi huo ghafla ukairudishia thamani pesa yake ya ruble iliyokuwa imeshuka sana thamani kwa zaidi ya asilimia 90.
Kwa sasa mataifa kama india, China, Brazili tayari yamejifunza kitu na yataanza kutumia pesa za mataifa yao kwenye biashara baina yao na mataifa mengine yatakayokubali.
Urusi imeandaa mfumo wake kama ule wa SWIFT kwa ajili ya miamala ya kimataifa na nchi zimeshajiunga tayari na kwa kuanzia mataifa hayo (ukiacha mataifa ambayo hayaogopi kitu kama India na China) hayataainishwa ili kuyakinga na vitisho na vikwazo vya marekani.
Ndio maana Marekani inahaha kuongeza vikwazo kila siku na kupeleka silaha ukraine, si kwa kuwa inaipenda sana ukraine lakini inataka kuangusha kabisa uchumi wa urusi na kuipunguza nguvu kijeshi.
Japo mpaka sasa marekani inaonekana haijafanikiwa kwa hilo ila mambo yanaigeukia yenyewe kuwa mabaya!
😅nasubiri akujibu ili niongeze swali la nyongeza. na asituambie anatumia smartphone za apple.
Ukiwaambia kuwa uchumi wa china unabebwa na US na Ulaya hawatakuelewa, pia US na Ulaya bidhaa zao ni jiwe haswa, tofauti na china.Viwanda vya china /urusi haviwezi kushindana na vya USA kwa ubora, ndiyo maana huoni Ihone maduka ya mitaani. By the way, viwanda vya maana vingi uchina ni patent za USA, Am I right?
Hahahahaaa.... LohSwali zuri sana!
Dola ya marekani inaongezewa thamani na nchi za kiarab maana waliingia mkataba wa manunuzi yote ya mafuta lazima yatumie dolaThamani ya fedha inategemea na utegemezi wa bidhaa na mahitaji ya nchi yako.
USA thamani ya fedha yake ni kubwa kwa sababu anazalisha bidhaa nyingi zinazotegemewa na watumiaji wengi duniani
Sasa wewe ulazimishe itumike fedha katika mauzo ya bidhaa ipi?
Hamna ukwlei, ....pesa ya Kenya ina thamani zaidi ya pesa ya Japan[emoji51][emoji51]Si kweli, thamani ya pesa inatokana na what you produce to the world. Kila kitu kinapatikana USA, kila nchi inahitaji kitu from USA, fedha yao itaabudiwa tu!
sisi wacommunist tunauwezo mdogo kudili na Mambo makubwa Ukraine chambo tu na dollar nihabari ya dunia kizazi and generation .......rubble angalia tu neno lenyewe lapesaUtakuwa nyumbani au milembe hospital[emoji23][emoji23][emoji23][emoji845][emoji3480]
Cha kujiuliza ni hapo kwako na kwangu na kwa mwingine,ofisini, barabarani unatumia vitu vingapi vya mmarekani ndio tutapata jibu la uhitaji wa dola.Kila kitu kitu gani..acha fix. Inaonekana ubongo wako umejaa propaganda mpaka huwezi kupumua
Si kweli, thamani ya pesa inatokana na what you produce to the world. Kila kitu kinapatikana USA, kila nchi inahitaji kitu from USA, fedha yao itaabudiwa tu!