MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
- Thread starter
- #121
Madhara ya kubaki Bila kujua baadhi ya vitu vinavyokutatiza ni kuamua kuwa mtumwa wa wazushi wachachekuna vitu vingine hupaswi hata kuviwaza utachizika bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madhara ya kubaki Bila kujua baadhi ya vitu vinavyokutatiza ni kuamua kuwa mtumwa wa wazushi wachachekuna vitu vingine hupaswi hata kuviwaza utachizika bure.
Kwa nini watu msioamini Mungu hamna mnachojua wala kusimamia zaidi ya maswali kwa wanaamini Mungu. Hata hapa mmepewa uwanja nguvu zenu zote mmeishia kupinga kile wanachoamini watu wa Mungu na sio kutetea mnachoamini. Unachoshindwa kuelewa hata kutoa mini Uwepo wa Mungu ni dini na sio sayansi inayogeuzwa kama kichaka cha kukimbilia.Mnachekesha sana nyinyi wafuasi wa dini... hivi mnaposema mmeongea na Mungu wengine mmeongea na Yesu... hivi why kwenye wakati mnaongea nao hamuwaulizi haya maswali??? Alafu kitu kingine... mnadai kwamba makanisa au misikiti ni nyumba za bwana. Swali kwanini nyumba hizo milango yake inalokiwa au ni kwanin kunakuwa na walinzi wanaolinda. Kwanin zinawekwa magrili kwenye madirisha??? I think u get my point.
Sawa[emoji1] [emoji1] [emoji1] si lazima vitu vyote uvichunguze na wala huwezi kuwa mtumwa.
Unatumia bibilia au hisia. Kunzia sura ya nne unapewa hadi umri wa adamu alipopata mtoto wa Tatu. Yaani tangu aumbwe hadi anamzaa Seth Adam alikuwa na miaka 130 ikumbukwe hadi Adam anakuwepo Dunia ilikuwa na siku Sita tu. 24hrs kama Musa alivyofafanuliwa in details Mungu mwenyewe ktk vitabu vyake vinavyofuata. Tuache story za kuadithiwa tusome wenyewe.Ukweli ni kwamba Mungu ndiye aliyeumba vitu vyote tuvionavyo na visivyoonekana. Hilo la umli wa miaka 6000 ni nadharia tu isiyo na ukweli. Biblia kitabu cha mwanza kuanzia sura ya kwanza hadi ya ya kumi ni masimulizi tu yasiyo na umli wa uhakika. Kama biblia inavyosema "miaka elfu kwake ni kama kesha la usiku mmoja na jana iliyopita" hicho ndicho kikomo cha akili za mwanadamu. Miaka 6000 inaanza kuanzia kitabu cha mwanzo 11, hapo ndipo tunapata usahihi wa miaka na matukio yaliyonyooka. Sura ya kwanza hadi ya kumi ni masimlizi ambayo umli wake haujulikani.
Hata hizo siku sita yawezekana ni maelfu ya miaka. Mawazo yetu binadamu yanafikia ukomo wa kufikiri, tukubali ukweli ni huo hata hiyo miaka uliyotaja ni ya kukisia tu si sahihi.Unatumia bibilia au hisia. Kunzia sura ya nne unapewa hadi umri wa adamu alipopata mtoto wa Tatu. Yaani tangu aumbwe hadi anamzaa Seth Adam alikuwa na miaka 130 ikumbukwe hadi Adam anakuwepo Dunia ilikuwa na siku Sita tu. 24hrs kama Musa alivyofafanuliwa in details Mungu mwenyewe ktk vitabu vyake vinavyofuata. Tuache story za kuadithiwa tusome wenyewe.
Mbinguni siku moja ni Sawa na miaka 1000. Hii relationship ni Mbinguni ila sio duniani. Mbinguni pako nje ya universe kwa maana nyingine hapako affected na time.
Maelfu unayatoa wapi mkuu. Hizo ndio naziita hisia. Mungu mwenyewe anasema ikawa asubuhi ikawajioni siku ikapita. Kama haitoshi karudia tena na tena kumfafafnulia Musa kuwa aliumba Dunia kwa siku Sita. Akaandika mwenyewe kwa kidole chake. bibilia nzima Mungu kaandika kwa kutumia third-party yaani wanadamu waliovuviwa isipokuwa sehemu mbili tu. Sehemu mojawapo ni pale kwenye zile mbao mbili za mawe akafafanua kuwa yote yalifanyika kwa siku Sita na Saba akapumzika. Hizo elfu tunaziingizaje hapo. Kwanza unampunguzia Uwezo yaani mfano Adam na hawa waliumbwa kwa muda wa miaka elfu. Inaonekana alihangaika sana aisee kwa mtazamo wako. Mimi nakubaliana na wew Kuna mambo mengi tunaukomo nayo ila sio hili.Hata hizo siku sita yawezekana ni maelfu ya miaka. Mawazo yetu binadamu yanafikia ukomo wa kufikiri, tukubali ukweli ni huo hata hiyo miaka uliyotaja ni ya kukisia tu si sahihi.
bosi Mseza, anaye sema ikawa asubuhi na jioni siyo Mungu ni Nabii Musa alo andika hiyo stori.Maelfu unayatoa wapi mkuu. Hizo ndio naziita hisia. Mungu mwenyewe anasema ikawa asubuhi ikawajioni siku ikapita. Kama haitoshi karudia tena na tena kumfafafnulia Musa kuwa aliumba Dunia kwa siku Sita. Akaandika mwenyewe kwa kidole chake. bibilia nzima Mungu kaandika kwa kutumia third-party yaani wanadamu waliovuviwa isipokuwa sehemu mbili tu. Sehemu mojawapo ni pale kwenye zile mbao mbili za mawe akafafanua kuwa yote yalifanyika kwa siku Sita na Saba akapumzika. Hizo elfu tunaziingizaje hapo. Kwanza unampunguzia Uwezo yaani mfano Adam na hawa waliumbwa kwa muda wa miaka elfu. Inaonekana alihangaika sana aisee kwa mtazamo wako. Mimi nakubaliana na wew Kuna mambo mengi tunaukomo nayo ila sio hili.
Wasingeuliza maswali mepesi kama haya. Ukiacha wapagani wakigiriki na baadhi ya dini za mashariki. Sehemu Kubwa ya mashariki ya Kati hadi ulaya yote hili halikuwa swali hadi walipokuja wanaojiita watalamu na nadharia zao miaka ya 1500. miaka imekuwa inaongezeka kunzia hapo walipoanza na kukisia miaka mitatu leo billion 14 ikifika 2050 watakufikisha trillion 10. Huku kadilio la miaka 6000 likizidi kuwa imara Bila kuyumbaHapa waliotuangusha ni wale wanafunzi wa Yesu,kwa sababu miongoni mwao kwa mujibu wa kitabu cha kikristu Biblia,walikuwa wasomi na mmoja wao ni Marko. Hawa walipaswa kumuuliza haya maswali na majibu ya Yesu yangesaidia sana leo.
Kwa hali ilivyo hivi sasa,Biblia na vitabu vingine vya Dini,haviaminiki tena. Na ni vigumu sana kuamini uwepo wa Mungu. Nadhani hii dhana ya uwepo wa Mungu ilikuwa mbinu tu ya watu kupiga hela!!
Unatoa insight Nzuri mkuu ila unachoficha ili evolution iwe valid inabidi ukubali kuwa hayo mabadiliko yalihitaji millions of years. Unarudi kulekule hicho ni kichaka kilichotumika kuandaa ulimwengu ili utakapohoji why not now wapate pa kuegemea. Mimi nimeisoma shule nimefuatilia scholars kadhaa wa hii idea Tena Kuna evolutionists nguli kabisa hakuna wa kulinganishwa nae baada ya kugundua tofauti ya genes zilizopo Kati ya viumbe wawili wasiofanana na impossibility ya kuongezeka kwa number of gene au new genome akaachana kabisa na hizi hekaya. Ukiona Kuna mbwa wa aina hamsini fact ni kwamba it's due to trillions of information stored in genes. Ndio maana hata abadilikeje anabaki kuwa mbwa hawi papai au sisimizi.1. Hata kama dunia ni older for 1000 years haitabatilisha theory ya evolution kwa sababu Evolution haina uhusiano sana na mabilioni bali inahusiana na mabadiliko ya kiumbe kutoka hatua moja kwenda nyingine.
2. Dunia inaweza kuwa old to 3billions na kuendelea lakini bado haimaanishi creation ni wrong. Who knows kama neno siku ni 24 hours? What if its a long period of time? Who knows!
Dating sio part ya evolution bali ni part inayojaribu kupima validity ya evolution.
I want you to tell you what I see here. You are resisting an idea rather than facing it. Usipoteze wakati kutaka kukataa idea bali isome na ichunguze zaidi na sio kukimbilia kuipinga au kuilinganisha na unachotaka kuelewa.
Sky is not the limit, The Mind is the limit.
.Maelfu unayatoa wapi mkuu. Hizo ndio naziita hisia. Mungu mwenyewe anasema ikawa asubuhi ikawajioni siku ikapita. Kama haitoshi karudia tena na tena kumfafafnulia Musa kuwa aliumba Dunia kwa siku Sita. Akaandika mwenyewe kwa kidole chake. bibilia nzima Mungu kaandika kwa kutumia third-party yaani wanadamu waliovuviwa isipokuwa sehemu mbili tu. Sehemu mojawapo ni pale kwenye zile mbao mbili za mawe akafafanua kuwa yote yalifanyika kwa siku Sita na Saba akapumzika. Hizo elfu tunaziingizaje hapo. Kwanza unampunguzia Uwezo yaani mfano Adam na hawa waliumbwa kwa muda wa miaka elfu. Inaonekana alihangaika sana aisee kwa mtazamo wako. Mimi nakubaliana na wew Kuna mambo mengi tunaukomo nayo ila sio hili.
Variation of organisms wenye uhusiano hakuna anayekataa ukipenda utaiita evolution ila ukipenda. Wengine wanaiita scientifically microevolution. Yaani mbwa atazaa mbwa tu wa aina mbalimbali na si kiumbe kingine. Au Mzungu anaweza kuzaa mwarabu au mtu mweusi Bali sio kuzaa kinyonga(macroevolution which is genetically impossible). Aina hii ya evolution hakuna anayeipinga maana kimsingi sio evolution Bali ni matokeo ya kuwepo kwa gene pool. Ni Sawa uwe na nyumba tano kila moja Ina vitu vitano yaani msichana Sauti nyororo mwanaume mwenye best, mbuzi, ng'ombe naEvolution pia inaweza kuwepo ndani ya Creation myth. Kama uhalisia kuwa creationist mnaamini kuwa Mungu alimuumba mwanadamu na akabadilika kuwa Africans, Indians, White n.k kutokana na mazingira na adaptation hapo tayari theory ya mageuzi imeshirikishwa katika maelekezo.
Tuache kukariri wrongly kuona evolution ni nyani kuwa mwanadamu tu, au mabillion ya miaka au inapinga creation au theory ya kishetani. Hizo ni limited delusions za jamii inayotaka kuelewa itakavyo.
Evolution kwa kifupi ina maana ya MAGEUZI. Kuwa viumbe havina appearance ya moja kwa moja bali hubadilika.
Tukiiweka hii theory simply na short ndipo mtaelewa kuwa its a logical argument na sio kelele.
Mstari wa 4,8,9,8 unakutaka urudi kulekule mwanzo1,2 kutoka 20 na kumchunza yoshua kama alikuja na kitu tofauti zaidi ya aliyachiwa na Musa. Hapa wengi huwa tunaferi maana haya mambo huwa tunayasoma agano jipya tunaishia huku huku Bila kurudi kwenye source. Mwanzo 1,2,3 summarizes the Bible maana Bila mwanzo Tatu hakuwa na haja ya kuwepo agano jipya wala habari ya yesu kuja. Hakuna justification ya miaka elfu ktk uumbaji. Bible gave open and naked truth. Au nisaidie unataka kuhusianisha vipi na Mada hayo maandiko..
Waebrania 4
1 Basi, ikiwa ikaliko ahadi ya kuingia katika raha yake, na tuogope, mmoja wenu asije akaonekana ameikosa.
2 Maana ni kweli, sisi nasi tumehubiriwa habari njema vile vile kama hao. Lakini neno lile lililosikiwa halikuwafaa hao, kwa sababu halikuchanganyika na imani ndani yao waliosikia.
3 Maana sisi tulioamini tunaingia katika raha ile; kama vile alivyosema,Kama nilivyoapa kwa hasira yangu,Hawataingia rahani mwangu:ijapokuwa zile kazi zilimalizika tangu kuwekwa misingi ya ulimwengu.
4 Kwa maana ameinena siku ya saba mahali fulani hivi, Mungu alistarehe siku ya saba, akaziacha kazi zake zote;
5 na hapa napo, Hawataingia rahani mwangu.
6 Basi, kwa kuwa neno hili limebaki kwamba wako watu watakaoingia humo, na wale waliohubiriwa habari ile zamani walikosa kuingia kwa sababu ya kuasi kwao,
7 aweka tena siku fulani, akisema katika Daudi baada ya muda mwingi namna hii, Leo; kama ilivyonenwa tangu zamani,Leo, kama mtaisikia sauti yake,Msifanye migumu mioyo yenu.
8 Maana kama Yoshua angaliwapa raha, asingaliinena siku nyingine baadaye.
9 Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu.
10 Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake.
11 Basi, na tufanye bidii kuingia katika raha ile, ili kwamba mtu ye yote asije akaanguka kwa mfano uo huo wa kuasi.
.
LAZIMA KUJIULIZA ZILE SIKU SITA ZA KUUMBA NA YA SABA KUPUMZIKA ZILIKUA ZINAASHIRIA NINI? KAMA HUPATI ZINACHO-TIPY TYPE BASI JUA KUA UPO KTK MAHESABU YA KIMAKOSA KABISA. HATA HIVYO BIBLIA INALENGA SHABAHA KWA 100% ILA LABDA IPOTOSHWE NA TAFSIRI POTOFU.
Funguka na karibu sana.Mada hii nakumbuka niliianzisha ktk group la shule lakn waliipotezea.
Mimi naamini Evolutionists kwa sababu. Natamani sana nitoe sababu ya kuamini
Discussion yoyote ambayo inawanyima mwanya wa kuuliza maswali ya kejeli kuhusu Bibilia na Mungu huwa ni weupe, wanapanic ovyo na wanawahi kuaga maana hawana wanachosimamia kama evolution huwa wanaamini kwa uogauoga. Usijali hayo ni madhara ya kuishi maisha ya maswali badala maisha ya kutafuta mujibu ya maswali. Hana cha kusimamia nje ya kupinga bibilia.Unapingana na Biblia halafu mada inakutaka useme wewe unakubaliana na kitu kipi au dhana ipi juu ya umri wa dunia,hujioni wewe wa ajabu?
Wenzako wanajiita high critics wanaorahisisha bibilia katika level hizo wameanza kutafuta upingaji mpya maana maswali mengi juu ya Uhalali wa maandiko ya bibilia utajibiwa na makoleo yanayofukua taarifa nyingi za awali nyingine ni miaka 2000 bc huko misri kwenye mapiramidi na sehemu nyingi tu. Mfano hizo unazoita stori wanakutana na facts za yusufu muebrania aliyekuwa 2IC wa farao huyu kaandikwa kwenye kitabu hichohicho ambacho wewe unaona ni story za kutunga. Inabidi uupdate criticism zako dhidi ya Mungu na bibilia mkuubosi Mseza, anaye sema ikawa asubuhi na jioni siyo Mungu ni Nabii Musa alo andika hiyo stori.
Wenzako wanajiita high critics wanaorahisisha bibilia katika level hizo wameanza kutafuta upingaji mpya maana maswali mengi juu ya Uhalali wa maandiko ya bibilia utajibiwa na makoleo yanayofukua taarifa nyingi za awali nyingine ni miaka 2000 bc huko misri kwenye mapiramidi na sehemu nyingi tu. Mfano hizo unazoita stori wanakutana na facts za yusufu muebrania aliyekuwa 2IC wa farao huyu kaandikwa kwenye kitabu hichohicho ambacho wewe unaona ni story za kutunga. Inabidi uupdate criticism zako dhidi ya Mungu na bibilia mkuu
Variation of organisms wenye uhusiano hakuna anayekataa ukipenda utaiita evolution ila ukipenda. Wengine wanaiita scientifically microevolution. Yaani mbwa atazaa mbwa tu wa aina mbalimbali na si kiumbe kingine. Au Mzungu anaweza kuzaa mwarabu au mtu mweusi Bali sio kuzaa kinyonga(macroevolution which is genetically impossible). Aina hii ya evolution hakuna anayeipinga maana kimsingi sio evolution Bali ni matokeo ya kuwepo kwa gene pool. Ni Sawa uwe na nyumba tano kila moja Ina vitu vitano yaani msichana Sauti nyororo mwanaume mwenye best, mbuzi, ng'ombe na
Kinanda kwa miaka ishirini kila nyumba iwe inatoa Sauti ya kimoja Bila vingine. Siku ukisikia Sauti ya mbuzi kwenye nyumba uliyozoea kusikia Sauti nyororo ya mwanamke unasema hiyo Sauti imeibuka(darwin). Kumbe kiukweli vilikuwemo vyote ndio maana hutakaa kusikia Sauti ya kasuku ndani ya nyumba hiyo hadi Dunia inakwisha kwa maana hayumo katika voice pool. Sasa mendel (creationist and founder of modern genetics) akamzikia hapo Darwin na sound zake japo wafuasi na waendelezi wa hii itikadi wanaforce hadi huku.
Niko tayari kukosolewa ninapoonekana napotosha
Kila siku huwa nakuelekeza yet pia huwa hutaki kuelewa.Discussion yoyote ambayo inawanyima mwanya wa kuuliza maswali ya kejeli kuhusu Bibilia na Mungu huwa ni weupe, wanapanic ovyo na wanawahi kuaga maana hawana wanachosimamia kama evolution huwa wanaamini kwa uogauoga. Usijali hayo ni madhara ya kuishi maisha ya maswali badala maisha ya kutafuta mujibu ya maswali. Hana cha kusimamia nje ya kupinga bibilia.
Nawafahamu sana hawa watru mkuu na hawanipi shida.....Discussion yoyote ambayo inawanyima mwanya wa kuuliza maswali ya kejeli kuhusu Bibilia na Mungu huwa ni weupe, wanapanic ovyo na wanawahi kuaga maana hawana wanachosimamia kama evolution huwa wanaamini kwa uogauoga. Usijali hayo ni madhara ya kuishi maisha ya maswali badala maisha ya kutafuta mujibu ya maswali. Hana cha kusimamia nje ya kupinga bibilia.