Tetesi: Dunia inasubiri Taarifa moja tu ya kutisha kutoka Russian federation

Sama mossad mmbea maana mumepanga Ila we umeshindwa kutunza siri
 
Subiri tangazo official

Ila jijini Petersburg Urusi tayari tetesi zinazunguka kuwa Putin kafariki dunia
Hizo tetesi wamekuletea kwenye barua mkuu?.... Tuma link basi na sisi tukajionee
 
Lisemwalo lipo au linakuja.Dunia inamujitaji US Aiongoze kila kitu na Myahudi atawale dunia.Zelewisky ni myahudi na ukrane ilivyokuwa sehemu ya ryssia ilimkwamisha hilter.na leo hii inamkwamisha putin.
 
Hizo tetesi wamekuletea kwenye barua mkuu?.... Tuma link basi na sisi tukajionee
Ninawasiliana na rafiki zangu walioko Petersburg Russia hata wewe ruksa kuwatafuta wa kwako unaowajua uwasiliane nao sio kesi waulize kuhusu hizo tetesi zipo au hazipo sio lazima uamini zangu Ruksa na wewe kujiridhisha

Sio lazima isubiri media za kimataifa zitangaze kuwa Putin kafariki prove mwenyewe hizo tetesi sikulazimishi uamini zangu
 
Lisemwalo lipo au linakuja.Dunia inamujitaji US Aiongoze kila kitu na Myahudi atawale dunia.Zelewisky ni myahudi na ukrane ilivyokuwa sehemu ya ryssia ilimkwamisha hilter.na leo hii inamkwamisha putin.

Hata mitandaoni hamna acha ubinafsi mkuu ... share taarifa 😃
 
Hata mitandaoni hamna acha ubinafsi mkuu ... share taarifa 😃
Nimekuruhusu Tanzania ina watu milioni 60 lazima wako wenye ndugu au marafiki Petersburg Urusi waweza thibitisha kama hizo tetesi zipo kule au hazipo kuwa Putin kafa
Si claim kuwa mimi ndio final kwenye kujua hizo tetesi kwenye nchi yenye watu milioni 60 .Ruksa kila mmoja ku prove kivyake
 
Alisikika mlevi mmoja na shabiki wa ushoga akisema kwenye kijiwe cha kahawa

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Sema huu Uzi umenifurahisha Sana.
 
Wewe hapo uwe na rafiki Ulaya?
 
Bangi za kuvutia ndani ni mbaya sana
 
Duh we ndugu yangu wa mbagala umejua habar nyeti namna hiii
 
Acha ugoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…