Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
-
- #61
Duh you might find that kwenye baadhi ya mikutano a lot of people wanaanguka na wengine ni watu tunawafahamu kabisa how do you explain this?Huyo amekodiwa kwa ajili ya kuigiza, mwisho wa siku sadaka/mapato yaonekane.
Madam umeolewa?Heee!🙀 we mtoto, umeanza dharau😵💫
Kijana amevurugwa hachunguzi anajileta ngoja aje🤥Hivi Seran ni mdada 😂
Ninavyojua mimi kuna ambao wanakuwa na majini kweli na kuna ambao wanaigiza tuDuh you might find that kwenye baadhi ya mikutano a lot of people wanaanguka na wengine ni watu tunawafahamu kabisa how do you explain this?
Kwani wanasema mi ni nani?Kuna siku nimekutana nae humu nikajua ni jamaa
Mke ila Sasa sijaelewa umeolewa two times kwani?Kwani wanasema mi ni nani?
Ila we spongebob😦Ndio mkuu ni kashemeji kako ako kamchepuko kangu, unataka kusemaji kwani
Ni mrembo etiKwani wanasema mi ni nani?
Am not gay🫢
Huyo amekodiwa kwa ajili ya kuigiza, mwisho wa siku sadaka/mapato yaonekane.
Mdogo etu leo umekuwaje?Yupo jikoni mkuu ananikaangia mayai ngoja nimpelekee simu akujibu
Duh you might find that kwenye baadhi ya mikutano a lot of people wanaanguka na wengine ni watu tunawafahamu kabisa how do you explain this?
Ule ni uongo na utapeli, nimeshuhudia wazi kabisaa
😂😂😂
Whyy 🥴Madam umeolewa?
Wasanii tu hao, kilimo cha jembe la mkono huku unategemea mvua ni kigumu sana.
Hujawahi kuona muhubiri fulani anasafiri na waumini wake kwa mabasi? wale wanaosafirishwa wako kwenye hiyo ajira ya kufanya maigizo, na hao unao wajua ni wachache tu waliopewa abc mkono uende kinywani. Swali, ulishawahi kuona tajiri yeyote anaanguka hovyo hovyo?
Kumbe?? Hao waoaji ni kina nani?Mke ila Sasa sijaelewa umeolewa two times kwani?
eti unajinsia mbili kwani mdau🤣🤣usomeki🤣 kuna mdau unamchanganya sana na halewi anatuma mahari au vipi,Heee!🙀 we mtoto, umeanza dharau😵💫
Hii kali aisee!Ni mrembo eti
Habari yoyote inayosema ilikuwa inasemekana hiyo haina uthibitisho wala uhakika ni hadithi au stori za kijiweni tu.Miaka ya nyuma kidogo Kuna jirani Yetu ilikuwa inasemekana ana majini ikifika tarehe fulani anakamata kuku ananyonya damu na Kuna wakati alitaka kujidhuru na kisu lakini akiombewa anakuwa sawa.
How do you explain such a scenario?