Ni maigizo tu hayo.Ni kwanini itokee tarehe fulani tu za kila mwezi na pia mbona miaka ya nyuma hakuwa hivyo.
Pia Kuna tukio liliwahi kutokea shule ya jirani tu. Ni shule ya bweni usiku wanafunzi wakiwa wanajisomea Kuna kitu kiliwapata baadhi ya wanafunzi waakanza kufanya vituko hadi walipokuja kuombewa.
NimezichekUmechek hizo video za Suguye?
Mwaka wetu huu lazima dunia ya mahaba itutambueNaona unavyopambania kombe litakushinda mkuu😂
Ngoja kesho nikishampeleka clinic utanifahamu vizuri shemeji
Uyo mwenyew ndio namuona leo bro sijui katokea wapi😳
Clinic ya nini? Ni mlemavu?Ngoja kesho nikishampeleka clinic utanifahamu vizuri shemeji
Sasa unaona tumfanyaje huyu maana anakuja kasii!Mwenyewe ndio namuona leo🏌🏽♀️
Hata mimi nimeshangaaUyo mwenyew ndio namuona leo bro sijui katokea wapi😳
Tumuombe dollarSasa unaona tumfanyaje huyu maana anakuja kasii!
Huyo labda karudi kijijini maisha ya mjini yamemshinda! Au labda anaogelea kwenye parody lake humu😅Hivi ndg yangu Mjusi Sharobalo alipigwa ban la milele au?!
Sijui kuhusu mapepo sijui kuanguka na mambo hayo ninachojua ni kua majini ni viumbe walioumbwa na Mungu kama sisi tu binadamu ila sisi tumeumbwa kwa udongo wao wameumbwa kwa moto.Ni maigizo tu hayo.
Ukishakuwa na jamii yenye watu wengi wanao amini hizi imani za majini, maombi na maombezi. Ni rahisi sana watu kufanya maigizo ya vitendo vya kuanguka mapepo. Ili waje kuombewa. Kumbe hamna lolote ni imani za kijinga na imani potofu tu.
Reaction zisizo za kawaidaNimezichek
Wewe umeona nini?
😂Bro I think we need much research on this siamini hii issue but seems serious.Ni maigizo tu hayo.
Ukishakuwa na jamii yenye watu wengi wanao amini hizi imani za majini, maombi na maombezi. Ni rahisi sana watu kufanya maigizo ya vitendo vya kuanguka mapepo. Ili waje kuombewa. Kumbe hamna lolote ni imani za kijinga na imani potofu tu.
🤣🤣KmmkReligion is a drug, religious leaders are the dealers, Believers are the addicts.
Sio kwamba huyo msichana karukwa na akili, ni wanafanya maigizo tu.
Hapo akitokea mtu akapiga risasi juu kwa ghafla, Utaona akili zinamrudi kwa haraka huyo msichana. Atatafuta njia ya kutokea iko wapi?
Hapo anaigiza tu.
Majini Yapo kweli , But the way yanavyo exist inashangaza , I think ni viumbe ambao wame tuzidi technology that's why wana uwezo wa kucontrol watu , sema kwakuwa tulikosa majibu sahihi ya mambo wanayo yafanya sisi tuka amua kurahisisha na kuita ni uchawiInawezekana ni ukweli 🤔🤔japo Kuna watu wenye akili timamu kabisa utaona Kuna effect inawapata
Nimecheka Kuna watu mafala sans 🤣🤣Kwa kweli, 😂😂😂😂😂