Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
- #81
😂😂Nadhan utakuwa pisi Kali sana maan ua zuri huvutia nyuki wengiWhyy 🥴
😂😂Nadhan utakuwa pisi Kali sana maan ua zuri huvutia nyuki wengiWhyy 🥴
Ni kweli KwanHii kali aisee!
Yeye atume kwanza nitaamua mimi nikiuona muamala tu🤗eti unajinsia mbili kwani mdau🤣🤣usomeki🤣 kuna mdau unamchanganya sana na halewi anatuma mahari au vipi,
View: https://youtu.be/e_MO8ea5FZM?si=BbnTHUlqgkzUXgU1
Explain this scenario boss maana sijui watakodi watu wote hawa?
Duhh tusifike huko mkuu😳😂😂Nadhan utakuwa pisi Kali sana maan ua zuri huvutia nyuki wengi
😀Khaaa hebu nipe heshima yangu basiMdogo etu leo umekuwaje?
kijana anashambulia mipira ya kona mpaka aweke nyavu ,hakuachi mpaka umemuacha kasema lazima achukue jimboKumbe?? Hao waoaji ni kina nani?
Ni kwanini itokee tarehe fulani tu za kila mwezi na pia mbona miaka ya nyuma hakuwa hivyo.Habari yoyote inayosema ilikuwa inasemekana hiyo haina uthibitisho wala uhakika ni hadithi au stori za kijiweni tu.
Lakini mtu aliyerukwa na akili huweza kufanya chochote hata kula nyama mbichi au kunyonya damu kiumbe fulani. Haimaanishi kwamba ni majini. Ni mental disorder tu.
Mtu anaweza kurudi kwa hali ya kawaida kwa matibabu na ushauri nasaha. Maombi ni kelele tu zisizo na msaada wowote.
Seran nisamehe umetambulishwa kwangu leo tu.Duhh tusifike huko mkuu😳
SpongeBob!! Never!😳😀Khaaa hebu nipe heshima yangu basi
usikate tamaa unapokata tamaa ndiyo anakua ameshafikia maamuzi sahihi 😂😂, unajua kiana nakupambania halafu unakata tamaa, nenda faraga mkuu mambo mazuri huchukua muda🤣Seran nisamehe umetambulishwa kwangu leo tu.
Jimbo hajui hata jinsi yangu😵💫 ashindwe IJN 🙀kijana anashambulia mipira ya kona mpaka aweke nyavu ,hakuachi mpaka umemuacha kasema lazima achukue jimbo
Achana na huyo coco melon wanakuwaga hivyo wakishiba!Seran nisamehe umetambulishwa kwangu leo tu.
Duuh😁Lengo la kuletwa duniani, n kupiga nyeto then tufe
Wakati umeshanificha kwenye moyo wako🤸SpongeBob!! Never!😳
Sawa broAchana na huyo coco melon wanakuwaga hivyo wakishiba!
Umechek hizo video za Suguye?Kuna watu wanajua kuigiza aisee
Huyo binti ana kipaji..
Hakuna pepo hapo Wala shetani Wala mungu
Hiyo ni Sanaa kazi kwenu mapimbi!
🙌🙌Ntakimbizwa bureusikate tamaa unapokata tamaa ndiyo anakua ameshafikia maamuzi sahihi 😂😂, unajua kiana nakupambania halafu unakata tamaa, nenda faraga mkuu mambo mazuri huchukua muda🤣
Mmh sista Seran huyu ni Nani tenaa!Wakati umeshanificha kwenye moyo wako🤸