Dunia ni ya ajabu sana. Hadi Sasa sielewi hii dunia imeanza wapi na lengo la watu kuletwa hapa ni nini?

Ni maigizo tu hayo.

Ukishakuwa na jamii yenye watu wengi wanao amini hizi imani za majini, maombi na maombezi. Ni rahisi sana watu kufanya maigizo ya vitendo vya kuanguka mapepo. Ili waje kuombewa. Kumbe hamna lolote ni imani za kijinga na imani potofu tu.
 
Sijui kuhusu mapepo sijui kuanguka na mambo hayo ninachojua ni kua majini ni viumbe walioumbwa na Mungu kama sisi tu binadamu ila sisi tumeumbwa kwa udongo wao wameumbwa kwa moto.

Na wapo ambao ni waovu na wema kama ilivyo binadamu,na wao pia siku ikifika wanakufa na kwenda kusubiri malipo kama ilivyo binadamu tu. Kumuingia au kutokumuingia mtu elimu hiyo sina
 
πŸ˜‚Bro I think we need much research on this siamini hii issue but seems serious.
 
🀣🀣Kmmk
 
Inawezekana ni ukweli πŸ€”πŸ€”japo Kuna watu wenye akili timamu kabisa utaona Kuna effect inawapata
Majini Yapo kweli , But the way yanavyo exist inashangaza , I think ni viumbe ambao wame tuzidi technology that's why wana uwezo wa kucontrol watu , sema kwakuwa tulikosa majibu sahihi ya mambo wanayo yafanya sisi tuka amua kurahisisha na kuita ni uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…