Rwetembula Hassan Jumah
Senior Member
- Jan 25, 2023
- 140
- 188
... Soma kuhusu uislamu ni nini? Utapata jibu, huwezi kupata maarifa bila kusoma
Someni . mtume Mohammad alikuja kukamilisha maana ndo mtume wa mwisho hakuna mwingine mpaka kiyama kinasimama.
QUR'AN
Ndo kitabu kitukufu pekee duniani maana kimekamilika kila idara utofauti unakuja kutokana na de way kila mtu anavyoelewa ndo maana baadhi ya mambo yanakuwa kama yanachanganya. Ila Aya imechambua kila kitu japo watu ukiona jambo wanalikadhania tambua kuna watu wanahitaji liwe dogo kumbe wanajidanganya.
Yesu anatambulika katika vitabu vyote zaburi, injili, torat na Qur'an, kama Mtume wa Mwenyezi Mungu.
Hata wewe mkristo ni muislamu kwa baadhi ya mambo ila kwakuwa bado ujamkubali mtume Mohammad kuwa ndo mtume wa Mwisho mpaka kiyama cha simama We bado ujawa muislamu kamili.
Nakukaribisha kwenye Uislamu, uislam hauna longolongo upendo na Amani. Uislamu ni ukombozi.
... nawatakia Eid Mubarakha...