Duniani Dini inayotambulika ni moja Uislamu na ulikuwepo kabla ya adamu( a.s)

Duniani Dini inayotambulika ni moja Uislamu na ulikuwepo kabla ya adamu( a.s)

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
140
Reaction score
188
... Soma kuhusu uislamu ni nini? Utapata jibu, huwezi kupata maarifa bila kusoma
Someni . mtume Mohammad alikuja kukamilisha maana ndo mtume wa mwisho hakuna mwingine mpaka kiyama kinasimama.

QUR'AN
Ndo kitabu kitukufu pekee duniani maana kimekamilika kila idara utofauti unakuja kutokana na de way kila mtu anavyoelewa ndo maana baadhi ya mambo yanakuwa kama yanachanganya. Ila Aya imechambua kila kitu japo watu ukiona jambo wanalikadhania tambua kuna watu wanahitaji liwe dogo kumbe wanajidanganya.

Yesu anatambulika katika vitabu vyote zaburi, injili, torat na Qur'an, kama Mtume wa Mwenyezi Mungu.

Hata wewe mkristo ni muislamu kwa baadhi ya mambo ila kwakuwa bado ujamkubali mtume Mohammad kuwa ndo mtume wa Mwisho mpaka kiyama cha simama We bado ujawa muislamu kamili.

Nakukaribisha kwenye Uislamu, uislam hauna longolongo upendo na Amani. Uislamu ni ukombozi.

... nawatakia Eid Mubarakha...
 
IMG-20230105-WA0002.jpg
 
Hebu issue ya dini iwe personal in this society ,tunaishi society iliyo diverse ,miskiti yapo kila Kona ,kanisa nazo sawia ,Kama ni dini tunajua zipo ....religious tolerance is needed ...abudu utakacho ,so long as you do it in peace haituhusu tulio kando ,wakristo nawapenda Sana ,na hata Kama hatushare dini bado nawajua Kama ndugu ,peace to you all
 
Yunus 10: 94 alibiwa akapate SoMo kwa watu wa kitabu namna ya kuendesha dininaliyoianzisha akachanganya na majini ambayo yalishslaaniwa kuwa ni sehemu ya waumini wake. Kwa Hali ya kawaida kama wewe na shetani ( jini) Mna Imani Moja hatima yenu wote si ni kwenye jehanam ya moto wa Milele?
 
Unaandika ugoro mtupu hata huo uislam huujui tulia kakojoe ulale usitake kutibua watu kwa uharo unaouandika
 
Uislamu ulikuwepo kabla ya Adamu. Nikusaidie kitu unaandaa shamba mvua ikiwa inanyesha ua wakati gani?
Sijakuuliza mambo ya Shamba.

Quran kama kitabu chenye majibu yote na kilichokamilika, kinasemaje juu ya uwepo wa Uislamu kabla ya Adam?

Unachoulizwa ndicho unapaswa kujibu.
 
QURAN HII HII ILIYOANDIKWA NA MASHETANI???

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MUNGU NI SHETANI.
ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NI SHETANI.
ADUI WA GABLIEL NI SHETANI.

QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI.
 
Shusha aya, Qur’an ina semaje hapa?
Qur'an inathibitisha uislamu ulikuwepo kabla ya Adamu. Means mwongozo ulikuwepo kabla ya mwanadamu na mwanadamu alipokuja akapewa mwongozo.

Uislamu ni Dini na dini ni njia au mwongozo sasa mwongozo ulikuwepo kabla ya mwanadamu. Uko na swali jingine.
 
Qur'an inathibitisha uislamu ulikuwepo kabla ya Adamu. Means mwongozo ulikuwepo kabla ya mwanadamu na mwanadamu alipokuja akapewa mwongozo.

Uislamu ni Dini na dini ni njia au mwongozo sasa mwongozo ulikuwepo kabla ya mwanadamu. Uko na swali jingine.
Sitaki majibu yako ya kuokoteza. Nimekuuliza kulingana na Quran.

Hivyo, unavyojibu unapaswa kuniunganishia na aya kutoka katika kitabu hicho.

Uwe muelewa walau kidogo. Au kama hujui, usipende kuleta hoja zinazokuzidi kimo.
 
Back
Top Bottom