Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,324
Mkuu Mag3 , katika bandiko 194 umeuliza maswali wasiyotakakuyasikia. Nakuhaikishia Mtanganyika na wenzake hawataweza kuyagusa. Hili lakusema Tanzania bara ni sawa na lile swali la King Suleiman
Hawataki Tanganyika itajwe kwasababu kutajwa tukunairudishia hadhi.
Hivyo inaundwa nchi ya Tanzania bara ambayo historia yakeinaanzia mwaka 1977.
Ni aibu kwamba watu wanadai Tanzania Vs Zanzibar
Ulisema tatizo lote lipo katika mfumo wa serikali mbili. Nakwamba, znz haitaweza kubadili katiba yao ya uhaini ya 2010 kuwiana na JMT. Hilo ni kweli kabisa ukizingatia unafiki wa wazanzibar
Ingawa wao hupenda kuitwa waungwana, sifa ya unafiki ni sehemu ya utamaduni wao.
Naomba nifafanunue
Mwaka 2010 aliyekuwa Spika wa Bunge ni Pandu Kificho. Woteakina Idd Seif, Nahodha, Seif Khatibu, Mohamed Aboud walikuwa ndani ya BLW wakati znz inakamilisha udhalilishaji wa katiba ya JMT.
Aliyesaini uhuni huo ni Karume. Wale watalii 84 wanaokujaDodoma waliunga mkono uhuni huo wa kuvunjwa katiba ya JMT inayowalaza na kuwapaposho bila kazi pale Dodoma.
Wote hao ndio tumewaona Dodoma wakishirikiana na Chenge/Sitta kuhalalisha katiba ya mafichoni kwa kutetea muundo wa S2 naMuungano. Hoja yao kubwa ni kuwa S2 zinaimarisha muungano.
Tayari wamegeuga nakusahau kuwa ile katiba ya znz 2010 ilivunja muungano wala si kudhoofisha.
Nikatiba hiyo ya znz ndiyo imezaa mengi tunayoyaona leo.
Hapa kuna unafiki, yaani manafiki wa kizanzibar wakiwa znz wanasema jambo moja, wakivuka bahari wanasema jingine. Hawataki muungano wakiwaUnguja, wakija Dodoma wanataka uimarishwe.
Jamani huu kama si unafiki wa daraja jema ni kitu gani?
Hivyo, kwasasa wanaunga mkono katiba ya mafichoni ya Chenge/Sitta iliyoandikwa kwa maoni ya wafugaji 23 na wakulima 14. Wakirudi znz, hawawezi kubadili hiyo katiba iwiane nay a JMT?
Si hao hao walivunjakatiba ya JMT mwaka 2010 na ndio wamekuja kuandika katiba ya JMT nyingine. Hivi wataachaje unafiki ikiwa ni utamaduni wao.
Na hapa ndipo hoja kubwa inapokuja kuwa Watanganyika, hivikwanini watu 1.2M ambao kichumi, kisiasa na kijamii hawana impact yoyote waendelee kuwa superior kwa taratibu zetu tena wakiwa mgongoni wananyonya madole?
Is it not a wake up call to act !
Nguruvi3,
Ni vibaya sana kumtupia mtu lawama kwa uzembe na ujinga wako. Siku zooote utetetezi wako unaanzia kwako na wengine wanafuata kinyume cha hapa kwa kutegemea utetetewe tu wakti mwenyewe huwezi kujitetea huo ni UJINGA, UZUZU NA UZEZETA ambao mimi naona wa TGK wanao.
Tanganyika na waTGK weeeengi wamekuwa watu wa KUNUNG'UNIKA NUNG'UNIKA TU bila kuchukua hatua sahihi na wengi wamekuwa wajinga na waoga sana katika kutaka kudai maslahi yao BALI WAMEKUWA MAFUNDI WA KUILAUMU ZNZ.
Kumbuka kuwa Znz ni nchi kamili kabisa na ina swifa zooote za kuitwa nchi huru kimamlaka WALICHOKOSA ZNZ MPAKA SASA NI UHURU WA KIUCHUMI TU na hilo ndilo linalopiganiwa kwa sasa na Insh'Allah watashinda kwani dalili zoooote zimeanza kujionyesha sio tu kwa Rasimu ya Warioba bali hata RASIMU ya Sitta. Jpo uhuru huo wa kiuchumi katika RASIMU ya Sitta una mashaka lakin japo mwanga umetoa.
Chuki zako na dharau zako dhidi ya Znz na waZnz hazitaweza kusimama kama wenyewe mumekuwa vinara wakubwa wa kubaniana na kudhulumiana ikiwa pamoja na kuwa waongo na wanafiki katika kudai haki zenu katika muungano wenu.
MIMI NAFIKIRI UNGEFANYA UTAFITI KIDOGO TU kutokana na madai yako kuwa Znz wanawanyonya wa TGK kiasi nachodai, basi wataalamu tungetegemea katika KURA za kupitisha Rasimu ya Sitta pale dodoma BASI KATIBA HIYO INGEPATA UPINZANI MKALI KUTOKA KWA WAJUMBE KUTOKA BARA. Labda nikuulize kwanini Rasimu hiyo IMEPATA WAKATI MGUMU SANA KUIPITISHA KWA UPANDE WA ZNZ NA SIO TANGANYIKA?
Narudia tea malalamiko na manung'uniko yako yatakuwa hayana maana kama ukipewa nafasi ya kuweka bayana UNAUFYATA.
Mimi narudia tena kusema hata UNGEKUWA WEWE NGURUVI3 PALE MJENGONI UNGEPIGA KURA YA NDIO KWA IBARA ZOTE ZA RASIMU A SITTA kama alivyofanya Mh keissy.
Pole sana