Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

Kwahyo huyo kiongozi alietoa ujumbe geti lisifunguliwe ni wa nyuma mwiko? Maana aliwaandaa na mabaunsa kabisa wakae mkao wa zuia zuia
We mama kuna muda unatakiwa ufiche uchi wa akili yako mbele za watu. Hizi comments zako zinafunua sana tupu ya kichwa chako. Unaweza thibitisha kuwa wale mabanda ni wa Yanga? Je una mkataba wa ajira kati ya Yanga na hao Mabaunsa?

Inasikitisha sana. Yaani kuna ling'ombe limoja linasema hapa ana mke na amezaa naye watoto 4.

Inasikitisha sana. 😁😁😁😄
 
Wewe ficha makalio yako mwehu ww tusipangiane cha kuongea..
Wewe tupu zako mbona zinatembea kama ngo'mbe maksai??
Watoto 4 wewe? Nina wtt 7...
Kwani wale mabaunsa ni wa nani?
Ng'ombe ni wewe unaeona mtu akitoa maoni yake yasiyokufurahisha unaleta matusi..
Halafu sijaongelea mabanda wewe mzee...
 
Nakuona msukuma ajenda
 
Nasema hv kama bodi ya ligi Kwa linaloendelea kama wanampango wa kujiuzulu hawana haja hiyo wawakazie Hawa mwiko Nyuma mpaka mwisho tuone kiburi wanakipata wapi
Ila haya makolo yamebarikiwa midomo asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…