5imba kamponza mwenzakeHii kitu lazima mmoja hapo akubali kuumia, kama sio yanga Bali hao tff, maana naona wameamua kuonyeshana ubabe.....
Cha ajabu Simba ndo alianzisha huu upuuzi yeye sa hivi yupo kando kama hamna kitu vile
[emoji23][emoji23][emoji23]Yule aliyepiga simu Sasa kasha watosa bodi ndio maana Bodi wameona wa msanue hadharani maana jumba bovu lime waangukia.
Kabudi naye alipo pewa taarifa na bodi kuwa Kiongozi mkubwa Serikali ndie chanzo cha yote ayo kaamua atumie Busara ya kuachana nalo ilo swala maana boss wake ndio muhisika mkuu.
Uyo ni Kisugu kavaa kinyago cha AVATAR ya MwanamkeWe mama kuna muda unatakiwa ufiche uchi wa akili yako mbele za watu. Hizi comments zako zinafunua sana tupu ya kichwa chako. Unaweza thibitisha kuwa wale mabanda ni wa Yanga? Je una mkataba wa ajira kati ya Yanga na hao Mabaunsa?
Inasikitisha sana. Yaani kuna ling'ombe limoja linasema hapa ana mke na amezaa naye watoto 4.
Inasikitisha sana. 😁😁😁😄
Huenda ni waziri mkuuKwahyo huyo kiongozi alietoa ujumbe geti lisifunguliwe ni wa nyuma mwiko? Maana aliwaandaa na mabaunsa kabisa wakae mkao wa zuia zuia
Watalogwa,watchomewa nyumba zao,watapigwa..hivi ndivyo mashabiki wa timu za kkoo walivyoMtafanya nini?
Cha kushangaza walishashindwa madai yao CAS ambayo ni mamlaka ya juu ya uamuzi..sasa kilasiku wanakuja na madai mapya tena madai ya kushindana na mamlaka.Wenzao Simba tangu sakata limeanza wametulia kimya ila Yanga wameshatoa "press release" zaidi ya kumi😂😂. Tunajiuliza katika timu zote 16 zinazoshiriki ligi kuu yaani eti itokee timu moja ianze kutoa amri kwa mamlaka za soka ....wakati ligi inaanza walisaini sheria na taratibu za kuheshimu mamlaka.Natamani wanayotaka yasifanyiwe kazi ili wasicheze hiyo mwakani, wanataka kuiendesha Mamlaka mwanzo walikua na pointi ila sasa hivi wanaleta ujuaji
MKMTatizo hawa wakubwa huwa hawatajwi kabisa
Mbona mepesi tu, yana ugumu gani?
Mbona matusiWewe ficha makalio yako mwehu ww tusipangiane cha kuongea..
Wewe tupu zako mbona zinatembea kama ngo'mbe maksai??
Watoto 4 wewe? Nina wtt 7...
Kwani wale mabaunsa ni wa nani?
Ng'ombe ni wewe unaeona mtu akitoa maoni yake yasiyokufurahisha unaleta matusi..
Halafu sijaongelea mabanda wewe mzee...
Kwani crdb ndiyo wanaemkabidhi mshindi pesa?..huoni huenda crdb walitoa pesa lakini waliopewa hawakuzifikishaKiburi Kimekuwa kikubwa sana yanga ana agenda gani ya pembeni?
Hii issue ya kuexpose kuwa hawajawa paid na crdb mwaka jana baada ya kutwaa ubigwa ilipaswa uwe publiced kwa sasa?
Young hakuna mtu mkubwa kuliko mamlaka ya nchi tambua fika licha ya kutoa burudani na furaha kwa umma bado mna jukumu la kuprotect interest za michezo kwa taifa hii mnacho demand kwa ngebe nyingi ni Ujuha mlifanya ivo Feisal toto mpaka Mamlaka kufanya intervention
Tafuta comment niliyomjibu au umeona yangu tuu?Mbona matusi
Hawa jamaa nilikuwa naona wana point ila sasa wanatoka nje ya mstari.Mimi Yanga lkn hii haitekelezeki
Mara nyingi wadhamini hua washa lipa hela TFF wanabaki kuvizungusha vilabu hata kombe la Azam ilikua hivyo hivyo baadae Azam we wakasema washa lipa tatizo lipo TFFKiburi Kimekuwa kikubwa sana yanga ana agenda gani ya pembeni?
Hii issue ya kuexpose kuwa hawajawa paid na crdb mwaka jana baada ya kutwaa ubigwa ilipaswa uwe publiced kwa sasa?
Young hakuna mtu mkubwa kuliko mamlaka ya nchi tambua fika licha ya kutoa burudani na furaha kwa umma bado mna jukumu la kuprotect interest za michezo kwa taifa hii mnacho demand kwa ngebe nyingi ni Ujuha mlifanya ivo Feisal toto mpaka Mamlaka kufanya intervention
Yanga yote wanayajua ndio maana walivyo ona wametibuliwa wameamua kupiga kwenye mshono.Kwani crdb ndiyo wanaemkabidhi mshindi pesa?..huoni huenda crdb walitoa pesa lakini waliopewa hawakuzifikisha
Bodi wana makosa makubwa sana....ndio maana yanga kawashikaz the pumbuz if not the mbususus 🤣🤣🤣🤣.Watacheza ila sio tareh 15, hawa jamaa wana jeuri yaani wameitwa kubembelezwa bado wanaleta ngebe.
Bodi ya ligi ina makosa ndio maana inawambembeleza, ingekua wamenyooka hata wasingehangaika nao, ingesubiriwa tarehe walimwe points.
Au dada Kalpana unaonaje hili sakata??