Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Wanatafuta jepesi zaidi linalotekelezeka.Hawa jamaa nilikuwa naona wana point ila sasa wanatoka nje ya mstari.
Wao wangebakia na ile ile ishu yao ya awali...hatuchezi mpaka sababu muhimu ya mchezobuliopangwa kutofanyika iwekwe wazi.
Sasa nyie si mcheze hio ligi yenu tatizo lipo wapi? mfano 5imba ana lipi la kuongea wakati yupo nyuma ya TFF?Cha kushangaza walishashindwa madai yao CAS ambayo ni mamlaka ya juu ya uamuzi..sasa kilasiku wanakuja na madai mapya tena madai ya kushindana na mamlaka.Wenzao Simba tangu sakata limeanza wametulia kimya ila Yanga wameshatoa "press release" zaidi ya kumi😂😂. Tunajiuliza katika timu zote 16 zinazoshiriki ligi kuu yaani eti itokee timu moja ianze kutoa amri kwa mamlaka za soka ....wakati ligi inaanza walisaini sheria na taratibu za kuheshimu mamlaka.
Ni hatariKiburi Kimekuwa kikubwa sana yanga ana agenda gani ya pembeni?
Hii issue ya kuexpose kuwa hawajawa paid na crdb mwaka jana baada ya kutwaa ubigwa ilipaswa uwe publiced kwa sasa?
Young hakuna mtu mkubwa kuliko mamlaka ya nchi tambua fika licha ya kutoa burudani na furaha kwa umma bado mna jukumu la kuprotect interest za michezo kwa taifa hii mnacho demand kwa ngebe nyingi ni Ujuha mlifanya ivo Feisal toto mpaka Mamlaka kufanya intervention
Wanatuchosha tuu..kwa sbb lazima derby itachezwa...Watacheza ila sio tareh 15, hawa jamaa wana jeuri yaani wameitwa kubembelezwa bado wanaleta ngebe.
Bodi ya ligi ina makosa ndio maana inawambembeleza, ingekua wamenyooka hata wasingehangaika nao, ingesubiriwa tarehe walimwe points.
Au dada Kalpana unaonaje hili sakata??
Mbona kuna vile viadhabu na faini huwa wanazilima timu, mashabiki na wachezaji chap tu.Bodi wana makosa makubwa sana....ndio maana yanga kawashikaz the pumbuz if not the mbususus 🤣🤣🤣🤣.
Anyways haya ndio madhara ya kuleta "busara kwenye kazi".
Kazi haitaki busara inataka kanuni
Wabongo kujiudhuru ni Kaz sanaYanatekelezeka tu mbona kwani kujihudhuru ni kazi jamani hahaha
Leo majibu yako yasielewi ujue...😀
Implication yake ndo kipengeleMbona mepesi tu, yana ugumu gani?
Hao wapuuzi wanakuza tatizo, litahamia simba sasa.Wanatuchosha tuu..kwa sbb lazima derby itachezwa...
Ila kuhusu trh watakayotaka wao je Simba nao watakua tayari?
Sometimes vitu vingine una ignore no need Ku reactTafuta comment niliyomjibu au umeona yangu tuu?
Hili ni kosa la kimaadili bilashaka TFF watamfungia Ali Kamwe.Msimu wa Ligi unapoanza klabu huwa zinasaini maadili,kanuni na taratibu za kutambua mamlaka za soka kwahiyo Yanga hawana excuse yoyote ya kusema kuwa hawakujua kabla.Kiburi Kimekuwa kikubwa sana yanga ana agenda gani ya pembeni?
Hii issue ya kuexpose kuwa hawajawa paid na crdb mwaka jana baada ya kutwaa ubigwa ilipaswa uwe publiced kwa sasa?
Issue ya Yanga ni sensitiveYanga waache kubweka kama mbwa koko anayembwekea kila anayepita barabara ya nyumbani kwao, wameshasema hawachezi, kelele za nini? Watulie mpaka hiyo siku ifike na kupita. Wenzao waliandika karatasi moja tu, mpaka leo hawajaandika lingine wao wanakwama wapi!
Yani itakua tuu ni kuhamisha kesi mara huku mara huku...Hao wapuuzi wanakuza tatizo, litahamia simba sasa.
Acha tusubiri.
Hakuna derby labda mje nafasi ya Singida kwenye CRDB cupWanatuchosha tuu..kwa sbb lazima derby itachezwa...
Ila kuhusu trh watakayotaka wao je Simba nao watakua tayari?
Sasa kufanya izo accusations public huoni ina damage reputation ya bank? au Yanga amekuwa paid kufanya ivo?Kwani crdb ndiyo wanaemkabidhi mshindi pesa?..huoni huenda crdb walitoa pesa lakini waliopewa hawakuzifikisha
Sawa mtani nitajitahidi...Sometimes vitu vingine una ignore no need Ku react
Sasa kama mnatukanana.... inabidi tukae pembeni[emoji23][emoji23]Leo majibu yako yasielewi ujue...😀
Naona sasa washabiki akili zimeanza kuwarudia. Tuliwaambia mnachodai ni ujinga, hamkutuelewaDuuuuh hawa Yanga Sasa too much haya mtakwa yao hayatekelezeki