Duuuuh! hawa Yanga Sasa too much haya matakwa yao hayatekelezeki

Hili lazima liende na watu bodi ya ligi.... Wao wanajifanya kupenda simba bila kufuata kanuni.
#HATUCHEZI
#NO REFORM NO ELECTION.

😂 Huku bodi ya ligi wanajambiana, kule tume huru na ccm wqanakojoleana 🤭
 
Hili ni kosa la kimaadili bilashaka TFF watamfungia Ali Kamwe.Msimu wa Ligi unapoanza klabu huwa zinasaini maadili,kanuni na taratibu za kutambua mamlaka za soka kwahiyo Yanga hawana excuse yoyote ya kusema kuwa hawakujua kabla.
Dogo Kamwe amekuwa mjinga sana ila aliyo ongea kwa hio press yatakuwa na baraka na Uongozi wa yanga sema tu watu kama Hersi wanaogopa kuja front kuyasema kwa sababu ya kulinda political interest zao mana lipakuja swala la simba na yanga ni zaidi ya michezo kitaifa kuna unit inatokea pia watani hao wakutanapo

Wewe acha wacheze tu sarakasi zao za Kijinga
The Gov is watching them very closely
 
***** hili

Bqdo kuomba abaya tu
 
Sas
Hili ni kosa la kimaadili bilashaka TFF watamfungia Ali Kamwe.Msimu wa Ligi unapoanza klabu huwa zinasaini maadili,kanuni na taratibu za kutambua mamlaka za soka kwahiyo Yanga hawana excuse yoyote ya kusema kuwa hawakujua kabla.
kwahiyo mkuu, mtu akiwa anadai haki yake anakua amekosa maadili? Amesema wameandika sana barua lakini hakuna majibu, wangefanya nini sasa?
 
Ndiomana Karia aliwaambia wakafanye "sinema zetu" Imagine walishaenda hadi CAS wakashindwa madai yao sasa kila siku wanakuja na madai mapya. Tangu sakata lianze wameshatoa "press release" zaidi ya kumi wakati wenzao Simba walitoa moja tu na mpaka leo wanaheshimu mamlaka za soka.
 
#No resignation no derby#

Hii hash tag imebidi nicheke tu🤣
Yanga hatuchelewi kunywea supu hii hash tag
 
Hichi kitu kikibwa kuliko wengi wanavyofikiri kwa uchache 1.Serikalo.kuingilia mpira ni kinyume cha taratibu za FIFA 2.Pesa ya wadhamini haifiki kwa walengwa 3.Sheria hazifuatwi bali busara
 
Ni matakwa gani hayo mtujuze na sisi tusioyajua
 
Akidanga Mama yako inatosha, mbwa wewe!!!
Kadange *** wewe, hapo kusini na mashavu vyeusii,kusuguliwa na dhakari kila aina miksa magovi, nywele kisogoni huna kisa kulazwa chali mchana kutwa usiku kucha
 
Ifike wakati nao TFF na bodi ya ligi waache kuendekeza hao wapumbavu. Hivi ingekuwa ni mtibwa sugar au mbeya city ndio inaleta huo ujinga ujinga mpaka Leo ingekuwa haijatoa mwamuzi?.
Mimi ni Yanga lakini wanachofanya viongozi wetu siafiki hata kidogo. Hata tukipewa ubingwa Kwa point za mezani siwezi kumsikia Raha yeyote.
TFF fungua uongozi wote wa Yanga na wakikataa kucheza shusha daraja ili tukae huko championship walau mwaka ndio tutajifunza mambo ya mpira. Huu upumbavu wa kuleta siasa za kiboya sipendi kabisa, kama timu yetu inauwezo unaogopa nini kumpeleka uwanjani????
Stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…