Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Akili za ukichaa wa Kayafa Mwendakuzimu hizi,sikushangai sana maana wewe ulikuwa chawa wake hapa JfTaahira gani ahame Tanzania? Labda kama anaenda kwa mambo ya LGBT, huko ndio mahala pake..
Umsijibu anakupotzea timeDah tuishie hapa ndugu
Jikite kwenye hojaAcha kujifanya mjuaji sana,kama huna interest nayo kaa kimya acha wanaotaka waombe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jikite kwenye hojaAkili za ukichaa wa Kayafa Mwendakuzimu hizi,sikushangai sana maana wewe ulikuwa chawa wake hapa Jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule eneo la kilimo size ya chumba tu unavuna mazao zaidi ya kwenye hizo heka 30 zako unazolima huko mbingu!!!Sasa si ndio nataka nione ubahati wake, je , huko naweza pata eka walau 20 au 30 hivi nikafanya shughuli mbali mbali za kiuchumi kama ilivyo kwa Tanzania? Maana waChina wanakimbilia huku Tz pia, tuwachezeshe nao bahati nasibu?
Unaonaje tukaileta hiyo mbinu huku badala ya kwenda kuibahatisha huko?Kule eneo la kilimo size ya chumba tu unavuna mazao zaidi ya kwenye hizo heka 30 zako unazolima huko mbingu!!!
Jikite kwenye hojaja ni Bahati nasibu kama somo la uzi linavyosema
Hoja ni 'Bahati nasibu' kama somo linavyosema.Jikite kwenye hoja
Ndio tukauliza sasa, ni kwanini tuache ekari 20 za Tz ili tukabahatishe 20 za USA?Hoja ni 'Bahati nasibu' kama somo linavyosema.
Kama unayo hoja yako nyingine anzisha uzi wako sio ustaarabu kuvumia vamia yasiyokuhusu.
Naongea kama mpeta hoja/uzi.
Kwa hiyo hapa bongo kila mtu kapewa hekari 20 na kijiji ?Shughuli za kiuchumi kwako ni kilimo tu? Na gharama zake ni affordable kama huku unapopewa na kijiji? Sasa kwanini uache ekari 20 za Tz ukabahatishe za USA, tuelimshwe tafadhali..
We jamaa umeshanunua ile akaunti ya insta? Acha kutupotezea muda, me nkajua mjanja kumbe mshamba tu.Ndio tukauliza sasa, ni kwanini tuache ekari 20 za Tz ili tukabahatishe 20 za USA?
Naongea kama mchangia mada
Nimetolea mfano wa moja ya fursa kubwa zilizopo hapa, na nikauliza kama na huko zipo. Na kama zipo ni kwanini mtu aache fursa za huku akabahatishe za huko? Its just a logical arguement..Kwa hiyo hapa bongo kila mtu kapewa hekari 20 na kijiji ?
Kila mmoja ana uamuzi wa maisha yake kama wewe uamuzi ni kulima baki ulime usitake kila mtu aishi maisha yako.
Jikite kwenye madaWe jamaa umeshanunua ile akaunti ya insta? Acha kutupotezea muda, me nkajua mjanja kumbe mshamba tu.
Lini mkuu!Ilirudishwa miezi michache iliopita
Si ndio tukauliza, kwanini tuache akari 100 za bongo tukabahatishe 100 za
Fursa zipo nyingi sana hapa bongo...lakini zinaweza zisiwanufaishi wanaozizunguka lakini wakija wageni wakazitumia wakatoboa...kwa hiyo mbongo ana nafasi kubwa sana kubadilisha maisha yake kama akituliza akili akiwa nje ya nyumbani mfano marekani na kwingineko duniani.Nimetolea mfano wa moja ya fursa kubwa zilizopo hapa, na nikauliza kama na huko zipo. Na kama zipo ni kwanini mtu aache fursa za huku akabahatishe za huko? Its just a logical arguement..
Sasa unaonaje tukatumia mbinu zao kujinufaisha na fursa zilipo Tz badala ya kwenda kubahatisha USA?Fursa zipo nyingi sana hapa bongo...lakini zinaweza zisiwanufaishi wanaozizunguka lakini wakija wageni wakazitumia wakatoboa...kwa hiyo mbongo ana nafasi kubwa sana kubadilisha maisha yake kama akituliza akili akiwa nje ya nyumbani mfano marekani na kwingineko duniani.
Wewe ni mtegemea misaada huwezi kumlipa mmarekani Tsh 10,000 kwa saa kusuuza sahani kwenye mgahawa wako au hata pale mlimani city.Sasa unaonaje tukatumia mbinu zao kujinufaisha na fursa zilipo Tz badala ya kwenda kubahatisha USA?
Na pia unaonaje na sisi tukaanza kuwachezesha bahati nasibu ili atakaeshinda ndio aje kufaidi fursa za Tz?
Acha kujifanya mjuaji, watu watacheza na wataenda kama wakibahatika.Sasa unaonaje tukatumia mbinu zao kujinufaisha na fursa zilipo Tz badala ya kwenda kubahatisha USA?
Na pia unaonaje na sisi tukaanza kuwachezesha bahati nasibu ili atakaeshinda ndio aje kufaidi fursa za Tz?
Poa mkuu dalalitz . Ila me naomba kufahamu page yao ya kufanya application hiyo kesho wakifunguaWale wanaopenda kujielimisha zaidi kuhusu hii program,
Nitumie ujumbe WhatsApp nikutumie pdf file ya maelekezo ya kina katika Lugha ya Kiingereza.
Nani alisema naweza? Na hii statement imetokea wapi? Au ulikuwa unachangia uzi mwingine ukapost huku bahati mbaya?Wewe ni mtegemea misaada huwezi kumlipa mmarekani Tsh 10,000 kwa saa kusuuza sahani kwenye mgahawa wako au hata pale mlimani city.
Jadili kwa hoja, huwa inapendeza zaidiAcha kujifanya mjuaji, watu watacheza na wataenda kama wakibahatika.