Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa.

Ebitoke ni maskini sana jamani khaaa.

Kama alimponda mwenzake basi alijisahau alipotoka, ila hayo maisha wengi ndipo tulipotokea, labda kama umetokea kwenye royal families za kina mbowe, mareale, rupia na n.k....
 
Mkuu, inaonekana wewe sio mtz,..mbona tushazoea na hayo ndo maisha yetu tena hao Wana unafuu
Sanaa mkuu.Sio maisha mazuriblakin asilimia kubwa tumekulia maisha hayo.Na watanzania wengi tu bado wanaishi maisha hayo.sema huyu atakua shoga ndio maana anapekua sanaa maisha ya watu
 
Sio tu poa unatakiwa ubadilike mwanaume ni kosa sana kuwa na tabia za kinafki na kiumbea mbea..nimezaliwa kwenye familia maskini zaidi ya hiyo lakin hapa ninavyoongea wewe unayejiita umetokea familia tajiri ukija kwangu lazima utauliza 'hivi nikae kwenye sofa au haoa chini?' Na hata nyumbani nilipozaliwa nina uhakika ukifika tu utajiuliza hata sehemu ya kukanyaga...sijisifii nakuambia ukweli usimjudge mtu anapotoka judge anapokwenda.
 
Ndio maisha ya Watanzania wengi hayo. Hakuna tatizo hapo.
 
Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........

Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.

Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843

Sitaki kuamini kama haya maneno yameandikwa na mwanaume. Uanze kuvalishwa pads itapendeza zaidi
 
Hayo maisha ndio yanawafanya watu wahangaike kukomboa familia zao wakati waliozaliwa kwenye utajiri wakisubiri wazazi wao wafariki warithi au kuuza mali.
Mkuu kama wewe ulizaliwa kwenye maisha mazuri pangusa mikono usoni na umshukuru Mungu.
 
Cha ajabu ni kipi kuzaliwa kwenye familia ya hivyo!
Angalia kwa sasa ana maisha yapi
 
Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........

Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.

Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843
Mzee baba nakuonaga sana kule fb siku hizi umehamia group la fb la chadema vs ccm 2020 nakuonaga ukipost habari za mastaa kule
 
Hahahah
Yani mbwembwe zote zile za kuwa diss wenzake nikajua labda ametokea maisha bora kumbe katokea kuishi nyumba ya udongo mvua kubwa ikinyesha nyumba inamomonyoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Sitasahau siku zile alivyokuwa anamtusi Shilole kwamba hawezi kubishana na mama ntilie nikajua labda huenda anamaisha mazuri kumbeeee...............,.........

Yani hapa wamepauka maskini ya Mungu hata uwezo wa kununua mafuta ya mgando walikuwa hawana, bila shaka walikuwa wanatumia mafuta ya kula kujipakaa mwilini.

Yani huyu dada ndiyo maana hata make ups huwa zinamkataa , licha ya kuweka makeups ugumu wa sura yake unabaki pale pale , yani hapendezagi kabisa ,ila kwa nyodo sasaaaa .........
View attachment 1095843
 
Ebitoke si maskini bali wazazi wake walikuwa masikini,jua kutofautisha maisha ulikulia na maisha na mtu binafsi kwa sasa...
 
Back
Top Bottom