Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Now hayana soko kabisaNdiyo Mkurugenzi.... Kilikuwa kinawaka vizuri sana ... Mwanga wa kutosha....
Alafu kipindi hicho mafuta ya taa yalikuwa yanauzika sana..... Sijui soko lake kwa Sasa likoje ..
Kuna siku waliletwa kuku wa nyama 10 kwa ajili ya sikukuu, tukaambiwa muwaweke stoo sababu hawa mbio tukasema wacha tuwachezee kwa kuwabeba beba, tukawasahau sebuleni na kwenda kulala maana mzee alirudi usiku sana. We bwana kuamka asubuhi sebule yote imejaa uchafu wao π€£π€£ tulikula mboko mkuu na nyumba tulideki π€£π€£Acha mkuu.
Miaka hio unakuwa haujali kile kitakachofata kesho, kelele za watoto mtaani, kukaeibishwa ubwabwa na na jirani,
π€£π€£Aisee
Kwahiyo mnataka mniambie muhuni akivaa hivi anaweza kukuchukulia demu wako πππIla mafundi cherehani walituweza aiseee View attachment 3400841
πππππππKuna siku waliletwa kuku wa nyama 10 kwa ajili ya sikukuu, tukaambiwa muwaweke stoo sababu hawa mbio tukasema wacha tuwachezee kwa kuwabeba beba, tukawasahau sebuleni na kwenda kulala maana mzee alirudi usiku sana. We bwana kuamka asubuhi sebule yote imejaa uchafu wao π€£π€£ tulikula mboko mkuu na nyumba tulideki π€£π€£
Hahaa nilikuja kuvichukia xmass 3 mbeleni nilijiona ngofa π€£π€£Halafu katika vitu nilikuwa sivielewi ni viatu kuwaka taa...mama atakuna nimevitelekeza uvunguni wallah...sipendi ushamba mm.
Ninge wabutua ata mimiKuna siku waliletwa kuku wa nyama 10 kwa ajili ya sikukuu, tukaambiwa muwaweke stoo sababu hawa mbio tukasema wacha tuwachezee kwa kuwabeba beba, tukawasahau sebuleni na kwenda kulala maana mzee alirudi usiku sana. We bwana kuamka asubuhi sebule yote imejaa uchafu wao π€£π€£ tulikula mboko mkuu na nyumba tulideki π€£π€£
Hivi nawezaje kumpata shimba ya buyenze au hadi nimtag na picha ya tako kubwa la mdada,πππMwachiluwi et nataka unielekeze kupika pilau la nyanya chungu.....ππππ
Mwachiluwi ana uzi wake huu ngoja niweke link hapa
"" nilivopata tabu kujiunga kwenye group la mapishi nikiwa chuo""
Na sikukuu iliharibikaKuna siku waliletwa kuku wa nyama 10 kwa ajili ya sikukuu, tukaambiwa muwaweke stoo sababu hawa mbio tukasema wacha tuwachezee kwa kuwabeba beba, tukawasahau sebuleni na kwenda kulala maana mzee alirudi usiku sana. We bwana kuamka asubuhi sebule yote imejaa uchafu wao π€£π€£ tulikula mboko mkuu na nyumba tulideki π€£π€£
Nitakupiga nikuulie baharini πMwachiluwi et nataka unielekeze kupika pilau la nyanya chungu.....ππππ
Mwachiluwi ana uzi wake huu ngoja niweke link hapa
"" nilivopata tabu kujiunga kwenye group la mapishi nikiwa chuo""
π€£π€£π€£Hahaa nilikuja kuvichukia xmass 3 mbeleni nilijiona ngofa π€£π€£
Mjomba hiyo pekosi hatari sana...huna kwenye wardrobe yako unajikumbushia π€£π€£π€£Ila mafundi cherehani walituweza aiseee View attachment 3400841
Shimba aji kizembe mpaka mada ziwe hot tena mada ziwe zinaongelea mambo kama hayo...Hivi nawezaje kumpata shimba ya buyenze au hadi nimtag na picha ya tako kubwa la mdada,πππ
Oaaa weeee so poa ..Nitakupiga nikuulie baharini π
Bado yupo sanaaaOaaa weeee so poa ..
Dogo kasharudi nyumbani kwanza ππππ
Bado ana tabia za ajabu kwani ahahahaBado yupo sanaaa
Na ile kuvaa sare kama timu ya mpira...hapo walikuwa hawanipati nilikuwa nakataa kufanana nguo.π€£π€£π€£
Ngoja nijaribu ππShimba aji kizembe mpaka mada ziwe hot tena mada ziwe zinaongelea mambo kama hayo...
Sasa hvi nenda jukwaa la warembo duniani utamkuta kule kazi yake ni ku confirm picha kama umetuma picha haina hadhi yaani yutong ana β hv tuu...
Pia ukitaka aje hapa mwambie kuna mtu anawasema vibaya wanawake wenye makalio....