Edo Kumwembe: Viongozi wa Nchi Masikini wanapenda sana ufahari, alichokisema Tarimba si kipaumbele cha Mtanzania

Edo Kumwembe: Viongozi wa Nchi Masikini wanapenda sana ufahari, alichokisema Tarimba si kipaumbele cha Mtanzania

Kwani wakipewa plate number zitawaongezea nini na itatupunguzia nini sisi wananchi wa kawaida?
Tutaongeza watu wanaohitaji kupewa kipaumbele/huduma maalum ya haraka na wananchi kubaki kwenye msoto wa foleni. Fikiria Dar es salaam ina wabunge wangapi/pamoja na wale wasiokaa kwenye majimbo yao.

Kila watakapotoka wapewe huduma maalum huku anaeenda kufanyakazi ili yeye alipwe anamuacha njiani. Watatue shida zinazoleta hizo foleni si kukimbia na kusukumia wengine matatizo zaidi. Wanaenda kuwa sehemu ya nyongeza ya tatizo.
 
Nimezungumzia plate numbers bro.
 
Nimejaribu kuwaza kwa sauti katika mapendekezo ya Wabunge wawili katika kikao cha mwisho na cha budget cha Bunge letu. Mapendekezo ya Mh Msukuma na Mh Tarimba Abbas katika kipindi hiki yamesababisha niwe na wasiwasi na wabunge wetu. Kwanza inaonekana kama wamejihakikishia wanarudi kwenye bunge lijalo na wala hawana wasiwasi katika uchaguzi ujao kama watapata kura au la...ndiyo maana wanaomba vitu binafsi na siyo kwa ajili ya wapiga kura wao. Katika kipindi hiki kigumu sikutegemea wabunge kuomba vitu kama hivi..wangesubiri wakirudi bungeni ndiyo wapeleke haya mapendekezo yao..otherwise they are selfish..
Hivi bilionea kama Tarimba na Kusukuma bila tume huru utamshindaje ?
Vyombo vya dola pale jimboni kila mmoja anapigwa mil. 50 .OCD ,na DSO . Huo ni mshahara ya miezi sita tu wa mnge. Anahakikisha anarudi bungeni .

Msimamizi mkuu wa jimbo naye anapigwa mil. 50 .
Wasimamizi wadogo wa dogo wanapewa laki mbilmbili .
Kura zinageuzwa . ACT walipata kura elfu 57 na CCM kura elfu 38 .Zinageuzwa kinyume chake .Ukipinga unaambiwa nenda mahakamani . Ukikomaa unaambiwa inavunja amani inakamatwa na kuwekewa vilainishi kwenye makalio .
Amani ya mashehe inaendelea kudumishwa kwa kuwalawiti watu na kuwabaka . Huo ndio msingi wa amani ya CCM na mashehe ubwabwa wake
 
Kwanza nijuze logic y plate numbers za DFP, ST, SU nilizozizoea kabla ya hizo za Wabunge! Ahahahahaha!!
Aliyetenga ST, DFP, SU alilenga kwenye kushughulika na umiliki/tasisi. Ambao mpaka sasa kwa wabunge iko sawa kulingana na umiliki.

Unaukimbia uhalisia, mantiki ya maombi Mbuge imebebwa na ujumbe wake. Anahitaji status iwe maintained. Vipi barabarani?
 
Dah! Inawezekana wengine wanakuelewa.
 
Dah! Inawezekana wengine wanakuelewa.
"Abbas Tarimba ambaye alipendekeza Wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye misafara au kwenye shughuli zao za kila siku.

Tarimba alisema Wakiwa barabarani wapishwe na wafike haraka huko waendako."

Jielekeze hapo👆
 
Kwa umuhimu gani hasa waliokua nao hao wahujumu uchumi hadi watake upendeleo kiasi hicho? Alafu huyo kilaza ponjoro mwenye akili fupi namna hiyo kama njia ya kwenda chooni ndio alikua anataka kuanzisha vita na gwajiboy
 
Tatizo ni kuruhusu Akili ndogo iongoze Akili kubwa....Mch Msigwa
 
Back
Top Bottom