The Coin Man
JF-Expert Member
- Jan 2, 2025
- 1,471
- 1,879
Walevi tunalipa Kodi mkuu na hatulalamiki ovyo hata bia zikipanda bei .ulevi Kwanza ni wito huwezi kuwa mlevi Kama hujapakwa mafuta. Jikite kwenye hoja .why plate number na wewe NI mtumishi WA Jimbo?Eddo Kumwembe huyu mlevi wa kutupwa? Huwa anaingia studio anapepesuka