Tetesi: Edward Lowassa kuongea na vyombo vya habari kesho kwenye hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam

Status
Not open for further replies.
Huu uongo wa kutupwa
 
Karibu tena CCM mzee Lowassa!
 
Safari ya matumaini inakwenda kutimilizwa hapo kesho.
 
Kabla ya kufanya hivyo anaweza kukandiya Chadema vibaya sana kisha kusepa.
Na ndivyo ilivyo, kesho anaondoka. Fisadi au ..... jana walikuwa pamoja na Mbowe kwa Kingunge. Huyu mtu hatari sana kama alikuwa anamchota Mbowe.
 
Reactions: BAK
Haendi ila atasema kuwa wameongelea kuhusu watanzania kufanya SIASA,BUNGE LIVE,KATIBA MPYA,Hali ya uchumi.
Never, he is leaving. Kwenda siyo hoja, hoja ni kujikomba kwa kumsifia wakati kuna maangamizi yanafanywa na huyo aliyemsifia. It is a pity kuwa yanafanywa na Lowasa. Amesahau kuwa huyu alipiga push up kuonyesha kuwa yeye si mgonjwa mgonjwa ni Lowasa, leo kasahau!



Hii ilikuwa kuonyesha kwamba yeye haumwi anayeumwa ni Lowasa
 
akirudi Lowassa, Sumaye atafuatia kisha chadema inabakiwa na Nyalandu ambae ndio atasimama 2020 na Magufuli. Ngoma unogile
 
Ni lazima mbowe akubali kuiachia chadema na hata ikiwwlezekana na yeye astaafu kabisa siasa ili chadema isukwe upya maana haya makosa yamemchafua yametokana na yeye na ni bora yamzuru yy mwenyewe ili chadema ibaki salama.
 
Tatizo makamanda uwezo wa kuona mambo unaishia kwenye urefu wa pua zao.
 
Duu pole sana sana
 
Mbowe aliharibu sana kumpokea huyu mzee! kwakweli ametuharibia chama! kitendo cha kumpoteza Dk Slaa ilikuwa ni pigo kubwa chamani! sasa niwakati ws kumuomba Dk Slaa arudi akijenge chama!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…