Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Pole kwa familiaTaarifa zaidi itatolewa na familia na Serikali. Poleni wote
====
EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA
Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha
Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2005 hadi 2008 na kuweka rekodi ya kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kujiuzulu.
Tanzania imepoteza kiongozi mahiri