TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

Huyu aliangushiwa jumba bovu tu, na kwa hekima alikubali fedhea na lawama ziwe juu yake ili kunusuru picha ya aliyekuwa na madaraka makubwa kwa faida ya kampeni zilizokuwa zinafuata .
Ila inasemekana ni tajiri sana ni bilionea sasa kapata wapi mali yote hiyo na kazi yake alikua mtumishi wa umma? Alikua anafanya biashara gani huko serikalini?
 
Apumzike kwa amani Mzee Ngoyai, fitina nyingi ndani ya CCM zilikunyima nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa Tanzania.

Umeacha sifa ya kuijua vyema biashara na mbinu zake, umeacha sifa ya kutokupata hasara kwenye mradi ulioamua kuufanya, ulihesabu faida siku zote na hiyo ni sifa ambayo wafanyabiashara wengi hawana.

Pole kwa familia nzima katika kipindi hiki cha majonzi.
 
Sasa mtu alikuwa mgonjwa wa muda mrefu kapelekwa nje kutibiwa imeshindikana akarudishwa Muhimbili kuvuta vuta siku halafu mtu akisema fulani atafariki ndani ya mwaka huu huo sio utabiri maana tayari anajua ni mgonjwa mahututi.
Ugonjwa siyo umauti,cmp hata mwaka jana alikuwa mgonjwa.
 
Dah! Rest ease comrade! Najiskia vibaya sana. Nilikuwa mlinzi wako....... Kazi niliyoifanya kwa moyo wote bila kuteteleka!

Hukuwa na baya! Tutaonana Mungu akipenda!
 
Dah, apumzike kwa amani baba wa watu. Kifo ndo njia ya wote mwendo umeumaliza Lowasa. Nimekumbuka zile kampeni.
 
Back
Top Bottom