Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

Nyerere is overrated. Kwa umasikini huu wa kutupwa. Kuipeleka nchi vitani (akimpigania Obote arudi madarakani baada ya kupinduliwa Na IDD Amini). Nyerere alitengeneza kuogopeka na viongozi wa chini. Wakampamba .

Hint: katiba ya 1977

Udiwani,unapingika kortini
Ubunge,unapingika

Uraisi,hapana. Akitangazwa,imeisha hiyo.
Yeye alikuwa raisi. If you know you know
Mu ovarate babaako basi nasi tumjue!
 
Jidu mbona kama wewe ndo umeshakua beaten hands down tena kwenye uzi wako? Unaulizwa maswali hujibu unaruka ruka tu. Nakuonaga mtu wa fact, nini kimekukumba leo mkuu Jidu?
Mkuu tunapojadili faida za embe , mtu anakuja kuelezea utamu wa nazi unategemea nini?
Hii mada ni jinsi mnafiki anataka kuwa nahodha wa meli iliyotenngenezwa na mtu mwingine ambaye alitusiwa kuwa si lolote na meli haielei.
Meli inelea, sasa mtukanaji anataka usukani!
Umenipata?
 
Mkuu anzisha mada yako kwa kile wewe unachokiona kwa Mwalimu.
Usidandie mada.
And belive me you will be beaten hands down.

Mada hii ni unafiki wa mtu anaitwa Tundu Lissu kutaka urais wa Tanzania huku akijua bila Mwalimu angekuwa mpagazi au mfanyakazi wa ndani.Kile anachokitaka Lissu ni kuendesha nchi iliyo asisiwa katika misingi ambayo asingeweza kufika hapo alipo.
Hujaonesha Tundu Lissu kamtusi wapi Nyerere.

Unasema nianzishe mada nyingine I will be beaten hands down wakati hii hujaweza kuimaliza?

What kind of nonsense is that?
 
Jidu mbona kama wewe ndo umeshakua beaten hands down tena kwenye uzi wako? Unaulizwa maswali hujibu unaruka ruka tu. Nakuonaga mtu wa fact, nini kimekukumba leo mkuu Jidu?
Bora uulize wewe.

Mtu namuuliza maswali, ya fact, tena yenye historical evidence, na link kwenye document.

Anashindwa kujibu.

Halafu ananiambia nianzishe uzi mwingine nitakuwa beaten hands down!

Hapa nimeuliza maswali, nikiuliza haya haya kwenye uzi mwingine ataweza vipi kujibu?
 
Nyerere is overrated. Kwa umasikini huu wa kutupwa. Kuipeleka nchi vitani(akimpigania Obote arudi madarakani baada ya kupinduliwa Na IDD Amini). Nyerere alitengeneza kuogopeka Na viongozi wa chini. Wakampamba .

Hint: katiba ya 1977

Udiwani,unapingika kortini
Ubunge,unapingika

Uraisi,hapana. Akitangazwa,imeisha hiyo.
Yeye alikuwa raisi. If you know you know
I beg to differ, hakuwa Malaika wala Mungu, ila kwa ubinadamu alifanya mambo ambayo WaTZ wachache sana wangeweza kufanya, thats including me and you, tushukuru aliyofanya, he was one of the founding fathers, mnyonge mnyongeni ila haki yake mpe, kuwa mpinzani au mkinzani kwenye siasa haimanishi usahau ulipotoka...
Kama kina Mandela, Samora, Lumumba, Sekou Toure, Castro, Mao, Mugabe, Museveni, Gandhi, Civil Rights leaders wa USA, hata Boby Marley na wale Angola na Namibia na wengineo Duniani kote including scholars kama kina Walter Rodney wanampa heshima yake hata mzee Mtei sisi ni nani wa kumnyima heshima yake TZ na duniani kote?!
Heshimu chako bandugu...
 
Huo ni mfano wa kuonesha kwamba kikitu kikiwa fact,mtu kusema fact si kashfa.

Karume alimuomba Nyerere ampeleke Hanga Zanzibar, Nyerere akamrubuni Hanga atoke Guinea alipokuwa kajificha arudi Tanzania. Hanga alipofika Tanzania Nyerere akamrubuni Hanga aende Zanzibar. Akijua Hanga anaenda kuuawa na Karume huko.

Hanga akaenda Zanzibar, akauawa.
Na mtoto pekee wa Kassim Hanga ni huyu...
Yelena Khanga - بحث Google

Hataki hata kuijuwa TZ iko wapi!
 
Ebwana eh kwahiyo mpo hapa kusema Nyerere ni overrated. Na reference yenu ni kisa urais haupingwi mahakamani.

Huyu mtu alisuffer coup attempts, mbili. He survived them. Kuhakikisha hayo hayajirudii ikatungwa hiyo sheria. Na nyingine nyingine.

Hivi ni dikteta gani anatoa second chance kwa waliotaka kumpindua? Tena kesi inaenda kushughulikiwa mahakamani, na mmoja wao mpaka kuna barabara ina jina lake. Idi Amin, Gnassingbe, Kagame, Bongo, Papa Doc, Ceausescu na wengine waliwafanya nini hata waliowahisi kua wanataka kuwapindua?

Baada ya Nyerere ni rais gani mwingine kwa hapa Tz baada yake unafikiri atakufa huku hajamaliza deni la nyumba yake? Ambaye itabidi rais atakayefuata amfanyie renovation ya nyumba yake?

Mmoja hapo juu anasema alituingiza vitani kisa Obote arudi madarakani. Hiyo haijawahi kua sababu, Amin alivamia Kagera. Kagera ni Tz, a nigga just broke into our country na mlitarajia afanye nini? Akapige magoti? Akamuimbie wimbo hadi Amin achoke aiachie Kagera?

Kutokana na yeye ndiyo elimu ilisambazwa kwa wote unlike wamisionari ambao kwa elimu ilikua kimkakati. Leo unakutana na Profesa kutoka Lindi na kitabu alipiga enzi za Nyerere kwa gharama za serikali.

Magufuli alisema Lisu anatumika (logically) kwenye lile sakata la makinikia, ulimsikia Lisu akipinga? Now Tz is getting paid na alichosema Lisu cha Miga and other shit is nowhere near happening.

Kuna watu wanaishi kwa kukaririshwa. Education is out there, jisomee, siyo kitu kakukarirish mpuuzi mmoja tu na wewe unang'ang'ania hicho hicho.
Kupigwa Kagera ilikuwa ni baada ya
I beg to differ, hakuwa Malaika wala Mungu, ila kwa ubinadamu alifanya mambo ambayo WaTZ wachache sana wangeweza kufanya, thats including me and you, tushukuru aliyofanya, he was one of the founding fathers, mnyonge mnyongeni ila haki yake mpe, kuwa mpinzani au mkinzani kwenye siasa haimanishi usahau ulipotoka...
Kama kina Mandela, Samora, Lumumba, Sekou Toure, Castro, Mao, Mugabe, Museveni, Gandhi, Civil Rights leaders wa USA, hata Boby Marley na wale Angola na Namibia na wengineo Duniani kote including scholars kama kina Walter Rodney wanampa heshima yake hata mzee Mtei sisi ni nani wa kumnyima heshima yake TZ na duniani kote?!
Heshimu chako bandugu...
Kuwa overrated haimaanishi kuwa MTU hajafanya kitu. MTU akiitembelea Tanzania Na akalinganisha sifa za Nyerere ni haavina uwiano.
 
Kupigwa Kagera ilikuwa ni baada ya

Kuwa overrated haimaanishi kuwa MTU hajafanya kitu. MTU akiitembelea Tanzania Na akalinganisha sifa za Nyerere ni haavina uwiano.
Angalia quotation unazofanya chief.
 
Tundu Lissu simuoni kama anafaa uraisi(hisia zangu). Ila Nyerere is overrated
Sasa tuseme sasa ni kweli kwamba yuko overated, ni watu wengine wamefanya hayo makosa, siyo yeye. Sasa makosa hayo yanageuka tena yanakuwa yake yeye ambaye amekuwa overated? Au kuwa overated kunafuta tena mazuri yote aaliyotenda na kuna highliht yale ambayo hakufanikwa kuyafanya vizuri zaidi?
 
Ninachofahamu kwa kumbukumbu ni watu wawili waliowahi kumtusi Mwalimu.
Mmoja ni Christopher Mtikila na alisha fariki, na mwingine ni Tundu Lissu ambaye yaliyompata sote tunayajua, japo kwa masikitiko.
Sikuamini kabisa kuwa una reasoning capacity shallow kiasi hiki. Watu wanakufa kisa ni kumtukana Nyerere? Wengine mnawapiga risasi kisa walimtukana Nyerere? Why don't you come up and decree and declare that you're our heroes who did such shameful and nasty acts in defense of the father of the nation? You'll get decoration! Of today you remain cowards of the highest degree. Wasiojulikana!
 
Hujaonesha Tundu Lissu kamtusi wapi Nyerere.

Unasema nianzishe mada nyingine I will be beaten hands down wakati hii hujaweza kuimaliza?

What kind of nonsense is that?
Mkuu you have an attention span of a 3 year old.
Fuatilia majibu yangu na hilo limejibiwa.
Thats the problem with loudmouths, they talk more than they listen.
Lakini kwa kujibu swali lako...........
Mzee Mtei, mtu mzima mwenye heshima yake ilibidi ajitenge na maneno ya Lissu kama ifuatavyo.....

Tundu Lissu.. "yule Nyerere aliishi maisha ya ulaghai,udanganyifu na vitisho kama vile majambazi/matapeli Papaa Musofe na Alex Massawe!?"

Hayo ni maneno kayatamka Tundu Lissu, mpaka leo hakuomba radhi kuwa mdomo ulikuwa kwenye overspeed.
Leo naye ati anataka urais.
Hiyo ni moja, mbili unatakiwa ujadili hilo na merits unazoziona za Lissu kumtukana Mwalimu, muasisi wa Taifa la Tanzania , halafu Lissu huyo huyo kujitia kimbele mbele kuutaka urais huo huo.
 
Sikuamini kabisa kuwa una reasoning capacity shallow kiasi hiki. Watu wanakufa kisa ni kumtukana Nyerere? Wengine mnawapiga risasi kisa walimtukana Nyerere? Why don't you come up and decree and declare that you're our heroes who did such shameful and nasty acts in defense of the father of the nation? You'll get decoration! Of today you remain cowards of the highest degree. Wasiojulikana!
Mkuu wewe ndo slow thinker and you dont understnd the stakes here!
Kama ambavyo mtu anaenda na facts, basi wala wewe huzijui wala huziheshimu.
Nimesema(kama huelewi), nawafahamu watu wawili waliowahi kumtukamna Mwalimu
Moja, Christopher Mtikila, tunajua yuko wapi kwa sasa hivi.
Na pili, Tundu Lissu, naye tunajua yuko wapi sasa hivi
Hizo facts kama huzielewi basi unahitaji kupandikizwa ubongo mwingine.

In the mean time kwa nia yako kutaka kuonja sumu, tukana kiongozi mwingine and see how long you will last!
 
Mkuu you have an attention span of a 3 year old.
Fuatilia majibu yang na hilo limejibiwa.
Thats the problem of loudmouths, they talk more that nthey listen.
Lakini kwa kujibu swali lako...........

Hiyo ni moja, mbili unatakiwa ujadili hilo na merits unazoziona za Lissu kumtukana Mwalimu, muasisi wa Taifa la Tanzania , halafu kujitia kimbel mbee kuutaka urais huo huo.
Bora attention span ya a 3 year old kuliko yako ya guluguja asiye na uti wa mgongo wala ubongo.

Nimeuliza tusi lipo wapi, umeweka nukuu hujaonesha tusi lipo wapi.

Onesha katika hiyo nukuu neno gani ni tusi.

Tulichambue tujue kama ni tusi, au linamfaa Nyerere kwa matendo yake.

Kuhusu merit ya Lissu kumsema Nyerere, Mtanzania yeyote ana merit ya kumsema Nyerere.

Tanzania ni nchi ambayo angalau kwenye makaratasi bado ni ya kidemokrasia, na Nyerere alikuwa kiongozi wa Tanzania.

Nchi za kidemokrasia zinatoa uhuru kwa wananchi wake kuwasema vibaya viongozi.

1. Hujaonesha tusi liko wapi.

2. Hujaelewa kwamba merit pekee ya Mtanzania kuweza kumsema kiongozi ni Utanzania wake. Why do you need more?
 
Dont get negative.
Kama huoni kuwa hilo ni tusi , basi leo nenda hadharani popote bongo.
Ongea hilo kwa kiongozi yeyote, ule jeuri yako.
Pili, kama mtaji wa Lissu unaona ni kukashifu waanzilishi wa Taifa hili basi mkuu, unatatizo ambalo halirekebishiki kichwani mwako.
 
Ebwana eh kwahiyo mpo hapa kusema Nyerere ni overrated. Na reference yenu ni kisa urais haupingwi mahakamani.

Huyu mtu alisuffer coup attempts, mbili. He survived them. Kuhakikisha hayo hayajirudii ikatungwa hiyo sheria. Na nyingine nyingine.

Hivi ni dikteta gani anatoa second chance kwa waliotaka kumpindua? Tena kesi inaenda kushughulikiwa mahakamani, na mmoja wao mpaka kuna barabara ina jina lake. Idi Amin, Gnassingbe, Kagame, Bongo, Papa Doc, Ceausescu na wengine waliwafanya nini hata waliowahisi kua wanataka kuwapindua?

Baada ya Nyerere ni rais gani mwingine kwa hapa Tz baada yake unafikiri atakufa huku hajamaliza deni la nyumba yake? Ambaye itabidi rais atakayefuata amfanyie renovation ya nyumba yake?

Mmoja hapo juu anasema alituingiza vitani kisa Obote arudi madarakani. Hiyo haijawahi kua sababu, Amin alivamia Kagera. Kagera ni Tz, a nigga just broke into our country na mlitarajia afanye nini? Akapige magoti? Akamuimbie wimbo hadi Amin achoke aiachie Kagera?

Kutokana na yeye ndiyo elimu ilisambazwa kwa wote unlike wamisionari ambao kwa elimu ilikua kimkakati. Leo unakutana na Profesa kutoka Lindi na kitabu alipiga enzi za Nyerere kwa gharama za serikali.

Magufuli alisema Lisu anatumika (logically) kwenye lile sakata la makinikia, ulimsikia Lisu akipinga? Now Tz is getting paid na alichosema Lisu cha Miga and other shit is nowhere near happening.

Kuna watu wanaishi kwa kukaririshwa. Education is out there, jisomee, siyo kitu kakukarirish mpuuzi mmoja tu na wewe unang'ang'ania hicho hicho.
Kumjibu mpumbavu kulingana na upumbavu wake. Bila kumjibu atapiga kifua! Vita ya Kagera chanzo chake umetajiwa unabisha! Unataja mwisho kama mwanzo wa vita. Unaandika with air of authority whereas misinformed.
Kazi ya wamisheni ilikuwa ukipokea biblia, unapewa na elimu ili kesho usome mwenyewe. Na kusudi usishindwe kusoma sababu ya malaria unajengewa na hospitali. Kazi yao ilikuwa kueneza biblia bila upanga. Kila kilichofanyika ni kwa ajili ya biblia tu. Elimu hawakubagua kihivyo. Wenyewe mliogopa kiti moto kwa ushamba tu.
Lindi au wapi kule kupata elimu dunia ulikuwa ni wajibu wa serkali na sio hisani. Kama Lindi walilipa kodi walikuwa na haki ya kushiriki keki ya taifa. Kipande kimojawapo kikiwa elimu. Hivyo walipata tu stahili yao. Mengine ni kutafuta sifa bure.
Kuhusu madini; wakati Lissu anafungwa sababu ya kusema wawekezaji wa madini wanatunyonya, JPM alikuwa kwenye baraza la mawaziri likiandika miswada ya kuhalalisha huo unyonyaji! Lissu alichosema kama mwanasheria makini ni kufuta sheria za akina JPM kwanza ndipo unaweza ukawafokea wawekezaji. Muulize Kabudi mazungumzo yalivyoendeshwa hadi anaomba kujiuzulu. Wangesikiliza ushauri wa Lissu ingekuwa rahisi. Hata sheria zimejapitiwa. Wote tunajua sio zile za awali. Makinikia hayajalipa na kamwe hatutalipwa. Kinalipwa kishika uchumba tena kama vile atakavyo mlipaji. Kumbuka kauli ya baba wa mchumba miaka kama mitatu nyuma ya kutaka malipo haraka!
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Mkuu wewe ndo slow thinker and you dont understnd the stakes here!
Kama ambavyo mtu anaenda na facts, basi wala wewe huzijui wala huziheshimu.
Nimesema(kama huelewi), nawafahamu watu wawili waliowahi kumtukamna Mwalimu
Moja, Christopher Mtikila, tunajua yuko wapi kwa sasa hivi.
Na pili, Tundu Lissu, naye tunajua yuko wapi sasa hivi
Hizo facts kama huzielewi basi unahitaji kupandikizwa ubongo mwingine.

In the mean time kwa nia yako kutaka kuonja sumu, tukana kiongozi mwingine and see how long you will last!
Maneno ya Musiba hayo!
 
Mwalimu is the most intelligent Tanzanian hilo ni sahihi na nchi hii ilivyo leo ni akili zake! mf kufanikiwa kuwapumbaza na kuwahangaisha kinoma raia wote kwa miaka yote ya uhai wake na mbio za mwenge zisizo na kichwa wala miguu!! Mwalimu kutumia kifimbo kujiweka tofauti na kuwapa raia sintofahamu kuwa labda ni fimbo ya kichawi! na watu wote bongo walimuogopa kweli hata Mungu akamuweka uwanja wa taifa alipokufa ili kila mmoja amshuhudie kuwa amekwisha wasimuogope tena waogope Mungu! yasemekana mwili wake ulianza kuharibika pale uwanjani!!

Mwalimu alitoa kali kwa kuchonga meno, kubuni kauli mbiu kibao za kuvuruga akili za watu mfano siasa ni kilimo, uhuru ni kazi, chama kushika hatamu ( hatamu ni neno la kiswahili maana yake kamba za kuongozea farasi) , zidumu fikra za mwenyekiti maana yake yeye tu ndo ana akili wengine vilaza, kuchagua wasaidizi vilaza kina Kiwewe, kuandika vitabu vya siasa ya hovyo ya ujamaa iliyodumaza akili na uchumi wa wabongo, kuchukua uhuru kwa akili si nguvu, kuondoa ukabila kupitia sera za elimu kuchagua wanafunzi kutoka mikoa tofauti na kuwachanganya kusoma shule za mikoa tofauti, kuwapangia wafanyakazi vituo vya kazi mikoa mingine, kulinda mipaka yetu na kujenga jeshi imara ili tusivamiwe na yeye asifanyiwe mapinduzi, kuikalia Zenj kiakili, kutumia kiswahili kuunganisha raia, kuua uchifu nk, ila mapungufu yake ni mengi mno!!

kumkosoa Mwalimu si kosa kabisa kitaaluma hata yeye binafsi ndani ya roho yake alijua sababu alisoma ulaya!!ukisoma bongo pekee unakuwa mjinga plus kwenye baadhi ya mambo! mf bongo elimu yote ni kukariri ulaya elimu ni kuelewa, bongo swali moja jibu moja tu la mwalimu, ulaya swali moja majibu mia ya wanafunzi yote majibu sahihi ukiyatetea majibu yako!!

wazee wenye mawazo ya kikoloni na kijinga waliojaa bongo kama Mzee Mtui ndio mashabiki wake si vijana wasomi , bahati mbaya wazee hawa wamebakiza miaka kama 20 tu wote wafe (bi idhinllah) maana miaka yenyewe si mingi ni sabini tu ikizidi themanini kinachofuata ni kurudi mavumbini kwa nyimbo na mapambio! mimi naamini wazee wote wakifa nchi nchi itazaliwa upya kwa kuongozwa na vijana ambao hawakutawaliwa!!nchi itapaa kiuchumi!

Kutokana na kutukuzwa mno na wazee wenzake Mwalimu alijisahau akajaa kiburi na majivuno akatamalaki na kudhani ana shea na Allah akatamka hadharani kuwa ana afya ya kutosha na atamuona Rais wa awamu ya tano! Allah akamtoa uhai bila watu kujua kwa siku kadhaa mwaka mmoja tu kabla ya uchaguzi mkuu, chezea Mungu wewe!!

Mwalimu hakupenda kukosolewa, utamaduni mbaya mno aliowaachia viongozi wetu wajinga kabisa kuwahi kutokea duniani sababu ulaya imeendelea kupitia ukosoaji!! ukosoaji ambao huitwa mawazo mbadala! bongo siku hizi wakosoaji huitwa wachochezi! huwa nikicheka sana ujinga wa mtu mweusi kulazimisha watu kupenda chama chetu sababu by nature hatuwezi kufanana mawazo sababu binadamu ni tofauti kila kitu!! jinsia, elimu, kazi, makazi, wazazi, malezi, umri, dini, kabila, exposure, friends, dreams, goals, income!!

Mwalimu alikuwa mtu mbinafsi sana hakutaka mawazo ya mtu mwingine yamzidi akili, waliompinga walipotezwa wengine kina Kambone walihama nchi! Kuna watu waliochukizwa na sera zake mno hata mmoja akadiriki kumuua hadharani kwa risasi mkuu wa mkoa wa Iringa wakati huo bwana Klerruu muuaji huyo aliitwa Mwamwindi! Mwalimu wetu mkuu aliona watu wote bongo ni vilaza na ni nyumbu, (farasi!)

Mwalimu alikuwa mtu katili mno rohoni bila kuonesha usoni basi buana jamaa alichukia mno matajiri na kusahau ni Mungu ndie hugawa mali basi akawadhulumu watu wasio na hatia mali zao bila huruma akapora watu hasa wahindi na majumba yao na mashule yao waliyojenga kwa majasho yao kupitia sera yake ya dhulma ya utaifishaji akaita Msajili wa Majumba, ule ulikuwa ni wizi! lets call a spade a spade!! kuna sera pia alianzisha ya uhujumu uchumi ambapo ukiacha majizi ya mali ya umma kutupa pesa na mali zao kwa hofu ya kukamatwa kunao watu wengine walitupa pesa zao za halali!!!

Mwalimu alikuwa mdini wa kutupwa na udini unaendelea hadi leo bongo katika ajira serikalini na elimu za juu! ukihesabu wakristo walio katika ajira serikalini ni mara mbili ya dini zingine, sera ya kutumia namba za mitihani ya Kigoma Malima iliokoa jahazi kidogo! Hapa ndipo waislamu huwa hawasemi alale pema peponi bali husema ‘ Mungu amlaze mahali panapomstahili’

Mwalimu alitupotosha kiuchumi na kutuletea umaskini tulionao hadi leo kwa kuanzisha ujamaa ambao yeye mwenyewe hakuuelewa na walio chini yake hawakuuelewa! huwezi kuulewa ujamaa kama unaweka kapuni ubepari vinaenda pamoja! makazi , maisha na shughuli za kiuchumi viliharibika kabisa alipoanzisha vijiji vya ujamaa falsafa iliyofeli sababu nchi ilijaa watu wajinga! kuna watu waliliwa na simba walipohamia kwenye mapori mapya kuanzisha vijiji vya ujamaa!!

Mwalimu alikuwa mjinga mno kutoelewa kuwa ujamaa ni ideology ya kipumbavu na huwezi kuanza nayo kujenga nchi sababu kiutaratibu na kimaumbile binadamu hasa yule maskini ni selfish by nature ukimpa rasilimali za kikundi au nchi bila sheria na shuruti na mabuti na virungu daima ataanza kujaza tumbo lake kisha tumbo la mkewe kisha matumbo ya wanawe kisha ukoo then ndo akumbuke kikundi ( capitalist premise)! ili nchi iendelee lazima ianze ubepari kwanza watu wamiliki njia za uchumi na kulipa kodi kubwa zinazoendeleza nchi, nchi ikiendelea mbali katika ubepari ndo mnarudi kwenye ujamaa sababu ujamaa....... ( hapa si darasani ningefundisha kwenye hili tu najua kuliko mwalimu!)!

Mwalimu alitumia rasilimali za nchi ya bongo kipumbavu tena bila ridhaa ya wananchi kupitia kura ya maoni kwa kuanzisha vita zisizokwisha eti kukomboa Afrika nzima lengo yeye na kina Nkrumah ndo wawe viongozi wa Africa nzima, the pride we carry to this day Wabongo kwa sifa! hatujaanza sisi kaanza Mwalimu!! huu ulikuwa ujinga mtupu sababu tuliowakomboa hawatusaidii chochote leo! rasilimali tulizotumia kukomboa mataifa yote tungetumia kujenga nchi!

Mwalimu alipigana vita na Uganda na kuua maelfu ya askari kumrudishia kiti best yake Obote! this was a big disaster kwenye economy!

Mwalimu alijitengenezea umungu mtu na kutaka kuabudiwa na falsafa hiyo mbaya kabisa bado inaishi bongo kwa kuwa viongozi hupiga magoti kuomba kura na wanapopewa dhamana hupiga watu hao mabomu ya machozi, mabuti na virungu! tunalaani sana aina hii ya uongozi!

Nakiri mimi si shabiki wake ila ni shabiki wa Mkulu kindakindaki
 
Back
Top Bottom