DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Unasema vitu vya UONGO kwenye bandiko lako lote ili kiwe nini? Elimu, Dini , DEMOKRASIA kwenye nchi zilizoendelea hakuna?
Israel, ujerumani, Iran, Marekani, Japan, China huko kote hakuna dini?
Hakuna mahali nilikuvuta au kukulazimisha uchangie hii mada. Usijipe umuhimu usiokuwa nao.Mimi nakuweka ignore list sipendi MTU amabaye hapendi kujifunza
Mimi ninakupa mambo ya kukusaidia wewe unaleta ubishi
Endelea kuabudu wazungu wakupe condom na vyandarua.
😁😁😁Hakuna mahali nilikuvuta au kukulazimisha uchangie hii mada. Usijipe umuhimu usiokuwa nao.
Hao watoa vyandarua na kondomu ni wao waliomba walete ama sisi ndiyo tulikwenda kuomba kwao?
Nyie ndiyo vichwa maji mnaosema kuwa UKIMWI ulitengenezwa ili kuwaua waafrika au kupata Hela.
Mauaji ya 29Oktoba walikufa watu wengi kuliko watakaokufa mwaka huu kwa UKIMWI.
Zaidi ya kutengeneza watoto kwa wake zenu usiku, kipi kingine mnaweza? Kama mabus ya mwendokasi ya kurekebisha yamewashinda hapo yard, itakuwa kutengeneza?Unafikiri sisi hatuwezi kutengeneza Magari?
Mji wa dar tu maji hakuna!!!Zaidi ya kutengeneza watoto kwa wake zenu usiku, kipi kingine mnaweza? Kama mabus ya mwendokasi ya kurekebisha yamewashinda hapo yard, itakuwa kutengeneza?
Eti inaonewa wivu!!Nchi ambayo haijagundua, haigundui na wala haifanyi utafiti wa kisanyansi
Nchi ambayo ni dampo la mchina
Before uchaguzi kwanini watu walikuwa wanatekwa na kuuwawa?😁😁😁
Hayo mauaji nyie ndo mliyasabisha hii dhambi itawatafuna
Kwakuwa mlisema watoke jeshi litawalinda .
Zitto JRBefore uchaguzi kwanini watu walikuwa wanatekwa na kuuwawa?
Zitto JR
Hio sio dhambi?
Jibu swaliHakika tuilende Amani ya nchi yetu SAY NO DEMONSTRATION
Hana jibu!!Jibu swali
wanaharakati hawajawahi kuwatuma kuteka na kuua watu, kupora uchaguzi na ufisadi wa kiwango cha lami. Matatizo ya nchi hii yanasababishwa na CCM and nobodyelseView attachment 3517932
My people,
Kuna msemo mmoja unasema "THERE IS NO FREE LUNCH IN AMERIKA"
Tunaweza tumia mfano huu kuelezea ukweli kwamba hakuna Ufadhili ambao haufanyiki bila malengo maalumu
Hao wafadhili wana tegemea kupata kitu kutokana na pesa wanayotoa,sasa wakiona matumaini ya kupata wakitakacho hakipo tena ni dhahiri kabisa wata abort the mission, na hapo wanaharakati wetu wa mchongo watajikuta kwenye hali mbaya sana.
Ikifikia stage hiyo bongo hawawezi kurudi maana wakitia pua tu pale njia panda ya kwenda Ulaya watu wanakula vichwa,na wakikaa huko ughaibuni bila mishe watahadhirika
Ushauri wetu wapigania amani ya nchi hii, hao wanaharakati waanze kutafuta mishe za kufanya kwasababu, mpaka sasa wapigania amani tumeshaudhibiti mchezo,watu wamepata mwamko mkubwa na hawata andamana
Maana option iliyobakia ilikuwa kuingia road kuleta machafuko nchi isitawalike na Serikali kuangushwa,lakini mpaka sasa dash board inasoma Dola ni full tank na Wanaharakati wa mchongo ni Empty tank
Tunashukuru sana Watanzania kwa kuzinduka kutoka usingizini,tukumbuke Tanzania ni yetu na ni sisi pekee ndio tutailinda
Mungu Ibariki Tanzania na Mungu Ibariki Afrika
Ni hayo tu!
Ni sahihi wanaharakati hawajafanya hayo,ila walihamasisha watu kwenda road kwa ulaghai kwamba jeshi litawalinda wananchi,kitu ambacho ni uongowanaharakati hawajawahi kuwatuma kuteka na kuua watu, kupora uchaguzi na ufisadi wa kiwango cha lami. Matatizo ya nchi hii yanasababishwa na CCM and nobodyelse
Waliwafungua watu macho na akili, wakaelewa ni namna gani hii nchi inaingizwa shimoni na CCM, sasa hivi hawana tena ushawishi, wamebakiza kutumia nguvu tuNi sahihi wanaharakati hawajafanya hayo,ila walihamasisha watu kwenda road kwa ulaghai kwamba jeshi litawalinda wananchi,kitu ambacho ni uongo
Kwahiyo nao hawawezi kwepa lawama ya kilichotokea
Thibitisha kama walihamasishwaNi sahihi wanaharakati hawajafanya hayo,ila walihamasisha watu kwenda road kwa ulaghai kwamba jeshi litawalinda wananchi,kitu ambacho ni uongo
Kwahiyo nao hawawezi kwepa lawama ya kilichotokea