Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 683
- 1,111
wanatuonea wivu wameharibu miundo mbinu ya Dawasa hatuna maji sasaKwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Na wanatuzuia kutafuta Suluhu ya kudumu dhidi ya njama zao hizo za kuleta shida ya maji Dar es salaam!wanatuonea wivu wameharibu miundo mbinu ya Dawasa hatuna maji sasa
Kasikilize Shule ya Uongozi aliokuwa anafundisha Polepole,Kwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Sasa kivipi mabeberu wanahujumu nchi yetu?Kasikilize Shule ya Uongozi aliokuwa anafundisha Polepole,
Utaelewa vizuri sana.
Mfano Mzuri Mdogo utao kufungua Akili ni Geita Gold Mine Ni Mgodi Mkubwa Afrika unao toa zaidi ya Kilo 13,700 za Dhahabu kwa Mwaka,Sasa kivipi mabeberu wanahujumu nchi yetu?
Umaskini wa watu wa Geita na mabeberu vinahusianaje? Kwani mkataba wa uchimbaji madini pale hao wenye kumiliki ule mgodi waliilazimisha Serikali kusaini?Mfano Mzuri Mdogo utao kufungua Akili ni Geita Gold Mine Ni Mgodi Mkubwa Afrika unao toa zaidi ya Kilo 13,700 za Dhahabu kwa Mwaka,
Lakini Sensa ya watu na Makazi ya mwaka 2012 Ilieleza kuwa Wilaya ya Geita ni Moja ya Wilaya Maskini Tanzania,
Fikiri vizuri utapata uelewa mzuri
Mabeberu Wanatengeneza Mazingira ya Kukunyonya kwa hiyo Ayo Mazingira Wameyatengeneza,Umaskini wa watu wa Geita na mabeberu vinahusianaje? Kwani mkataba wa uchimbaji madini pale hao wenye kumiliki ule mgodi waliilazimisha Serikali kusaini?
Halafu unawajua wenye kumiliki ule mgodi?😀😆😃
Vurugu zilianzaje? Askari wajibu wao ulikuwa ni nini kama sio ku contain raia wabakie barabarani wafanye maandamano yao.Hayo hayakuwa maandamano,ilikuwa ni fujo na vurugu
Waandamanaji huwa wanaharibu moundo mbinu na kuchoma mali za watu?
Hili nalo linahitaji usomi?
Wale hawakuwa raia wema,walikuwa wahuni, watu ambao wamedhamiria kuleta fujo na vurugu unafikiri utadili nao vipi?Vurugu zilianzaje? Askari wajibu wao ulikuwa ni nini kama sio ku contain raia wabakie barabarani?
Kwahiyo Nyerere alishindwa kukataa hizo gari au alilazimishwa kuzichukua kwa lazimaMabeberu Wanatengeneza Mazingira ya Kukunyonya kwa hiyo Ayo Mazingira Wameyatengeneza,
Tanzania ilipo anza kuendelea Kipindi Cha Nyerere Mabeberu walikuja Kutudhoofisha Kwa Kutufungia Uwanja wa Ndege kwa Madai hakuna Magari bora ya Kuzimia Moto,
Then Waka Mnyima Mkopo Ulaya kote hadi Asia Hakupata Mkopo wa Kununua hilo gari,
Lakini Nyerere Alikuwa Kawapeleka baadhi ya Watanzania kwenda Kusoma Nje wakiwemo Wanajeshi Baadhi,
Akaagiza Wanajeshi walio Somea Mambo ya mechanical Watengeneze hiyo gari waka Sema Inawezekana,
Wakatengeneza Siku ya Kuzindua hiyo gari ili Tupa Maji Mara mbili ya Gari za Kizungu Nyerere aka Tenga 2Billion ili Kiwanda Kijengwe,
Baada ya Wazungu kuona hivyo Yakaleta Magari ya Msaada Mawili bure,
Kwakua Uchumi ulikuwa Chini Zile pesa Zilizo Tengwa kwaajili ya Kiwanda Zikarudi Kufanya Maendeleo ya wananchi,
Wazungu Wakiona Tunajikongoja Wanatengeneza Mazingira ya Kutudidimiza Tusiendelee
Ili uwe na utu ni lazima kwanza wewe mwenyewe utambue kuwa wewe ni mtu.Wale hawakuwa raia wema,walikuwa wahuni, watu ambao wamedhamiria kuleta fujo na vurugu unafikiri utadili nao vipi?
Hauwezi kwepa ukweli kwamba yale hayakuwa maandamano ni fujo na vuruguIli uwe na utu ni lazima kwanza wewe mwenyewe utambue kuwa wewe ni mtu.
Watu wanashangaa ilikuwaje watu milioni zaidi ya 60 waliuliwa zama za Aldolf Hitler, kumbe naye alikuwa na wapambe wa aina yako.
Binadamu waliokata tamaa ya kuwa na utu, hushabikia kila tendo la kinyama atendewalo binadamu mwingine, Kwa kuwa hata yeye mwenyewe hajihesabu tena kama ni binadamu.
Yesu alisema mtu asipojipenda yeye mwenyewe, hawezi kupenda wengine.
Watu wote hao waliwezaje kuwa na dhamira moja?Ila ukwelli huwa upo wazi kulikuwa na dhamira ya kuleta taharuki na uvunjivu wa amani
Bilashaka jibu unaloWatu wote hao waliwezaje kuwa na dhamira moja?
Sina jibu ndiyo maana nimeuliza!!Bilashaka jibu unalo
Najua unakusudia nini,ndio maana nimekujibu hivyoSina ndiyo maana nimeuliza!!
Mazingira na Hali ya Nchi ndio yaliyo Fanya AchukueKwahiyo Nyerere alishindwa kukataa hizo gari au alilazimishwa kuzichukua kwa lazima
Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na GENTAMYCINE wanaweza kusaidia kujibu hiliKwanza tueleze hao mabeberu ni kina nani na ili uwe beberu unatakiwa uwe na sifa zipi?
Tusaidie kujua jinsi nchi yetu ilivyo na uongozi Kamili inavyoweza kuhujumiwa na hao mabeberu
Tupe mifano miwili tu ndani ya miaka kumi iliyopita ya jinsi hao mabeberu walivyohujumu nchi yetu.
Hii mada ndugu Allen Kilewella ni ngumu mno kwa chawa wasiotumia akili kama yule mwendawazimu wao Habibu Mchange ambaye bila shaka kapewa jukumu lililokuwa likifanywa na Cyprian Musiba (ambaye anasema ameokoka kwa kuwa kaitambua dhambi yake aliyosababishiwa na CCM, hakujua alilokuwa anafanya) wakati wa John P. Magufuli...!Hii ni nadharia... Elezea Kwa mifano halisi hapa Tanzania wanafanyaje kutuhujumu?
Halafu tukijadili hoja zako,
1. Wana njia za hadaa.
Inakuwaje kama Taifa Kwa zaidi ya miaka 60 ya uhuru wetu bado tukawa na viongozi wanaohadaika na hao mabeberu?
2. Focus distraction -kupitia viongozi.
Sasa hapo kwa nini badala ya kupambana na kiongozi wako unataka kuhamishia lawama zako Kwa mabeberu?
Yaani Tanzania tuna viongozi ambao kirahisi tu wanaweza kutolewa kwenye Dira yao halafu tunawalaumu mabeberu? Udhaifu wa viongozi wetu mabeberu wanahusikaje?
3. Vitisho usalama
Hapa Tanzania hao mabeberu ni lini walitishia usalama wa nchi yetu?