Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

 
Shida itakuwa Kwa Sisi wanaume hatu taki kuoa mapema na wanawake umri unaenda hawaja olewa na kama hawaja olewa nani hata wapa maitaji Yao yaki msingi na ukute wazaz maisha Yao duni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In general ni kweli mkuu almost wanawake wana mawazo ya aina hiyo .. ila trust me kuna wanawake wako vizuri wanakipato lakini heshima ipo pale pale kwa wanaume zao
Hakuna mwanamke mwenye pesa akawa na heshima kwa mwanaume maskini labda huyo mwanaume awe baba yake tu maana hata kaka zao huwa wanawadharau.

Mliobakia atawaona watu kwa sababu ni wateja wa biashara yake au mnamsaidia mambo mawili matatu nje ya hapo kwake mnakuwa kenge tu.
 
Inaskitsha sana, lkn kiuhslisia mambo ya sasa s kama ya zaman ustake kuyafananisha. Kadr miaka inavyoenda ndvyo mambo yanabadilika.

Hakuna kaz ya mwanamke wala ya mwanaume muhim nikuimudu, wote tunahaki ya kufanya kaz na kupata kipato ili kutimiza malengo yetu. Wanaume weng n wabnafs wanataka wawe juu tu ili wanyenyekewe, kama vwanda magar na majumba kila mtu anahtaj amiliki.

Kaen kwa kutulia, wote n watu na tuna haki sawa:-[emoji4]
 
Thumbs up sister!

👍👍👍👍👍
 

"Ukiondoa mwanamke nyumbani ,
Akawa busy kutafuta Hela na kupanda vyeo ,automatically umeua familia"

Katika aya hii umeeleweka ipasavyo mkuu
 
Pretender huyo, hakuna cha kuhandle wala nini kama Mungu alishindwa kuwatuliza wakaleta uasi sembuse Carlos
 
Vipi mkuu
 
Nyie vibur vya kuwa na hela ndo vimewazid
Sio viburi wakua na hela mkuu, ni viburi vya kua na "vijihela" mkuu mwanamke hata akiwa na laki tano anajiona anamiliki billion kadhaa haa ha ha ngebe na jeuri ya hapo usipime.
 
Kwa hyo unaoa alie ajiriwa "ili ukifa aendele vizuri" sio kuoa ili kua na furaha, upendo na amani ?! Yani unaoa afu unaishi maisha ya kipumbavu ya mamigogoro kila kukicha eti kisa ili ukifa aendelee vizuri ?! Aise kuna watu akili zenu mnaziweza nyie wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…