Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

Sasa mshagundua tatizo lilipo. Hebu onyesheni mfano sasa kwa kutukupeleka watoto wenu wa kike shule ili waje kuwa wake bora.
Sina mtotnd wa kike ila Mola akinijalia nitamsomesha ila hataajiriwa. ATASOMA ILA ATAKUA MAMA WA NYUMBANI KWA MUME WAKE
 
Sure na kujioa mjioe wenyewe "haki sawa sio" si wote tuko sawa wewe ni sawa na mimi sasa kwa nini nikuoe natafuta alie mwanamke asili ndio naoa nyie madume jike 50/50 muoane.

Kesho unakuja na uzi unatafuta mume ebo !! si umesema wewe ni sawa na wanaume sasa unataka uolewe vipi ?
 
We jamaa you made my day!, Yaani umeongea ukweli mtupu aise yaaani Kama umeona ndoa yangu ndio ukaandika mulemule najuta kuoa msomi aise najuta mimiiiii
 
1. ELIMU
2. PESA
3. MREMBO SANA.

Usioe hizo PAKA. Utakuja kunishukuru baadae.

NB: Mwanaume unatakiwa umzidi mke wako vitu vifuatavyo ili kuweza kudominate mahusiano na ndoa yako.
1. Pesa.
2 Elimu.
3. Umri.
Kati ya hivyo chochote utakachozidiwa basi ndoa itakuelemea saaaaaaaaana.
 
Hahahaahahh hatari sana.
Wazungu walishapita hii stage. Wako civilized.
 
Umefunga uzi mkuu
 
ACHA UZEZETA sikio halizidi kichwa. Biashara uliyomfungulia wewe haiwezekani eti ikikua akaota mapembe maana boss wake ni wewe.
Ooooh kumbe!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya.
 
Wacha bwana!!
 
Mimi mwenyewe ni mwanamke ila ningekuwa mwanaume ningeoa mama wa nyumbani mwenye muda wa kulea familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…