Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

Kama tunatoa graduate ila basic things ambazo tunategemea wawe nazo hawana tuangalie mfumo wetu wa elimu wapi tunakosea, otherwise mawaziri wetu wakifika nje ya nchi hawatotuwakilisha vizuri na hawatotaka tusikie hata wakiongea kwenye hadhara za kimataifa kwa kuogopa aibu, kifupi elimu inayotolewa ni duni ndio maana wenye hela wanapeleka watoto wao nje ya nchi
Kwahiyo kushindwa kuongea kiingereza kwa ufasaha ni kipimo cha ubora wa elimu?
 
Mwenye uzi ana hoja, itakuwaje kiingereza kitumike sekondari mpaka chuoni na mtu asikielewe? Basi alipasi kimagumashi. Ndio hawa wanaacha mkasi tumboni baada ya upasuaji. Kumbuka Kenya na Uganda wametupita kielimu kwa kuwa lugha ya malkia wanaijua vizuri. Swala la Mjerumani na Mchina kutokujua kiingereza ni kuwa wao tayari ni mataifa makubwa kila kitu wanaandika kwa lugha yao. Nawe zalisha bidhaa kwa wingi zenye kiwango uandike kwa kiswahili. We ought to learn English whether you like or not. Look at professor Jonabi, he introduced himself in good English, suppose if he couldn't know English!! We fail many interviews simply because English is poor! Let us wake up!!
 
Kwahiyo kushindwa kuongea kiingereza kwa ufasaha ni kipimo cha ubora wa elimu?
Yes kwa sababu english ndio inatumika kama lugha ya kufundishia tangu shule za secondary inakuwaje hadi umemaliza chuo hujui? Kuna tatizo hapo
 
Masomo yao magumu hayo muda wa kuzingatia lugha ataupata wapi masomo yao yapo kwa lugha za masomo yao hakuna past wala present tense kama Course zingine unakuta mwaka wa kwanza mpaka wa pili wapo na Kiingereza mara Soma lingine nalo lina viingereza tu mimi siwezi kushangaa kutokana na aina ya masomo yao watu wa Mechanics nao wapo hili Kundi akijua ni juhudi zake binafsi..
Mkuu upo sahihi
 
Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!

Kwani maprofesa wa Uingereza wanajui Kiswahili!
Unajua mfumo wa elimu wa Tanzania? Waingereza wanasoma masomo yao kwa kiswahili? Inakuwaje mtu ufanye utafiti mpaka ufikie ngazi ya uprofesa na usijue lugha uliyotumia kutafiti?
 
Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!

Kwani maprofesa wa Uingereza wanajui Kiswahili!
Mitaala yao haina kiswahili,ila mahali pengi duniani kunatumika kiingereza kufundisha shule za awali mpaka vyuoni,kwanini asijuwe kuongea hiyo lugha.
 
Masomo yao magumu hayo muda wa kuzingatia lugha ataupata wapi masomo yao yapo kwa lugha za masomo yao hakuna past wala present tense kama Course zingine unakuta mwaka wa kwanza mpaka wa pili wapo na Kiingereza mara Soma lingine nalo lina viingereza tu mimi siwezi kushangaa kutokana na aina ya masomo yao watu wa Mechanics nao wapo hili Kundi akijua ni juhudi zake binafsi..
Hiki ni kisingizio cha wabongo. Mbona wasomi wa Kenya Na Uganda wanatema english vizuri?
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Ni maprofesa wa kiingereza ama fani gani? Kama si wa kiingereza huna hoja, sepa. Unataka profesa wa jiolojia ama bayolojia aongee kiingereza cha nini kwake?
 
Sawa mkuu ila kama unaona kiingereza kinachotumika kwenye kufundishia kinamfany mtu kuweza kuongea kiingereza kwa ufasaha basi tusingekuwa na hii shida.
Acheni visingizio vya kijinga kabisa. Kenya mbona wanaongea vizuri. Hakuna kiingereza cha kufundishia na cha kuongea. Sema wasomi wa Bongo wanakariri masomo na siyo kuelewa. Nenda Kenya ukute mtu mwenye level ya uprofesa uone alivyo mzuri kwenye kiingereza.
 
Non sense, kwa sababu hicho cha kuongea eti wanataka kinyooke kama cha wazawa wa malkia.
Siyo lazima kinyooke kama cha mzungu lakini kuna level ambayo inakubalika. Wabongo tukubali tu mfumo wetu wa elimu ni mbovu na kiingereza kinatupiga chenga. Nikuwekee clips za wabunge au wasomi wa Kenya usikilize kiingereza chao? Kinaridhisha na siyo kama chetu.
 
Akili yako ndo ya kupima! Umewahi kufanya utafiti kujua ni wanazuoni wangapi wa kiwango cha ubobezi ambao wanatoka katika mataifa ambayo kiingereza si lugha yao mama na bado wakafanikiwa sana kwenye maeneo yao ya umahiri? Amka dude..kiingereza ni lugha tu kama kimakua,kindali na kisambaa!
Acha uongo, kwa hapa kwetu nchini, lugha ni English, ndo maana inatumika kuanzia ordinary na kuendelea. Prof kutojua lugha ya kingereza ni tatizo, lazima tuhoji kaupataje huo u prof. Lol
 
Acheni visingizio vya kijinga kabisa. Kenya mbona wanaongea vizuri. Hakuna kiingereza cha kufundishia na cha kuongea. Sema wasomi wa Bongo wanakariri masomo na siyo kuelewa. Nenda Kenya ukute mtu mwenye level ya uprofesa uone alivyo mzuri kwenye kiingereza.
Ngeli kwao ni convenient language, hawana local language ya kuwaunganisha taifa zima, hayo ni mapungufu makubwa sana ya uhuru wao. NYERERE alicheza karata nzuri sana ya kiwahili kuwa ni national language, ila hatujaipa heshima hiyo.
"Yes, Swahili is indeed one of the most spoken languages in Africa, and it's also among the top 10 most widely spoken languages globally. With over 200 million speakers". We should be proud to converse in swahili globally, hii ni lugha ambayo wenzetu waniheshimu na kuifanyia tafiti vyuo vikuu.
 
Hiki ni kisingizio cha wabongo. Mbona wasomi wa Kenya Na Uganda wanatema english vizuri?
Wao lugha yao ni English hata mtaani Kenya,Zambia, Uganda unakuta mbeba mzigo anaongea lugha vizuri sana na pia lugha ni mtu mwenyewe kutaka kuwa mtaalamu au la lugha yeyote sio kiingereza tu..
 
Acha uongo, kwa hapa kwetu nchini, lugha ni English, ndo maana inatumika kuanzia ordinary na kuendelea. Prof kutojua lugha ya kingereza ni tatizo, lazima tuhoji kaupataje huo u prof. Lol
Ndyo ujinga ambao debate inaendelea kuhusu mustakabali wa swahili, politician wa uturuki anayejua ngeli vizuri, akija hapa kama mgeni rasmi anahutubia kwa kituruki, lazima kuwa na mkalimani atafsri kwa ngeli au swahili depending on the intended audience. Arabs, German the same they speak their language kila kona ya dunia wankoenda.
 
Ndyo ujinga ambao debate inaendelea juhusu mustakabali wa swahili, politician wa uturuki anayejua ngeli vizuri, akija hapa kama mgeni rasmi anahutubia kwa kituruki, lazima kuwa na mkalimani atafsri kwa ngeli au swahili depending on the intended audience
Sawaa
 
Wao lugha yao ni English hata mtaani Kenya,Zambia, Uganda unakuta mbeba mzigo anaongea lugha vizuri sana na pia lugha ni mtu mwenyewe kutaka kuwa mtaalamu au la lugha yeyote sio kiingereza tu..
Mbona wanafunzi wanaopelekwa kusoma Kenya wanazungumza kiingereza kizuri sana. Nina watu wengi nawajua, wamesomesha watoto wao shule za primaries Kenya, wanazungumza vizuri sana kiingereza wakati kule wanakwenda shule tu. Kingine, Bongo mbona watoto wanaosoma Intenational school wanazungumza english nzuri? Wacheni visingizio. Tatizo ni elimu yetu.
 
Ngeli kwao ni convenient language, hawana local language ya kuwaunganisha taifa zima, hayo ni mapungufu makubwa sana ya uhuru wao. NYERERE alicheza karata nzuri sana ya kiwahili kuwa ni national language, ila hatujaipa heshima hiyo.
"Yes, Swahili is indeed one of the most spoken languages in Africa, and it's also among the top 10 most widely spoken languages globally. With over 200 million speakers". We should be proud to converse in swahili globally, hii ni lugha ambayo wenzetu waniheshimu na kuifanyia tafiti vyuo vikuu.
Bongo wanafunzi wa International school wanapiga english nzuri tu wakati local languge yetu ni kiswahili. Acheni kufunika moto kwa makaratasi mkidhani utazimika. Elimu yetu ndiyo tatizo.
 
Back
Top Bottom