Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

Mbona wanafunzi wanaopelekwa kusoma Kenya wanazungumza kiingereza kizuri sana. Nina watu wengi nawajua, wamesomesha watoto wao shule za primaries Kenya, wanazungumza vizuri sana kiingereza wakati kule wanakwenda shule tu. Kingine, Bongo mbona watoto wanaosoma Intenational school wanazungumza english nzuri? Wacheni visingizio. Tatizo ni elimu yetu.
Kingerza ndyo lugha rasmi ya Kenya, , hawana mbadala, kuongea ngeli vizuri ndyo kuwa genius? it's just a language, achana na colonial mentality, ambayo wao sasa globally hawana time na hiyo lugha, kila taifa lao wanafanya mambo yao kwa local language , ingawa ngeli wanifahamu
 
Bongo wanafunzi wa International school wanapiga english nzuri tu wakati local languge yetu ni kiswahili. Acheni kufunika moto kwa makaratasi mkidhani utazimika. Elimu yetu ndiyo tatizo.
Hao international ngeli, wakienda university huwa haiwasidii kuwa wakali kwa taaluma wanzozisoma, hawa wa kayumba ndyo wanapata ufaulu mkubwa
 
Lugha ambayo umeitumia kwa miaka kadhaa kama ndo lugha ya kielimu.kwa kuandika kuisoma na kuiongea si rahisi ukawa huijui kabisaaa
Ndio kitu cha kushangaza, hao wajerumani, wachina, wafaransa, wanasoma kwa lugha zao, sisi unasoma kwa kiingera kuanzia sekondari hadi hiyo phd, inakuwaje usijue kiingereza, na hili sio swala la utumwa wala nini. Angekuwa kasoma kiswahili hadi hiyo phd isingekuwa tatizo kutokujua kiingereza.
 
Kwa nini hawa jamaa wasimuenzi Magufuli kwa kuongea kiingereza kizuri kama yeye...
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Hapana.
Hii siyo hoja hata kidogo. Naona hata wewe utakuwa kwenye lawama kuhusu elimu yako kama huwezi kutofautisha kati ya kujuwa (kuelimika) kwa mtu juu ya jambo analozungumzia kwa lugha yoyote ile iwayo, na kujuwa lugha anayotumia.

Kama mhusika hajui (hana elimu) ya anacho kizungumzia; hata kama angjuwa lugha ya kiingereza nzuri namna gani, hiyo haiwezi kumfanya aonekane anayo elimu ya jambo analolizungumzia.

Huyo Profesa, unayemsema hapa, angetumia Kiswahili (kama anakijuwa), na kueleza mambo anayoyajuwa kwenye fani hiyo aliyozungumzia, pasingekuwepo na tatizo lolote.
Lakini huenda huyo Profesa mwenyewe, hata Kiswahili hajui; na hayo aliyokuwa akizungumzia, pia hayajui.
 
Hao international ngeli, wakienda university huwa haiwasidii kuwa wakali kwa taaluma wanzozisoma, hawa wa kayumba ndyo wanapata ufaulu mkubwa
Hapa tunajadili mada ya kujua lugha, ukishindwa usikwepeshe. Mmedai Kenya wanajua kwa sababu mtaani wanazungumza english, nikatoa mfano wa shule za international, na wewe unaleta ngonjera za uongo. Huyo aliyekudanganya hawa kayumba wakariri majibu ya mtihani na ujanja ujanja kibao ndiyo wazuri ni nani? Na wakifaulu wanafanya nini cha maana? Madaktari hawaaminiki hata na viongozi wao wanakimbilia India.
 
Kingerza ndyo lugha rasmi ya Kenya, , hawana mbadala, kuongea ngeli vizuri ndyo kuwa genius? it's just a language, achana na colonial mentality, ambayo wao sasa globally hawana time na hiyo lugha, kila taifa lao wanafanya mambo yao kwa local language , ingawa ngeli wanifahamu
Haya mengine unayasema wewe. Hakuna aliyesema kujua english ni u-genius. naelekea hii ndiyo mindset yako. Tunachosema hapa ni kuwa elimu yetu ni mbovu.
 
Mbona wanafunzi wanaopelekwa kusoma Kenya wanazungumza kiingereza kizuri sana. Nina watu wengi nawajua, wamesomesha watoto wao shule za primaries Kenya, wanazungumza vizuri sana kiingereza wakati kule wanakwenda shule tu. Kingine, Bongo mbona watoto wanaosoma Intenational school wanazungumza english nzuri? Wacheni visingizio. Tatizo ni elimu yetu.
Kenya lugha yao ya mawasiliano ni kiingereza na kimenyooka kwa kuwa Prof kashinda huko WHO wacha tuendelee kula mtori tu.
 
Kenya lugha yao ya mawasiliano ni kiingereza na kimenyooka kwa kuwa Prof kashinda huko WHO wacha tuendelee kula mtori tu.
Mkuu mimi sina neno la prof wako kushinda. Kama unadhani atakukuongezea nyama za mtori basi ni sawa. Mimi nachosema ni kuwa elimu yetu ni mbovu na nimeuliza mbona wanafunzi wa International school wa Bongo wapo vzr? Wacha longolongo.
 
Yes kwa sababu english ndio inatumika kama lugha ya kufundishia tangu shule za secondary inakuwaje hadi umemaliza chuo hujui? Kuna tatizo hapo
Kama hajui kiingereza amewezaje kuelewa masomo yake? Kwa sababu hali ilivyo ni kwamba unaweza kukuta kuna msomi anasifika vizuri kwa taaluma yake ila siku akionekana kaongea kiingereza ambacho si fasaha tunaanza kusema elimu zetu mbovu na kuanza kutiliana mashaka na elimu zetu.
 
Mkuu mimi sina neno la prof wako kushinda. Kama unadhani atakukuongezea nyama za mtori basi ni sawa. Mimi nachosema ni kuwa elimu yetu ni mbovu na nimeuliza mbona wanafunzi wa International school wa Bongo wapo vzr? Wacha longolongo.
Mbovu ya kwako kama hukujiongeza, au huwezi kufanya hivyo kwa family yako, hakuna perfect education system duniani, niambie ni nchi gani ni mfano unaouelewa weyee, kila nchi imecustomise kwa mahitaji yao kwanza, mengine individual citizen wajiongeze.
 
Hivi engineering, Medicine, Agriculture huko university unaafundishwa ku perfect ngeli, au unafundishwa taaluma?
So wewe uko hivi:BanHammer:kwa ngeli, na ndyo imekuinua sana??
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Ukiona hivyo siyo Profesa wa Kiingereza. Kwani Ujerumani, Urusi, China, Japan hakuna maprofesa? Wote wanajua Kiingereza? Kiingereza siyo elimu we bwege, ni lugha tu ambayo wezi, majambazi, wehu kule Uingereza ndiyo lugha yao
 
Mbovu ya kwako kama hukujiongeza, au huwezi kufanya hivyo kwa family yako, hakuna perfect education system duniani, niambie ni nchi gani ni mfano unaouelewa weyee, kila nchi imecustomise kwa mahitaji yao kwanza, mengine individual citizen wajiongeze.
Unaongeza mambo ambayo sijasema. Onyesha sehemu nilisema duniani kuna nchi yenye perfect education system. Mimi nimesema ya kwetu ni mbovu kabisa. Wacha longolongo. Hata namna unavyofanya urguments zako inaonyesha kabisa wewe ni mwathirika wa elimu yetu.
 
Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.

Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.

Nina mashaka.
Kumbe Kingereza sio kigezo cha kushinda 😂
Pamoja na kutokujua Kingereza bado ameshinda, utaiweka wap sura yako
 
Prof Janabi kuchaguliwa kuongoza WHO AFRICA. Wewe endelea na alinacha zako za hawajui Kiingereza huku wenzako wanapiga maisha!
 
Acheni visingizio vya kijinga kabisa. Kenya mbona wanaongea vizuri. Hakuna kiingereza cha kufundishia na cha kuongea. Sema wasomi wa Bongo wanakariri masomo na siyo kuelewa. Nenda Kenya ukute mtu mwenye level ya uprofesa uone alivyo mzuri kwenye kiingereza.
Kwahiyo unaweza ukakariri masomo yaliyo kwa lugha ambayo huielewi hadi unakuwa profesa? Ni kwamba kiingereza ni somo gumu sana wabongo limetushinda ila wameliweza wakenya?
 
Mkuu mimi sina neno la prof wako kushinda. Kama unadhani atakukuongezea nyama za mtori basi ni sawa. Mimi nachosema ni kuwa elimu yetu ni mbovu na nimeuliza mbona wanafunzi wa International school wa Bongo wapo vzr? Wacha longolongo.
Sawa mkuu mimi nasema tu lugha pia ni mtu mwenyewe kwa mfano mimi naongea Lugha za Nchi za SADC zote kuanzia Kinyanja, kichewa,shona, Afrikaans, Bemba, Kizulu na Kikhoxa na wapo wengi wapo huku hizi lugha hawazijui kwa ufasaha swala la Elimu yetu kuwa chini hilo mbona lipo wazi mkuu hapo ntapinga vipi Elimu haipimwi kwa Lugha tu tunapima kwa mambo mengi na matamko ya watu wa Serikali unaona hapa jamaa wamekosa Elimu bora..
 
Kama hajui kiingereza amewezaje kuelewa masomo yake? Kwa sababu hali ilivyo ni kwamba unaweza kukuta kuna msomi anasifika vizuri kwa taaluma yake ila siku akionekana kaongea kiingereza ambacho si fasaha tunaanza kusema elimu zetu mbovu na kuanza kutiliana mashaka na elimu zetu.
Prof Janab amewashinda kwa kishindo hao jamaa wa wanaongea ngeli (ng'eng'e) nzuri kuliko yeye mara dufu, hapo vipi?
VOTING RESULTS:
1. 🇹🇿 Prof Mohamed Janabi: 32
2. 🇨🇮 Dr N’da Konan Yao: 5
3. 🇬🇳 Mohamed Drame: 4
4. 🇹🇬 Prof Moustafa Mijiyawa: 4
 
Back
Top Bottom