Kwahiyo kushindwa kuongea kiingereza kwa ufasaha ni kipimo cha ubora wa elimu?Kama tunatoa graduate ila basic things ambazo tunategemea wawe nazo hawana tuangalie mfumo wetu wa elimu wapi tunakosea, otherwise mawaziri wetu wakifika nje ya nchi hawatotuwakilisha vizuri na hawatotaka tusikie hata wakiongea kwenye hadhara za kimataifa kwa kuogopa aibu, kifupi elimu inayotolewa ni duni ndio maana wenye hela wanapeleka watoto wao nje ya nchi
Yes kwa sababu english ndio inatumika kama lugha ya kufundishia tangu shule za secondary inakuwaje hadi umemaliza chuo hujui? Kuna tatizo hapoKwahiyo kushindwa kuongea kiingereza kwa ufasaha ni kipimo cha ubora wa elimu?
Mkuu upo sahihiMasomo yao magumu hayo muda wa kuzingatia lugha ataupata wapi masomo yao yapo kwa lugha za masomo yao hakuna past wala present tense kama Course zingine unakuta mwaka wa kwanza mpaka wa pili wapo na Kiingereza mara Soma lingine nalo lina viingereza tu mimi siwezi kushangaa kutokana na aina ya masomo yao watu wa Mechanics nao wapo hili Kundi akijua ni juhudi zake binafsi..
Wengi wanaoongea kama ukisoma lazima ujue Kiingereza wengi wao wamesoma masomo ya miandiko...Mkuu upo sahihi
Unajua mfumo wa elimu wa Tanzania? Waingereza wanasoma masomo yao kwa kiswahili? Inakuwaje mtu ufanye utafiti mpaka ufikie ngazi ya uprofesa na usijue lugha uliyotumia kutafiti?Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajui Kiswahili!
Mitaala yao haina kiswahili,ila mahali pengi duniani kunatumika kiingereza kufundisha shule za awali mpaka vyuoni,kwanini asijuwe kuongea hiyo lugha.Angeongea Kiswahili kibovu ndipo ingekuwa hoja!
Kwani maprofesa wa Uingereza wanajui Kiswahili!
Hiki ni kisingizio cha wabongo. Mbona wasomi wa Kenya Na Uganda wanatema english vizuri?Masomo yao magumu hayo muda wa kuzingatia lugha ataupata wapi masomo yao yapo kwa lugha za masomo yao hakuna past wala present tense kama Course zingine unakuta mwaka wa kwanza mpaka wa pili wapo na Kiingereza mara Soma lingine nalo lina viingereza tu mimi siwezi kushangaa kutokana na aina ya masomo yao watu wa Mechanics nao wapo hili Kundi akijua ni juhudi zake binafsi..
Ni maprofesa wa kiingereza ama fani gani? Kama si wa kiingereza huna hoja, sepa. Unataka profesa wa jiolojia ama bayolojia aongee kiingereza cha nini kwake?Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu.
Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa.
Nina mashaka.
Acheni visingizio vya kijinga kabisa. Kenya mbona wanaongea vizuri. Hakuna kiingereza cha kufundishia na cha kuongea. Sema wasomi wa Bongo wanakariri masomo na siyo kuelewa. Nenda Kenya ukute mtu mwenye level ya uprofesa uone alivyo mzuri kwenye kiingereza.Sawa mkuu ila kama unaona kiingereza kinachotumika kwenye kufundishia kinamfany mtu kuweza kuongea kiingereza kwa ufasaha basi tusingekuwa na hii shida.
Non sense, kwa sababu hicho cha kuongea eti wanataka kinyooke kama cha wazawa wa malkia.Mkuu kumbuka shida inayojadiliwa hapa ni kiingereza cha kuongea tu.
Siyo lazima kinyooke kama cha mzungu lakini kuna level ambayo inakubalika. Wabongo tukubali tu mfumo wetu wa elimu ni mbovu na kiingereza kinatupiga chenga. Nikuwekee clips za wabunge au wasomi wa Kenya usikilize kiingereza chao? Kinaridhisha na siyo kama chetu.Non sense, kwa sababu hicho cha kuongea eti wanataka kinyooke kama cha wazawa wa malkia.
Acha uongo, kwa hapa kwetu nchini, lugha ni English, ndo maana inatumika kuanzia ordinary na kuendelea. Prof kutojua lugha ya kingereza ni tatizo, lazima tuhoji kaupataje huo u prof. LolAkili yako ndo ya kupima! Umewahi kufanya utafiti kujua ni wanazuoni wangapi wa kiwango cha ubobezi ambao wanatoka katika mataifa ambayo kiingereza si lugha yao mama na bado wakafanikiwa sana kwenye maeneo yao ya umahiri? Amka dude..kiingereza ni lugha tu kama kimakua,kindali na kisambaa!
Ngeli kwao ni convenient language, hawana local language ya kuwaunganisha taifa zima, hayo ni mapungufu makubwa sana ya uhuru wao. NYERERE alicheza karata nzuri sana ya kiwahili kuwa ni national language, ila hatujaipa heshima hiyo.Acheni visingizio vya kijinga kabisa. Kenya mbona wanaongea vizuri. Hakuna kiingereza cha kufundishia na cha kuongea. Sema wasomi wa Bongo wanakariri masomo na siyo kuelewa. Nenda Kenya ukute mtu mwenye level ya uprofesa uone alivyo mzuri kwenye kiingereza.
Wao lugha yao ni English hata mtaani Kenya,Zambia, Uganda unakuta mbeba mzigo anaongea lugha vizuri sana na pia lugha ni mtu mwenyewe kutaka kuwa mtaalamu au la lugha yeyote sio kiingereza tu..Hiki ni kisingizio cha wabongo. Mbona wasomi wa Kenya Na Uganda wanatema english vizuri?
Ndyo ujinga ambao debate inaendelea kuhusu mustakabali wa swahili, politician wa uturuki anayejua ngeli vizuri, akija hapa kama mgeni rasmi anahutubia kwa kituruki, lazima kuwa na mkalimani atafsri kwa ngeli au swahili depending on the intended audience. Arabs, German the same they speak their language kila kona ya dunia wankoenda.Acha uongo, kwa hapa kwetu nchini, lugha ni English, ndo maana inatumika kuanzia ordinary na kuendelea. Prof kutojua lugha ya kingereza ni tatizo, lazima tuhoji kaupataje huo u prof. Lol
SawaaNdyo ujinga ambao debate inaendelea juhusu mustakabali wa swahili, politician wa uturuki anayejua ngeli vizuri, akija hapa kama mgeni rasmi anahutubia kwa kituruki, lazima kuwa na mkalimani atafsri kwa ngeli au swahili depending on the intended audience
Mbona wanafunzi wanaopelekwa kusoma Kenya wanazungumza kiingereza kizuri sana. Nina watu wengi nawajua, wamesomesha watoto wao shule za primaries Kenya, wanazungumza vizuri sana kiingereza wakati kule wanakwenda shule tu. Kingine, Bongo mbona watoto wanaosoma Intenational school wanazungumza english nzuri? Wacheni visingizio. Tatizo ni elimu yetu.Wao lugha yao ni English hata mtaani Kenya,Zambia, Uganda unakuta mbeba mzigo anaongea lugha vizuri sana na pia lugha ni mtu mwenyewe kutaka kuwa mtaalamu au la lugha yeyote sio kiingereza tu..
Bongo wanafunzi wa International school wanapiga english nzuri tu wakati local languge yetu ni kiswahili. Acheni kufunika moto kwa makaratasi mkidhani utazimika. Elimu yetu ndiyo tatizo.Ngeli kwao ni convenient language, hawana local language ya kuwaunganisha taifa zima, hayo ni mapungufu makubwa sana ya uhuru wao. NYERERE alicheza karata nzuri sana ya kiwahili kuwa ni national language, ila hatujaipa heshima hiyo.
"Yes, Swahili is indeed one of the most spoken languages in Africa, and it's also among the top 10 most widely spoken languages globally. With over 200 million speakers". We should be proud to converse in swahili globally, hii ni lugha ambayo wenzetu waniheshimu na kuifanyia tafiti vyuo vikuu.