Elizabeth, kabla ya kifo chako uliwahi kuwaomba msamaha watu weusi?

Hakuna ukweli wowote maana utumwa ni human nature shukuru hao wazungu wameukomesha... Afrika tu utumwa ulikuwepo hata kabla ya kuja wazungu... Babu zako wa Tabora wamekuwa wakinunua na kuuza weusi wenzao wakati wa long distance trade na warabu
Tena hii ndio jinai mbaya inatia doa wanyamwezi. Nilisoma sehemu, ilikua ndio kabila la ovyo wakikamata watu wa makabila mengine na kuwauza kama watumwa. Ilinifedhehesha sana.
 
Waandishi wa vitabu vingi vya historia wengi wameandika upotoshi na uzushi mwingi sana Ili kuwabrainwash waafrika wajenge chuki pia ni kama njia za watawala wa kiafrica kujifichia kutupa lawama juu ya kushindwa kwao kuwaletea waafrika maendeleo.
Kutawaliwa sio kizuizi cha nchi kutokuendelea
 
best comment ever , sio muarabu wala mweupe hakuna anaekujal
 
sijalilie pole chief. ila tabia ya ukwel siku zote haipendwi. UBAYA HAULIPWI KWA TABASAMU
solution ni kupambana km CHINA ili uheshimike na sio kuwa mvamiz km Urusi ili uheshimike , jana imepita wenzetu wanayaish maisha ya kesho ila sisi bado tunalia lia km vile tulitawaliwa pekee yetu
 
Waingereza wana nafasi yao kulamiwa na viongozi wetu pia wana nafac ya kulaumiwa.

Sasa ucmalaumu moja ukamuacha wengne wote walaumuwe. Kiufupi UKWELI USEMWE BILA KUTAZAMA USONI
angalia kesho , jana huez ibadili walaumu ancestors kwa kuwa vilaza mpk wakatawaliwa
 
mkuu fungua akil vzr uelew ,ile 1T ya mama imeishia wap hlf ndo uje ujiulize kwa tunaibiwa , viongoz njaa hlf unalaumu wazungu
 
Mbona bado unaishi kama mtumwa kwenye nchi yako na hudai kuomba msamaha? Sana sana utaambiwa uende burundi
 
jamaa wanajijal wao zaidi wapo radhi ww huumie wao wafaidike
sis pia wajinga , laumu viongoz wa Iraq kuroiunga Iraq na umoja wa Asia , pia kutotumia diplomacy kutatua kuingiza nchi kweny machafuko , Uk Boris kajiuzulu , Pakistan Prime minister alijiuzulu , ila Sadam alihis madaraka ya bibi yake
 

Wakati wa utawala wake na sasaiv wapi kuna unafuu!! Walikua wanaitafuta demokrasia, sasa tayari wameipata demokrasia.

Kuhusu wazungu unataka kusema hawakuchochea hiyo vita/maandamano!! Au unafanya kazi kwa mzungu unawatetea kiasi hicho!! Yani wewe hata akiuliwa baba yako na bado utamtetea mzungu wako. Hii ndio AFILIKA

Mimi sichukii mtu yoyote, bali nachukia matendo yao dhidi ya nchi za kiislamu.
 
mtu akuumize alaf useme ni nature are you serious gee
kwann usiwaumize wao mpk uumizwe , mabab zetu walikuwa na makosa ya ubinafs na uroho wa madaraka huo mwanya aliutumia mtu mweupe kufanikisha malengo yao , sijawai sikia Thailand au Saudia Arabia au Ethiopia kutawaliwa sabab walikuwa wamoja
 
nmependa hii reasoning , kosa kubwa lipo miongon mwetu watu weusi
 
Waarabu huwa mnawasingizia bure tu, ukiombwa ushahidi utaanza kujikuna kichwa, tulishawahi kutupiwa maganda ya ndizi na mwarabu? Au kufananishwa na sokwe?
sasa walikuja kufanya nini Zanzibar na pwani ya Tanzania bara , je mashamba wakijilimia wao ? au walikuwa wanaviwanda vya mashine ? na kwann wao ni 1st class na wanaishi mijini tu huwakuti vijijini ? ukielewa hayo maswali huez pinga kuwa na wao walishiriki hiyo biashara , waulize wazanzibar kwann walikuwa wanawachinja waarabu mapema baada ya mapinduzi ya 1964
 
acha ubishi bas , video zipo kibao zipo shuhuda kibao au unatumia smartkitochi ?
 
ila je walituomba msamaha kuchukua wazee wetu na kuwapeleka katk vita ambayo hata sisi haituhus...

na vipi walitopoza na nini kuhusu wale wazee wetu waliokufa vitani kwa manufaa yao


Wazee wetu wamefanywa watumwa na kudhulumiwa na sasa bado wanatuibia rasilimali zetu kupitia viongozi ambao ni vibaraka wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…