Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu.

1738571331033.png
Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya maafisa wawili kutoka USAID kujaribu kuwazuia wafanyakazi wa Idara ya Musk kuingia kwenye mifumo ya usalama ya USAID.

==

Elon Musk attacked the US Agency for International Development, calling it a "criminal organization" on Sunday, as Donald Trump said the agency was "run by radical lunatics" and said he was considering its future.

The assault on the agency tasked with humanitarian relief overseas marks a significant new front in Trump's move to give unprecedented power to Musk to upend government departments and counter what the pair consider wasteful official spending and overreach.

"USAID is a criminal organization," Musk, the billionaire owner of Tesla and SpaceX who has become the president's most powerful backer, wrote on his X ..

In a subsequent post, Musk doubled down and, without giving evidence, asked his 215 million X followers, "Did you know that USAID, using YOUR tax dollars, funded bioweapon research, including Covid-19, that killed millions of people?"

He did not elaborate on the allegations, which officials in the previous administration linked to a Russian disinformation campaign.

The United States Agency for International Development has "been run by a bunch of radical lunatics, and we're getting them out... and then we'll make a decision (on its future)," Trump said on Sunday without elaborating.

Source: economictimes.indiatimes.com
 
Usa kaanza na Who, Baada ya elon musk kuua usaid, world bank na imf ijiandae.
Trump anataka hela ya Mmarekani itumike marekani tu. Wengine wapambane na hali zao

Wale waliokuwa wanalipwa 10m hadi 100m+ kwa mwezi kwenye mashirika ya usa karibuni mtaani.
 
Usa kaanza na Who, Baada ya elon musk kuua usaid, world bank na imf ijiandae.
Trump anataka hela ya Mmarekani itumike marekani tu. Wengine wapambane na hali zao

Wale waliokuwa wanalipwa 10m hadi 100m+ kwa mwezi kwenye mashirika ya usa karibuni mtaani.
Imf haitokufa, ile si ya mmarekani, even Who ni sub ya UN, so haitokufa
 
Hii combination ya vichwa vibovu ngoja tuone nimeona CNN hao wafanyakazi walikuwa hawataki team ya IT ya Elon kuingia kwenye system na access email, hao staff wamekuwa suspended na locked out kusoma kutuma emails, na hiyo team ya Elon ni vijana kuanzia 18 - 24 years old 😆. Watu wanaofanya mambo makubwa duniani huwa wana kau kichaaa kwa mbali kasoro wao huwa sio ropo ropo. 60 staff akiwemo boss wao wamekuwa suspended ila wataendelea kulipwa salary and other benefits until further notice.
 
Una ujinga mwingi, IMF na UN wapi na wapi? IMf ni Marekami na Ulaya sema World Bank ndio marekani pure.
Wapi nimeweka IMF na UN? Nime quote hapo kwenye WHO which ni UN agency. So kujitoa kwake haimaanishi WHO ndio itafunga office nope

Seems like umekurupuka, world bank is not owned na mmarekani pekee, ila iko owned na nchi wanachama wake.currently wako 189, where by hogh income countries ndio largest share holders. Us ana own 16 to 17% , while other percent zimeshililiwa na nchi zingine

So does imf , ina board of governers 190s, 190 ina represent inchi wanachama.
While day to fay operation za imf zinakuwa runned na 24 executive directors.
 
Usa kaanza na Who, Baada ya elon musk kuua usaid, world bank na imf ijiandae.
Trump anataka hela ya Mmarekani itumike marekani tu. Wengine wapambane na hali zao

Wale waliokuwa wanalipwa 10m hadi 100m+ kwa mwezi kwenye mashirika ya usa karibuni mtaani.
Ukikuta ka mtu kapo Plan international analipwa MSHAHARA wa 3 MILION wanakuwaga na nyodo utawasikia Yani ww unafanya kazi laki 100000 tu YESU MKUBWA
 
Back
Top Bottom