Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, kwa hiyo sisi tunaoomba kazi serikalini wanatuona tumepotea?Sio "hela nyingi" wanaheshimu sana maslahi ya mtu na sio tu kwa USAID ni NGOs zote za kimataifa. No wonder hata mpiga deki wa USA ana maslahi kuliko branch manager wa CRDB.
Wachina watatoa dawa kabisa.Huyo Marekani, asiwababahishe.
Muda siyo mrefu tutatoa copy ya ARV, wafrika msiwaze. Sisi ndiyo wachina
Marekani ni kama maji, usipo yaita wota, utayaita mma, ukishindwa kabisa utayataja kwa Jina la manjotaOooh mara mashoga, ooh mara mafirauni, oooh russia ni ngangari, ooh china ameshamzidi marekani, alafu still mnakula hela zao😂.
Ukiisifia kidogo tu USA, unaitwa mara kibaraka wa upinde,
Anyway Mungu atutie nguvu tu.
View attachment 3223516
View attachment 3223517
View attachment 3223519
Serikalini ni job security tu inatafutwa ila maslahi ya mfanyakazi mfano compassion analipwa almost 7m na officer tu kwenye kitengo sio manager!! Kuna mmama pale analipwa 13 M mshahara tu nje ya benefits zingine!! Sasa huyu hata akifukuzwa kazi ndani ya miaka 10 ana fedha kuliko mwalimu atakayefanya kazi miaka 30!!Duh, kwa hiyo sisi tunaoomba kazi serikalini wanatuona tumepotea?
Upatikanaji wa hizo kazi si hadi connection?
Mtaua watuHuyo Marekani, asiwababahishe.
Muda siyo mrefu tutatoa copy ya ARV, wafrika msiwaze. Sisi ndiyo wachina
Toka hapaHayo maukwimwi yalianza huko, waliyaleta wao wenyewe! Sasa chaajabu nini hapo wakiyashughurikia wenyewe. Unadhani mmarekani atatoa msaada bila faida?
Mbona copy ya AI tumetoa ambayo ni Deepseek. Tena mnaifurahi kabisa.Mtaua watu
Kama sikosei, bongo kipo kiwanda cha ARV, yule jamaa alikuaga mayor wa Dar bwana Masaburi, alikuaga na kiwanda cha namna hi so hili la viwanda (either dawa original or copy ) sio tatizo, we have them; shida ni viwango. Sina imani pia mashirika yetu ya viwango Tanzania, wao huaga wana vitu vyao wanavyo viangalia, sio viwangoHuyo Marekani, asiwababahishe.
Muda siyo mrefu tutatoa copy ya ARV, wafrika msiwaze. Sisi ndiyo wachina
Yesu gani huyo anakufundisha hii roho? Au yesu wa Tongareni?Ukikuta ka mtu kapo Plan international analipwa MSHAHARA wa 3 MILION wanakuwaga na nyodo utawasikia Yani ww unafanya kazi laki 100000 tu YESU MKUBWA
Hw ,y,??? ExplainHuyu mzee ni mpumbavu sana, kwahiyo walioanzisha hili shirika ni wajinga ila yeye ndo mjanja