Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
By returning Trump to the White House, America has swallowed an extremely dangerous poison pill.Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu.
Musk, ambaye aliteuliwa na Rais wa Marekani, Donald Trump kuongoza Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE), ametoa kauli hiyo baada ya maafisa wawili kutoka USAID kujaribu kuwazuia wafanyakazi wa Idara ya Musk kuingia kwenye mifumo ya usalama ya USAID.
==
Elon Musk attacked the US Agency for International Development, calling it a "criminal organization" on Sunday, as Donald Trump said the agency was "run by radical lunatics" and said he was considering its future.
The assault on the agency tasked with humanitarian relief overseas marks a significant new front in Trump's move to give unprecedented power to Musk to upend government departments and counter what the pair consider wasteful official spending and overreach.
"USAID is a criminal organization," Musk, the billionaire owner of Tesla and SpaceX who has become the president's most powerful backer, wrote on his X ..
In a subsequent post, Musk doubled down and, without giving evidence, asked his 215 million X followers, "Did you know that USAID, using YOUR tax dollars, funded bioweapon research, including Covid-19, that killed millions of people?"
He did not elaborate on the allegations, which officials in the previous administration linked to a Russian disinformation campaign.
The United States Agency for International Development has "been run by a bunch of radical lunatics, and we're getting them out... and then we'll make a decision (on its future)," Trump said on Sunday without elaborating.
Source: economictimes.indiatimes.com
Hata hawaijui huko.Nasubiri tamko kuihusu nchi yetu Tz.
Acheni roho mbaya. Unachoshindwa kujua hata wewe utakuwa affected. Kama unafanya biashara, wateja watapungua. Mapato ya serikali yatapungua kwa kodi kupungua hivyo kushindwa kuleta maendeleo kwenu. Kwa nini unakuwa na roho mbaya hivi?Ukikuta ka mtu kapo Plan international analipwa MSHAHARA wa 3 MILION wanakuwaga na nyodo utawasikia Yani ww unafanya kazi laki 100000 tu YESU MKUBWA
Plan International au Care International haziko funded na Marekani, nimefanya kazi kati ya moja ya hizo hapo hakuna nisicho jua na pia hizi taasisi hazina mishahara ya kutisha ni ya kawaida sanaUkikuta ka mtu kapo Plan international analipwa MSHAHARA wa 3 MILION wanakuwaga na nyodo utawasikia Yani ww unafanya kazi laki 100000 tu YESU MKUBWA
Wabongo bhana.....Wale waliokuwa wanalipwa 10m hadi 100m+ kwa mwezi kwenye mashirika ya usa karibuni mtaani.
Kinyonge sana!! HahahahaHuyu mzee ni mpumbavu sana, kwahiyo walioanzisha hili shirika ni wajinga ila yeye ndo mjanja
Siwezi kulalamikia ARV ulitumwa kufanya uzinzi tunataka Tz mpya bila ArvYesu mkubwa kisa atakosa kazi? Tuache chuki na roho mbaya nlidhani utalalamika ARVs na chanjo kibao kuadimika mtaani kumbe issue yako ni wakose kazi?
Weird
Watu wana roho za kimaskini sanaWabongo bhana.....
Kwa hiyo umefurahia hilo ?...
Rsmaphosa hajataifisha ardhi kama Elon alivyomdanganya Trump!Huyu jamaa ni kichomi,yawezekana ndiye kaichongea SA kwa Trump suala la makabulu kupokonywa ardhi.
Ramaphosa ajipange hasa!
Kama issue ni BRICS,Misri na Ethiopia ziko BRICS pia na zinapokea pesa nyingi kutoka USA kuliko SA ngoja tuone kama atazigusa!Rsmaphosa hajataifisha ardhi kama Elon alivyomdanganya Trump!
Anatafuta sababu ya kuiadhibu SA kwasababu ni wabia wa BRICS!
As far as BRICS is concerned SA is a founder member hence very prominent compared to Egypt na Ethiopia!!Kama issue ni BRICS,Misri na Ethiopia ziko BRICS pia na zinapokea pesa nyingi kutoka USA kuliko SA ngoja tuone kama atazigusa!
Safi sana kwa kumuyibu ginsi ulimuyibu. Alitaka kuku gaslaytWapi nimeweka IMF na UN? Nime quote hapo kwenye WHO which ni UN agency. So kujitoa kwake haimaanishi WHO ndio itafunga office nope
Seems like umekurupuka, world bank is not owned na mmarekani pekee, ila iko owned na nchi wanachama wake.currently wako 189, where by hogh income countries ndio largest share holders. Us ana own 16 to 17% , while other percent zimeshililiwa na nchi zingine
So does imf , ina board of governers 190s, 190 ina represent inchi wanachama.
While day to fay operation za imf zinakuwa runned na 24 executive directors.
Unasema, “…No wonder hata mpiga deki wa USA ana maslahi kuliko branch manager wa CRDB.” Nadhani, unajaribu kulinganisha visivyolinganishika. Fikiria cost of living ya Tanzania na cost of living ya USA kwanza. Mfano (as of 2024): The average monthly rent for a one-bedroom apartment in the US is $1,713. New York is the most expensive state to rent in at $2,552, and Wyoming is the cheapest at $608. Kwa Tanzania, gharama ya kupanga one-bedroom apartment ni kiasi gani? FYI, mpiga deki wa USA hata hawezi kuishi kwa kutegemea mshahara wa hiyo kazi moja. Analazimika kufanya kazi zaidi ya moja: mchana anafanya kazi hapa, usiku anafanya kazi kwingine. USA ndiyo makao makuu ya ubepari. Watu wananyonywa to the maximum!Sio "hela nyingi" wanaheshimu sana maslahi ya mtu na sio tu kwa USAID ni NGOs zote za kimataifa. No wonder hata mpiga deki wa USA ana maslahi kuliko branch manager wa CRDB.