Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa
Imf haitokufa, ile si ya mmarekani, even Who ni sub ya UN, so haitokufa

Havitakufa mkuu, ila yeye ndio mchangia mkubwa! Umesoma kiongozi wa WHO kasemaje? Aemomba jumuia za kimataifa zizungumze na Marekani, ili ifikirie upya uamuzi wake.
 
Plan International au Care International haziko funded na Marekani, nimefanya kazi kati ya moja ya hizo hapo hakuna nisicho jua na pia hizi taasisi hazina mishahara ya kutisha ni ya kawaida sana

Mkuu nimefanya kazi huko, inategemea miradi gani! Kuna kipindi CARE Internationa ilikuwa ipo kwa miradi ya USAID, CARE International, sii hii ya leo ambayo hata Country Director ni mzawa! Mambo yamebadilika sana!
 
Back
Top Bottom