Elon Musk amesema USAID ni Shirika la kihalifu, linapaswa kufa
Kama sikosei, bongo kipo kiwanda cha ARV, yule jamaa alikuaga mayor wa Dar bwana Masaburi, alikuaga na kiwanda cha namna hi so hili la viwanda (either dawa original or copy ) sio tatizo, we have them; shida ni viwango. Sina imani pia mashirika yetu ya viwango Tanzania, wao huaga wana vitu vyao wanavyo viangalia, sio viwango
Acheni kusema vitu hamana uhakika. Madavida ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa DSM, siyo Masaburi
 
Huyu mzee ni mpumbavu sana, kwahiyo walioanzisha hili shirika ni wajinga ila yeye ndo mjanja
Kuanzisha shirika sio sababu, unaweza anzisha shirika la hovyo likawa linafanya hovyo au unafikiri kila kinachoanzishwa ni kizuri? Kwa hiyo walioanzisha mashirika ya kunadi ushoga nao sio wajinga?
 
Hawa jamaa wote wako aggressive na ni watu ambao hawajali watu watasema nini pindi wanapofanya maamuzi yao, so wataenda kuisaidia sana Marekani hasa kwenye upande huo wa kiuchumi. Na muda sio mrefu hili bara letu litaanza kumlamba unyayo Trump.

Hapo amebakia Kanye west tu kupewa kitengo kwa maana wote akili zao zinafanana😂😂😂😂
 
Ukikuta ka mtu kapo Plan international analipwa MSHAHARA wa 3 MILION wanakuwaga na nyodo utawasikia Yani ww unafanya kazi laki 100000 tu YESU MKUBWA
Hawa haitawaathiri sana maana hawategemei msaada ya trump kwa asilimia 100 wanauwezo wa survive hata bila msaada wa mmarekani.
Ila wananyodo hao ..
 
Nilidhani tunajadiriana na mtu mwenye kufikiri vizuri. Tuishie hapo
Cheki matumizi ya r na l

Huwezi kujadili kwa kutoa command! Hapa ni uwanja wa kujifunza na kufunza. Kitu hujui unauliza kiheshima na utapata jibu maridhawa.

Kukusaidi wanaotafuta kujua ukweli. Madavida aliwekwa ndani kwa vile kiwanda chake kilikuwa kinatengeneza ARV fake. Kiwanda alikipora kutoka Serikalini wakati ule wa ubinafsishaji cha Keko.


 
Cheki matumizi ya r na l

Huwezi kujadili kwa kutoa command! Hapa ni uwanja wa kujifunza na kufunza. Kitu hujui unauliza kiheshima na utapata jibu maridhawa.

Kukusaidi wanaotafuta kujua ukweli. Madavida aliwekwa ndani kwa vile kiwanda chake kilikuwa kinatengeneza ARV fake. Kiwanda alikipora kutoka Serikalini wakati ule wa ubinafsishaji cha Keko.


Achana na mambo ya silabi sijui nini, hayo tunaachia watoto wa shule; muhimu umeelewa. So in a nut shell, kiwanda cha ARV kipo? Or tuliwahi kua na kiwanda cha ARV nchini? Sasa hofu yetu ni ipi? Tutumbukize ruzuku kule, tuachane na mambo ya kijinga, tubane matumizi, tuwekeze pesa kwenye maendeleo badala ya vitu ambavyo wala havina impact yoyote kwa nchi, sijui goli la mama, semina, warsha, ziara za mara kwa mara tuachane nazo. Pesa tunazo, management ya pesa ndio tatizo letu kubwa.
 
Serikalini ni job security tu inatafutwa ila maslahi ya mfanyakazi mfano compassion analipwa almost 7m na officer tu kwenye kitengo sio manager!! Kuna mmama pale analipwa 13 M mshahara tu nje ya benefits zingine!! Sasa huyu hata akifukuzwa kazi ndani ya miaka 10 ana fedha kuliko mwalimu atakayefanya kazi miaka 30!!

Ni kweli connection inahusika, ila hata serikalini connection zipo basically tatizo ni kila sehemu sema walau ikipitia utumishi sio sana kama private sector.
Ngoja tuanze kuApply compassion
 
Usa kaanza na Who, Baada ya elon musk kuua usaid, world bank na imf ijiandae.
Trump anataka hela ya Mmarekani itumike marekani tu. Wengine wapambane na hali zao

Wale waliokuwa wanalipwa 10m hadi 100m+ kwa mwezi kwenye mashirika ya usa karibuni mtaani.
Kama kuna uliyekuwa unamsubiri angalizo la kujipa ni kuwa mtu anayelipwa 10 to 100 sio wa kumkaribisha mtaani unless alikuwa mzembe mno.
 
Usa kaanza na Who, Baada ya elon musk kuua usaid, world bank na imf ijiandae.
Trump anataka hela ya Mmarekani itumike marekani tu. Wengine wapambane na hali zao

Wale waliokuwa wanalipwa 10m hadi 100m+ kwa mwezi kwenye mashirika ya usa karibuni mtaani.
Kuna yule wetu aliyesema huko nje kuna mapesa mengi tu...
Hivi yupo?
Anayasoma yanayoendelea huko?
 
Sijui itakuwaje maana Kuna watu saivi awana kazi tena baada ya mikataba yao kusitishwa bado wale Ndugu zetu wanao tumia vidonge vya kuongeza Kinga kiujumla hili jambo lazima litagusa familia nyingi sana kwa njia moja hadi nyingine
 
Back
Top Bottom